Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Sio kwamba haikuundwa,Iliundwa system iliitwa Instex.Ndio maana nikakwambia fuatilia vyema haya mambo MKUU
Ila kulikua na system baada ya Us kusema hayo ya vikwazo kukawa kuna system maalum ikatakiwa iundwe kukwepa hivyo vikwazo
Ila mpaka leo Eu hawajaunda
Ndio maana nakwambia ufatilie kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuja kujifia baada ya Marekani kutishia kuweka sanctions dhidi ya taasisi yoyote inayojihusha na hiyo special payment mechanism Kati ya EU,Iran.
EU mechanism for trade with Iran 'now operational'
06/28/2019June 28, 2019
The EU has created a mechanism that will allow European countries to trade with Iran despite US sanctions. The move is an attempt to show good will toward Iran and keep it in the 2015 nuclear deal.
EU mechanism for trade with Iran 'now operational' – DW – 06/28/2019