President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Juhudi za kutaka nipigwe ban zimegonga mwamba,Sasa umeonyesha rangi yako halis[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Acha tubebe mingi zaidiMji wa Soledar siku si nyingi unaenda kuanguka.Warusi wamezidisha mashambulizi na kuchukua sehemu kubwa ya mji.Vita sasa ipo katikati ya mji[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2440367
Unaongelea mizigo hii mibovu inadondoka kila kukicha?
UK walitaka iwe na elements za kuwa unmanned. Itakuwa ni 6th generation jet hivyo upinzani kwa F-35 ambayo ni 5th gen. Tatizo litakuja kwenye bei
Kama kusoma hujui Tazama hata picha.Superpower wenu wa mchongo ulimi nje🤔Kati ya watu waongo humu...kwa kutokujua au kwa kujua ni wewe....Mapigano sehemu nyingi yametulia...baridi inapiga kotekote.....usiwe una copy na kupaste kama computer...think
Hawa jamaa wengi pro nato ni maroboti yana act kama yalivokuwa programmed kufanyaKati ya watu waongo humu...kwa kutokujua au kwa kujua ni wewe....Mapigano sehemu nyingi yametulia...baridi inapiga kotekote.....usiwe una copy na kupaste kama computer...think
Si walisema Kherson wameikomboa, vip tena[emoji95][emoji95][emoji95]The Central Bank of the Russian Federation has opened territorial offices in the LPR, DPR, Kherson and Zaporozhye regions[emoji95][emoji95][emoji95]
Hivi zile F-22 raptor ni unmanned?.. inatofauti gani na F-35?... Mbona haiuzwi ?UK walitaka uwe na elements za kuwa unmanned. Itakuwa ni 6th generation jet hivyo upinzani kwa F-35 ambayo ni 5th gen. Tatizo litakuja kwenye bei
Kama watafanikiwa itakuwa mwanzo wa kujiondoa kwenye utegemezi wa silaha za USUK walitaka uwe na elements za kuwa unmanned. Itakuwa ni 6th generation jet hivyo upinzani kwa F-35 ambayo ni 5th gen. Tatizo litakuja kwenye bei
Dassault Rafale ya Ufaransa ni 4th generation sio stealth, sio kubwa sana na ina performance nzuri hata anga la kwenye maji na low flying. Inauzwa bei zaidi kama kawaida ya silaha za Ufaransa kwa vile production quantity inakuwa ndogo hivyo cost inakuwa distributed kwa hizo units chache. Ufaransa waliiunda Rafale baada ya kutoafikiana na specifications za Eurofighter Typhoon ya consortium ya Ulaya, wakajitoa kwenye mradi. Waliobaki kwenye mradi kina UK, Spain, Italy na Germany hawana 4th gen fighters za Marekani kama hizi F-16 maana ni category moja na Typhoon na Rafale.Hivi zile F-22 raptor ni unmanned?.. inatofauti gani na F-35?... Mbona haiuzwi ?
Ila hiyo F-35 haina tofauti Sana na Rafale ya Ufaransa...hata zile war games huonyesha tofauti ndogo Sana kati yao.