Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Supapawa ajiandae

[emoji298]️ "Soon we will be able to hit all targets, including those in Siberia. Soon Russia will have no safe zones either," a defense adviser to the Ukrainian government told the Financial Times on condition of anonymity.
Hata mimi nakna hiyo ndo njia pekee ya kumsababisha Russia ajitambue, wakipelekewa moto angalau kila siku ndani ya Russia ndo akili zitawajaa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hata mimi nakna hiyo ndo njia pekee ya kumsababisha Russia ajitambue, wakipelekewa moto angalau kila siku ndani ya Russia ndo akili zitawajaa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Na akili zimeshaanza kuwakaa Sawa,Jana wamekaa kikao huko kujadili Ukraine amewezaje kurusha ndrone zikaenda mbali hvyo bila kua detected na air defense systems.
 
Punguza jazba [emoji23][emoji23][emoji23]

Supapawa wa mchongo dozi yake bado inaendelea halafu uzuri anafinywa kimyakimyaaa,picha ndo Kwanza linaanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Punguza ufala basi jamaa jibu hoja ,kwani mm niwe na jaziba na ww ili unisaidie nn au una kipi cha ziada mpaka niwe na jaziba na ww?

Mimi na ww hakuna mwenye maslahi wala hasara na huo mgogoro bali tuko humu kujadiliana kwa hoja na sio mipasho.

Alafu mm sijawahi kujibu comment zako bali ww ndo bingwa wa kurukia na kujibu kila comment yangu ninayo iandika ila nilikuwa nakupotezea tu ,lakini leo ni meamuwa nikuvalie njuga maana umekuwa ukipotosha watu.

Sasa naona nime kubana pumbu unasikilizia maumivu mpaka umeanza kuongea ongea hovyo hovyo tu hata mambo yasiyo husiana na mada.

Jibu maswari yangu.
 

PMC "Wagner" after fierce fighting knocked out the enemy from the village of Yakovlevka north of Soleder. At the moment, fighting continues in the Yakovlevka area. Having gained a foothold in Yakovlevka, our troops will be able to increase pressure on the Soledar grouping of the Armed Forces of Ukraine
 
Mwezi wa 5 super pawer wa mchongo anapigana kudhibiti huo mji wa bakhumut [emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Na akili zimeshaanza kuwakaa Sawa,Jana wamekaa kikao huko kujadili Ukraine amewezaje kurusha ndrone zikaenda mbali hvyo bila kua detected na air defense systems.
Nina uhakika wanapata msaada wa Serikali ya Marekani, Uingeleza, Israel...
Maana drone iliyopaa bila msaada wa ISR kutoka Marekani wasingeweza rusha.
Hata hao wanajeshi wanaosemekana walikuwa karibu na eneo la tukio, maana yake kuna wanajeshi wa Ukraine ndani ya Urusi

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…