Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Sisi hatujafikia?! Wakt wa ukame na njaa watu wanakula mpk balale nguru si Bora mbwa anakula samakiSasa kama watu amefikia kula mpaka chakula cha mbwa hatua ambayo hata sisi hatujafikia pamoja na umasikini wetu unataka wanyoshwe kivipi?
Hakuna aliyejiunga kupigana na Urusi, Urusi inapigana na Ukraine hizo nyingine ni ngonjera tu za kufurahisha gengeKumbe mabeberu siku hizi wana jifanyia propaganda mpaka wao wenyewe?
Utajitoa akili lakini ukweli ume upata pamoja na kwamba unauma,
ya kwamba Marekani na maswahiba wake ndio masuper power wa michongo na ndio maana wamejiunga zaidi ya mataifa 40 kupambana na taifa moja kiuchumi na kijeshi lakini kiuchumi wamesha pigwa za uso na kijeshi ni suala la muda tu na penyewe watashindwa tu.
Akili ita wakaa sawa.Sisi hatujafikia?! Wakt wa ukame na njaa watu wanakula mpk balale nguru si Bora mbwa anakula samaki
MmmmmmhCruise missiles inatunguliwa hata na Stinger we unashangaa Gepard?!
Cruise missiles mwendo wake Subsonic ni sawa na ndege za abiria zinavyotembea...hata ndege inaweza kutungua cruise missile.
Zelenskyy thanks soldier who shot down 2 cruise missiles with Stinger MANPADS
TUESDAY, 11 OCTOBER 2022, 21:34
President Volodymyr Zelenskyy has commended Dmytro Shumskyi, a Ukrainian defender, who shot down two cruise missiles with Stinger MANPADS [man-portable air defence system - ed.] on 10 October.
Source: Zelenskyy’s evening speech
Quote: "At the request of the military command, I want to celebrate soldier Dmytro Shumskyi (anti-aircraft missile platoon of the 57th separate radio engineering battalion, Chernihiv front) for [his accomplishments] yesterday.
Zelenskyy thanks soldier who shot down 2 cruise missiles with Stinger MANPADS
Na Ka video Ka-kurumagia haka hapa[emoji23]
Supapawa anapigwa makonzi na dogo halafu anatafuta huruma eti anachangiwa na nchi 40[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akili ita wakaa sawa.
Yaani watu zaidi ya 40 mnaungana kumpiga mtu mmoja alafu mnajiita mna nguvu kweli hichi ni kichekesho.
Bila shaka unaongea hivyo kujifariji lakini ukweli unaujua.Supapawa anapigwa makonzi na dogo halafu anatafuta huruma eti anachangiwa na nchi 40[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea kuota..Kumbe mabeberu siku hizi wana jifanyia propaganda mpaka wao wenyewe?
Utajitoa akili lakini ukweli ume upata pamoja na kwamba unauma,
ya kwamba Marekani na maswahiba wake ndio masuper power wa michongo na ndio maana wamejiunga zaidi ya mataifa 40 kupambana na taifa moja kiuchumi na kijeshi lakini kiuchumi wamesha pigwa za uso na kijeshi ni suala la muda tu na penyewe watashindwa tu.
Niendelee kuota wakati mambo yajidhihilisha wazi Urusi imesha wafanya wanakula chakula cha mbwa na paka.Endelea kuota..
Ndio malengo ya hivi Vita sio ?...Niendelee kuota wakati mambo yajidhihilisha wazi Urusi imesha wafanya wanakula chakula cha mbwa na paka.
Kama katibu mkuu wa Nato alisema kuwa Ukraine ikishindwa vita ni NATO nzima itakuwa imeshindwa vita sembuse ww mlala njaa kutoka taifa la kusadikika?Supapawa anapigwa makonzi na dogo halafu anatafuta huruma eti anachangiwa na nchi 40[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo na mabwana zenu kipindi wanaweka vikwazo lengo lao lili kuwa viwarudie wao mpaka waanze kula chakula cha mbwa sio?Ndio malengo ya hivi Vita sio ?...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo NATO inapigana Ukraine?!Kama katibu mkuu wa Nato alisema kuwa Ukraine ikishindwa vita ni NATO nzima itakuwa imeshindwa vita sembuse ww mlala njaa kutoka taifa la kusadikika?
Ukraine wamefanya mashambulizi katika mji wa Saratov nchini Urusi na Rais shupavu Zelensky yupo ziarani Donetsk kuwapa hamasa wanajeshi wake na kukagua maendeleo ya vita sio mzee Putin amejificha kusikojulikana.Ukraine amejua kumnyoosha super pawer sawasawa.., super pawer amehangaika na miundombinu lakini bado dogo anamkazia..,mara hii urusi lazima atambue kwamba siafu akingata sehemu za Siri ni lazima busara itumike kumtoa,hata kama hujafundishwa kutumia busara,basi utalazimshwa
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo kati ya wewe mlala njaa kutoka nchi ya kusadikika na katibu mkuu wa NATO aliye sema hayo maneno tumsikilize nani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo NATO inapigana Ukraine?!
NATO ilishasema haihusiki Katika huo mgogoro hlf ww mkaa kwenye sofa la shemeji hapo kiembe mbuzi unabisha!!!!!![emoji23]