Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tumesikia ila Mimi binafsi nawahurumia Ukraine kwani kwenye kikao hicho yanaweza yakatoka maazimio makali zaidi dhidi ya Ukraine...
 
Hiyo ni kweli, lakini pia hata Ukraine anashambulia huko urusi Ili kumuonesha urusi kwamba bado Yuko imara na hayuko tayari kukaaa kwenye meza ya mazungumzo kwa namna yoyote ile

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwenye meza ya mazungumzo huyo Ukraine atakuja tu ....there is no way out...Hana la kufanya...Ukraine hawezi kushinda Vita hivi...nchi itaharibiwa Sana Kama inavyofanyika Sasa...
 
Tumesikia ila Mimi binafsi nawahurumia Ukraine kwani kwenye kikao hicho yanaweza yakatoka maazimio makali zaidi dhidi ya Ukraine...
Mtu hadi kaamua kushambulia ardhi ya Urusi amejipanga mkuu hawakufanya kwa bahati mbaya.

Kwamba mwenye haki ya kushambulia ardhi ya Ukraine ni Urusi ila yeye mwiko ardhi yake kushambuliwa?

Sasa ndo Urusi atajua hajui hakuna cha kushambulia ardhi ya mwenzako tu hata ya kwake pia itashambuliwa.
 
Kwenye meza ya mazungumzo huyo Ukraine atakuja tu ....there is no way out...Hana la kufanya...Ukraine hawezi kushinda Vita hivi...nchi itaharibiwa Sana Kama inavyofanyika Sasa...
Sasahivi Ukraine naye ataanza kuharibu miundombinu ya Urusi kama hivi alivyoanza kulipua viwanja vya ndege.

Halafu mwanaume Zelensky baada ya kufanya mashambulizi chini Urusi ameenda Frontline kutembelea vikosi vyake kwenye uwanja wa mapambano hulo Donetsk.
 
Huo ni mtazamo wako ...na Mimi Nina mtazamo wangu baada ya kuiangalia Hali halisi...atajua hajui, huo ni msemo wa kujimwambafai...kiuhalisia Russia inaweza kuifuta Ukraine in less than 2 minutes..
 
NATO has split over the possible entry of Ukraine into the alliance, representatives of some countries are trying not to even touch on this topic, including out of unwillingness to anger Russia, the Politico newspaper writes.
 
Swali la kuhusu ushoga unalikwepa sana. Kulikoni!?
 
Lavrov:"Mr. Kirby, who holds the high position of the White House coordinator for strategic Communications, recently said, "We do not see any threats to Russia's security.

" Of course, it is easier to see a threat to US security across the Atlantic Ocean in Iraq or Libya."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…