Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The German government extends the military support for Ukraine. Additionally to what has been promised comes:

  • 20 x Dingo
  • 2 x M1070 Oshkosh
  • 18 x RCH 155
  • 80 x Pick-up*
  • 90 x drone jammer
  • 2 x hangar tents
  • 7 x 8x6 Multi truck

Full list:
#Ukraine https://t.co/UAwUmj3hMU

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Leo hii nusu apinduliwe MTU huko
 
Kwa stahili ile ya kutuma drone airport, alafu drone yenyewe inaenda kuchubua ndege vita[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ebu acheni kuchekesha watu

shambulizi ni shambulizi. haijalishi umeumia au lah. kwa mfano. (asha kum si matusi).
wewe apo mtu akija kukushika tako. tunasema umeshambuliwa haijalishi ile hali imekuumiza au lah. hata kama hajafanikiwa kwenda zaidi. Lakini alikushika bila ridhaa yako.
turudi kwenye shambuliz la ukraine limeua watu watatu na kujeruhi. sita.
apo tunasema supapawer kanyanyaswa.
kwa sababu kama kuna su. 50,000. hizi drone za millard ayo. zimeshindwa kujulikana ad zimeenda ua. na kuzishika tako ndege zake za kimkakati.

Now russia anaangalia soft target za kushambulia.
na makombora yake yenye mikia ya nyuklia vichwa vya Guruneti na RPG.
 
Hambaye.. takataka kama hivi ndo zinaifanya tanzania kuwa bichwa la mwendawazin..shwain..jitu hata kuandika kiswahili halijui alafu linainua pua kama sokwee kusema super power n mmoja tu! Baldi fakeni kabisaaa
Huyo kenge nimeisha m'block,pumbaf sana
 
Babu akili imeanza kumkaa Sawa

Putin says the war in Ukraine could be a 'long process' as the Russian military's list of failures grows months into the invasion
JOHN HALTIWANGER
December 7, 2022 9:18 PM

Russian President Vladimir Putin said on Wednesday, months into a conflict that's been disastrous for the Russian military, that the war in Ukraine could be a "long process." In doing so, Putin effectively acknowledged that the war has not gone to plan.

Putin warned Wednesday that the war in Ukraine could be a "long process."
As he did, Putin effectively acknowledged that the war, which was meant to be quick, has not gone to plan.
Putin has largely avoided offering assessments on how long the war could last.

As for the duration of the special military operation, well, of course, this can be a long process," Putin explained during a meeting with the presidential Human Rights Council, per Reuters. The war was expected to be over quickly, with Russian victory all but certain.

From the onset of Russia's unprovoked invasion of Ukraine, Putin has consistently refused to refer to the ongoing fighting as a war — instead calling it a "special operation." In reality, this conflict in Ukraine is the first major war in Europe since World War II.

Binasfi Mimi sio mchangia tangu kuanza kwa mzozo huu, lakin Hadi leo nimejifunza Mambo mengi kuhusu wachangiaji katika jukwaa Hilo.

Moja, wengi inaonekana hawaelewi Mambo, wanafuata hisia na itikadi, hivyo wamekaa kishabiki tuu.

Pili, Uelewa wa watu wengi hapa jukwaani juu ya historia ya Ulimwengu Ni kidogo.

My take: kwa mtu ambae hakusoma A level combination za Arts na pia/AU sio mfuatiliaji wa historia ya siasa za kiulimwengu atapata wakati ngumu Sana kuelewa na kuchangia mada katika mgogoro huu,,

Mfano. Kuna Topic kwenye history Ambazo Ni RISE OF CAPITALISM IN EUROPE, RISE OF USA AS CAPITALIST SUPER POWER, RISE OF DEMOCRACY IN EUROPE, RISE OF SOCIALISM na nyingine Ambazo kwa mtu ambae amesoma topic hizi Advance na kuzielewa Basi anaeza kuwa na Uelewa mkubwa wa mgogoro huu.

Zaid Mambo haya Ni kwenye TOPIC ya THREATS TO THE WORLD PEACE AFTER THE SECOND WORLD WAR, Formation of NATO upande wa Capitalism na WARSAW PACT upande wa Socialim.

Historia ya USA kutaka kuivamia CUBa na Cold War, kuigawa ujerumani na collapse ya USSR.

MAMBO NI Mengi lakin nimegundua Sana kuwa watu wengi wanaibeza RUSSIA kwa kuwa hawaifahamu historia ya RUSSIA NA USA watu wengi hawajui kwann USA anaungana na EUROPE kumfanya RUSSIA Asishinde Hapo UKRAINE.

NI Vyema watu turud tujifunze af tune kuchangia, nahis Kuna watoto wengi humu au watu wasojua Mambo wanahisi jukwaa Hili Ni Kama FB.

Wanaoamini katika mode of production wanaamini kuwa dunia inaihitaji RUSSIA ili kubalance siasa.
Ulicho kizungumza ni sahihi kabisa thus sometimes nashindwa kuchangia kitu kabisa
 
Putin: Threat of Nuclear War on the rise​

WORLD HAL TURNER 07 DECEMBER 2022 HITS: 11462
Russian President Vladimir Putin said minutes ago today (Wednesday) that "the threat of a nuclear war is on the rise" over NATO's interference in Ukraine.
The Russian President also said:
"Russia will defend its allies with all available means."
"Russia does not have tactical nuclear weapons in other countries unlike the United States."
"We didn't speak about usage of nuclear weapons."
"Russia has not gone mad."
"We have most advanced weapons, but do not want to wave them around."
"Russia considers such weapons as deterrent."

Developing, check back . . .
 
Comment na like fupi kwa msaada wa huu wa kijeshi kutoka kwa washirika wa Ukraine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]
20221208_083947.jpg
 
Babu akili imeanza kumkaa Sawa

Putin says the war in Ukraine could be a 'long process' as the Russian military's list of failures grows months into the invasion
JOHN HALTIWANGER
December 7, 2022 9:18 PM

Russian President Vladimir Putin said on Wednesday, months into a conflict that's been disastrous for the Russian military, that the war in Ukraine could be a "long process." In doing so, Putin effectively acknowledged that the war has not gone to plan.

Putin warned Wednesday that the war in Ukraine could be a "long process."
As he did, Putin effectively acknowledged that the war, which was meant to be quick, has not gone to plan.
Putin has largely avoided offering assessments on how long the war could last.

As for the duration of the special military operation, well, of course, this can be a long process," Putin explained during a meeting with the presidential Human Rights Council, per Reuters. The war was expected to be over quickly, with Russian victory all but certain.

From the onset of Russia's unprovoked invasion of Ukraine, Putin has consistently refused to refer to the ongoing fighting as a war — instead calling it a "special operation." In reality, this conflict in Ukraine is the first major war in Europe since World War II.
Putin says the war in Ukraine could be a 'long process' as the Russian military's list of failures grows months into the invasion
Siku hizi ameanza kuwa na adabu huyu dikiteta

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Aliyekwambia kwenye mobilization unalipwa Nani?! Kule unaenda kujitolea kwa nchi yako wale sio Wagner group wanaochukua wafungwa na wakulima huko Russia....wale ndo wanalipa
Wagna nitaasisi kama kulipwa hata huko US wanalipa nahio kawaida tuu

Nilikusudia kwenye kuwahudumia kivifaa wakat wakiwa eneo la tukio

Nakule sio kujitolea ulazimishwe usihame nchi useme ulijitolea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasahivi Ukraine naye ataanza kuharibu miundombinu ya Urusi kama hivi alivyoanza kulipua viwanja vya ndege.

Halafu mwanaume Zelensky baada ya kufanya mashambulizi chini Urusi ameenda Frontline kutembelea vikosi vyake kwenye uwanja wa mapambano hulo Donetsk.
Kichekesho
 
Babu akili imeanza kumkaa Sawa

Putin says the war in Ukraine could be a 'long process' as the Russian military's list of failures grows months into the invasion
JOHN HALTIWANGER
December 7, 2022 9:18 PM

Russian President Vladimir Putin said on Wednesday, months into a conflict that's been disastrous for the Russian military, that the war in Ukraine could be a "long process." In doing so, Putin effectively acknowledged that the war has not gone to plan.

Putin warned Wednesday that the war in Ukraine could be a "long process."
As he did, Putin effectively acknowledged that the war, which was meant to be quick, has not gone to plan.
Putin has largely avoided offering assessments on how long the war could last.

As for the duration of the special military operation, well, of course, this can be a long process," Putin explained during a meeting with the presidential Human Rights Council, per Reuters. The war was expected to be over quickly, with Russian victory all but certain.

From the onset of Russia's unprovoked invasion of Ukraine, Putin has consistently refused to refer to the ongoing fighting as a war — instead calling it a "special operation." In reality, this conflict in Ukraine is the first major war in Europe since World War II.
Putin says the war in Ukraine could be a 'long process' as the Russian military's list of failures grows months into the invasion
RUSSIA hawez vita ya muda mrefu jiandaeni kisaikolojia [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wagna nitaasisi kama kulipwa hata huko US wanalipa nahio kawaida tuu

Nilikusudia kwenye kuwahudumia kivifaa wakat wakiwa eneo la tukio

Nakule sio kujitolea ulazimishwe usihame nchi useme ulijitolea

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani kabla ya Vita uliona West wakitenga mabilion ya fedha kama ilivyo sasa kuhudumia wanajeshi wa Ukraine?! Uliona mafunzo ya wanajeshi wa Ukraine kwenye ardhi za UK,USA,Baltic States na wengine?!
 
Back
Top Bottom