Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkiambia muonyeshe hata maiti 2 kwa siku za Warusi hamna.sasa iyo si mipasho ya kina mama[emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba warusi hawafi??
JamiiForums-1709795135.jpg


Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Kwa Hali ilivyo Russia ajiandae kupigana vita hata miaka 50 tu mpaka atakapoamua kusema Sasa basi, hatari sana [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

Inakuwaje sasa RUSSIA taifa ambalo west walisema hadharani kua ni dhaifu kijeshi na mara oh limeishiwa silaha!! leo munasema vita itadumu mda mrefu?? kwa nini sasa taifa dhaifu lisumbue vile!!
 
Kwani kabla ya Vita uliona West wakitenga mabilion ya fedha kama ilivyo sasa kuhudumia wanajeshi wa Ukraine?! Uliona mafunzo ya wanajeshi wa Ukraine kwenye ardhi za UK,USA,Baltic States na wengine?!
hio ilikua wazi kama hao WEST waliishajiandaa na hilo tokea mwaka 2014

Labda niwewe na pro NATO wachache ndio hamulijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babu yenu ndo akili inamjia sasa hivi kwamba hiyo vita si ya kuisha Leo au kesho yaleyale ambayo Marekani na NATO walikua wakisema kila siku. Urusi ijiandae kisaikolojia maana hiyo vita inaweza chukua hata Muongo mmoja
Hata RUSSIA alijua kama SMO ni long process kwahio nyie jiandaeni tu kuendelea kutoa msaada mpaka mtakapo choka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakuwaje sasa RUSSIA taifa ambalo west walisema hadharani kua ni dhaifu kijeshi na mara oh limeishiwa silaha!! leo munasema vita itadumu mda mrefu?? kwa nini sasa taifa dhaifu lisumbue vile!!
Tena kibaya zaidi wanasema kuwa maghara yao yashaanza kubaki tupu ndo maana misaada kwa Ukraine imeanza kupungua.baada ya kumpelekea Armore fighting vehicle, wanampelekea mapickup kama yote.hii vita inafurahisha kwa kweli tutaona mengi sana huko mbeleni[emoji12][emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
20221208_083947.jpg
 
Kichekesho? Wewe kweli shabiki maandazi hufuatilii mambo yanayoendelea.

Jana Putin ameketi na baraza la juu la usalama kujadili shambulizi lililofanywa na Ukraine katika mji wa Saratov nchini Urusi halafu wewe mbwiga unasema 'kichekesho'

Hii Jf ya sasa kama hata mtu kama wewe usiye na uelewa na mambo yanayoendelea duniani unaweza kujiunga basi jukwaa limeshuka hadhi sana.
Bado kichekesho maana hivyo vikao always anakaa.
 
IMG_20221208_155653_475.jpg
❗️US Plans 2 More Years of Ukraine Conflict - FM Spox Zakharova

Russian Foreign Ministry spokesperson Maria Zakharova claims that based on documents for the supply of weapons, the United States plans to maintain hostilities in Ukraine at least until the end of 2025.

Subscribe to RT
 
IMG_20221208_160020_603.jpg
Merkel Confirms Ukraine Peace Deal Was a Ploy

The 2014 ceasefire brokered by Berlin and Paris in Minsk gave Kiev ‘valuable time’ to strengthen its military, former German chancellor Angela Merkel argued in a Zeit magazine interview published Wednesday.

“The Ukraine of 2014/15 is not the Ukraine of today. As you saw in the battle for Debaltsevo in early 2015, Putin could easily have overrun them at the time. And I very much doubt that the NATO countries could have done as much then as they do now,” Merkel said.

The defeat at Debaltsevo resulted in the second Minsk protocol being signed in February 2015. Merkel said that it was “clear to all of us that the conflict was frozen, that the problem had not been solved, but that gave Ukraine valuable time.”

Pyotr Poroshenko, who became president of Ukraine after the 2014 US-backed coup in Kiev, admitted as much back in August 2015 and in an interview with German media this year.

Question More @RT_India_official
 
IMG_20221208_160800_670.jpg

🇷🇺🇺🇦 A group of policemen led by a high-ranking chief was destroyed in the Kherson region

Head of the Main Directorate of the National Police in the Cherkasy region Mikhail Kuratchenko, explosives engineer Igor Melnyk, cynologist Serhiy Nenada and assistant on duty of the SRPP of the Uman district police department Vadim Perizhok were blown up by mines, said the head of the National Police Igor Klymenko. 4 more policemen are seriously injured, doctors are fighting for their lives.
Kuratchenko in the Kherson region led the combined police detachment of the Cherkasy region.
 
🇧🇾🇺🇦❗Belarus begins large-scale movement of troops and equipment along Ukrainian border - CNN

"The other day, Russian Defense Minister Sergei Shoigu flew on an unannounced visit to Belarus," the American news agency reminds /
Minsk announced the movement of troops and military equipment, citing a "counter-terrorist threat."

The reason for such actions of the Belarusian army is the growth of tension along the border.
 
Back
Top Bottom