Sasa mbona tukiwaambia kuwa Urusi inapigana na NATO nzima mnabisha?Nina uhakika wanapata msaada wa Serikali ya Marekani, Uingeleza, Israel...
Maana drone iliyopaa bila msaada wa ISR kutoka Marekani wasingeweza rusha.
Hata hao wanajeshi wanaosemekana walikuwa karibu na eneo la tukio, maana yake kuna wanajeshi wa Ukraine ndani ya Urusi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Tuseme pia Urusi pia anapigana kwa msaada wa Iran maana Kuna ushaidi wa wazi kwamba Kuna trainers wengi wa Iran wamelambishwa mchanga wakiwa Crimea sambamba majeshi ya urusi..,achilia mbali drone na makombora hambayo Iran anampatia urusi.., usisahau pia north Korea Yuko bega kwa bega na urusi akimpatia artillery.., bila kusahau Belarus.., mpaka Sasa majeshi ya urusi yapo yanapata mafunzo nchini Belarus kwa Ajili ya kupigana tu na Ukraine..,bila kusahau kwamba urusi aliivamia Ukraine akitokea upande wa beralusSasa mbona tukiwaambia kuwa Urusi inapigana na NATO nzima mnabisha?
Niseme tu Hazikutoshi......Kwahiyo Urusi ni Moscow tu!? Aiseeee!
Wewe huna haki ya kuongea chochote umeshindwa kutoa maoni yako binafsi kuhusu ushoga.Warusi wa buza washeni Tena moto wenu mliokuwa nao mwezi wa pili++
Tulikuwa tunawazoom tu jinsi mlivyokuwa mkijazana ujinga na upumbavu kwa article ndeefu zisizokuwa na kichwa Wala miguu..,vita ya urusi na Ukraine imenifunza kwamba Tanzania tuna wajinga wengi,mtu anashangilia tu uonevu eti kisa flani alishawahi kufanya.., taratibu akili zitawarudia kwamba Kuna super pawer mmoja pekee hapa chini ya jua,hambaye ni USA [emoji1258][emoji1258]
Takataka nyingine Tupa kule[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hawajisikilizi wanapoandika! Ha ha hahahaha haaaa!Sasa mbona tukiwaambia kuwa Urusi inapigana na NATO nzima mnabisha?
Japan haina tofauti na Ujerumani!! Hawana maamuzi ya juu ndani ya majeshi yao! US anafanya anavyotaka kwenye nchi hizo.View attachment 2438815
Comrade is worried that the deployment of the Russian coastal missile system in the Kuril Islands provokes tension with Japan
Mbona umecopy hii picha ya Hawa wanajeshi wa urusi [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]Wanajeshi wa Ukraine wakiwa chini ya ulinzi.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we kweli umechanganyikiwa.ebu fungua vizuri alafu cheki vizuriMbona umecopy hii picha ya Hawa wanajeshi wa urusi [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa muogo jitaihid kuwa na kumbukumbu View attachment 2438889
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
We unaona kuna picha hapo.mi nimepost video iyo picha umeona wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Kweli umeanza kudataMbona umecopy hii picha ya Hawa wanajeshi wa urusi [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa muogo jitaihid kuwa na kumbukumbu View attachment 2438889
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Au umepiga kitu kizito cha bangi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] inasababisha unaona vitu tofauti.izo video ni leo kwenye mji wa MarinkaMbona umecopy hii picha ya Hawa wanajeshi wa urusi [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa muogo jitaihid kuwa na kumbukumbu View attachment 2438889
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app