MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
Ok nimekuelewa, ila inaonyesha hizo teknolojia zimetofautiana padogo mno, sema gharama za uendeshaji zimepishana.Tofauti kubwa ni roles za hizi ndege na gharama za uendeshaji. F-35 na F-22 sio ndege za kushindia, ni ndege za kazi ngumu zikishamaliza zinawaachia kina F-16 na F-15. Zina mambo kibao mfano stealth skin zake inabidi zibadilishwe kila flights kadhaa
Mbona unakurupuka kwa maneno machache na rahisi kusomeka?Unauliza au .huyo ndo mwenyewe.nashangaa wewe unabisha kama vile upo uwanja wa vita.wenyewe awakukataa iweje wew ubishe.si uchizi uwo
Movie za vita zilipungua sana.When the war is over the will be multiple Hollywood versions of this war. Predicting: The Battle For Kherson.
Bukhmut: The Last Stand
etc
Wataisha!!Fyekelea mbaliView attachment 2442981
Cha kujipongeza!Warusi hiki kikao kilikuwa cha nini wiki hii. Sikufatilia sana matukio ya ukoView attachment 2443452
[emoji23][emoji23][emoji23] weka source ya iyo habari na sisi tuone alipisema ivyoHayo yametibitishwa na kiongozi wa Jimbo la luhansik _ haidai
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hajawahi kuepo huko kabla ya feb 24 aliotangaza achaneni na propaganda za MSMHahahaha kama Donbas ambayo alikuepo tangu 2014 mpaka sasa ameshindwa kuiteka yote hayo maeneo mengine ubavu wa kuyakamata anautoa wapi?!
Kherson aliidaka yote fastafasta mwezi March baada ya wanajeshi wa Ukraine kuretreat nayo ameitema kama Bungo,na ndio ulikua mji pekee ambao ameuteka kwa 100.
Mpaka sasa Russia kakamata
Zaporizhzhia 50%
Donbass 50% (hapo plus maeneo ambayo alikuepo tangu 2014)
Kherson 70%
Ni miezi kumi sasa vitani,hayo mengine Labda baada ya miaka 20[emoji23][emoji23][emoji23]
Russia hakua Donbass tangu 2014[emoji23][emoji23][emoji23]Hajawahi kuepo huko kabla ya feb 24 aliotangaza achaneni na propaganda za MSM
Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau pia kuwahadithia kuhusu Kula tunda kimasiharaHawa jamaa wanachapanaa badoo khaaa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji27] Enzi hizo nikiwa babu ntawaadithia sana wajukuu zangu nilivyokwenda vitaniii kumtoa dikteta Putin.
Itachukua miaka mingi sana USAF kuunda ndege kama f-22Hivi zile F-22 raptor ni unmanned?.. inatofauti gani na F-35?... Mbona haiuzwi ?
Ila hiyo F-35 haina tofauti Sana na Rafale ya Ufaransa...hata zile war games huonyesha tofauti ndogo Sana kati yao.
RUSSIA yupo huko mwaka huu DUNIA nzima inajua hili MKUURussia hakua Donbass tangu 2014[emoji23][emoji23][emoji23]
proRussia embu muelewesheni mwenzenu[emoji23]