Warusi wa buza washeni Tena moto wenu mliokuwa nao mwezi wa pili++
Tulikuwa tunawazoom tu jinsi mlivyokuwa mkijazana ujinga na upumbavu kwa article ndeefu zisizokuwa na kichwa Wala miguu..,vita ya urusi na Ukraine imenifunza kwamba Tanzania tuna wajinga wengi,mtu anashangilia tu uonevu eti kisa flani alishawahi kufanya.., taratibu akili zitawarudia kwamba Kuna super pawer mmoja pekee hapa chini ya jua,hambaye ni USA [emoji1258][emoji1258]
Takataka nyingine Tupa kule[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Sent from my Infinix X660B using
JamiiForums mobile app