kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Wakati unawaza zelensiky kupiga magoti Moscow ndo kwanza jamaa anafta target zaidi zenye manufaa atakazozilenga na kuzishambulia hapo urusi [emoji12]Nyie ndo kwa sasa hamna sera.yani mmekuwa wakiwa kama vile vifaranga vilivyokosa mzazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Na bado mpaka Zelensk akapige goti Moscow
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app