Binasfi Mimi sio mchangia tangu kuanza kwa mzozo huu, lakin Hadi leo nimejifunza Mambo mengi kuhusu wachangiaji katika jukwaa Hilo.
Moja, wengi inaonekana hawaelewi Mambo, wanafuata hisia na itikadi, hivyo wamekaa kishabiki tuu.
Pili, Uelewa wa watu wengi hapa jukwaani juu ya historia ya Ulimwengu Ni kidogo.
My take: kwa mtu ambae hakusoma A level combination za Arts na pia/AU sio mfuatiliaji wa historia ya siasa za kiulimwengu atapata wakati ngumu Sana kuelewa na kuchangia mada katika mgogoro huu,,
Mfano. Kuna Topic kwenye history Ambazo Ni RISE OF CAPITALISM IN EUROPE, RISE OF USA AS CAPITALIST SUPER POWER, RISE OF DEMOCRACY IN EUROPE, RISE OF SOCIALISM na nyingine Ambazo kwa mtu ambae amesoma topic hizi Advance na kuzielewa Basi anaeza kuwa na Uelewa mkubwa wa mgogoro huu.
Zaid Mambo haya Ni kwenye TOPIC ya THREATS TO THE WORLD PEACE AFTER THE SECOND WORLD WAR, Formation of NATO upande wa Capitalism na WARSAW PACT upande wa Socialim.
Historia ya USA kutaka kuivamia CUBa na Cold War, kuigawa ujerumani na collapse ya USSR.
MAMBO NI Mengi lakin nimegundua Sana kuwa watu wengi wanaibeza RUSSIA kwa kuwa hawaifahamu historia ya RUSSIA NA USA watu wengi hawajui kwann USA anaungana na EUROPE kumfanya RUSSIA Asishinde Hapo UKRAINE.
NI Vyema watu turud tujifunze af tune kuchangia, nahis Kuna watoto wengi humu au watu wasojua Mambo wanahisi jukwaa Hili Ni Kama FB.
Wanaoamini katika mode of production wanaamini kuwa dunia inaihitaji RUSSIA ili kubalance siasa.