Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Hahahaha siku yake ipoWagner wanaomboleza.
Boss wao kakoswa koswa tena
Kuna thread imeshafunguliwa tayari kuhusu hicho kichapo,kaifungue ujionee,[emoji23][emoji23][emoji23] weka source ya iyo habari na sisi tuone alipisema ivyo
Tena walengwa ni yeye na mtoto wake.Hahahaha siku yake ipo
NywanokoAkbar Akbar
Mwezi uliopita si ni wewe hapo ulisema Warusi wameizingira Lyman [emoji23][emoji23][emoji23]kumbe mpk Leo walikua hawajaichukua [emoji23]The fall of bakhamut
Baadh ya wanajesh wa ukraine wameanza kusepa jiji hio
Siku zijazo tutasiki habari njema kuhusu jiji la liman
Ni udaku tu kama huu.wala hakun picha hata ya Wagner wa 2 waliokufa.kila mtu ukimuliza anasema nami nilisikia kwa flani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]Kuna thread imeshafunguliwa tayari kuhusu hicho kichapo,kaifungue ujionee,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Niliona jana wameanza kuvunja madaraja ya kuelekea mji wa Slaviansk na kramatotsk ili isiangukie kwenye mikono ya Warusi kiwepesi.The fall of bakhamut
Baadh ya wanajesh wa ukraine wameanza kusepa jiji hio
Siku zijazo tutasiki habari njema kuhusu jiji la liman
Video hii hapa zaidi ya 200 wamekaangwa kwenye hiyo kambi tazama hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni udaku tu kama huu.wala hakun picha hata ya Wagner wa 2 waliokufa.kila mtu ukimuliza anasema nami nilisikia kwa flani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]
Njoo tena ubishe kenge wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni udaku tu kama huu.wala hakun picha hata ya Wagner wa 2 waliokufa.kila mtu ukimuliza anasema nami nilisikia kwa flani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]
warusi kwa sasa wanasonga mbele kwa kasi sanaNiliona jana wameanza kuvunja madaraja ya kuelekea mji wa Slaviansk na kramatotsk ili isiangukie kwenye mikono ya Warusi kiwepesi.
Zelensk anasema wanachofanya Warusi kwa wanajeshi wao ni zaidi ya unyama
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] jaman mkuje huku vunjo karudi na zile video zake.video inasema wanajeshi mia 2.kwenye video hata mwanajeshi mmoja aliyekufa hakuna[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Cheki video hii
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] yani Vunjo unanichekeshaga sana na video zako.uwa kabla ya kupost unapataga muda wa kuziangalia wewe mwenyewe?.au unapost tuNjoo tena ubishe kenge wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kikubwa ni Himars imekaanga Wagner zaidi ya 200 kwenye kambi yao cheki video ingine hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] yani Vunjo unanichekeshaga sana na video zako.uwa kabla ya kupost unapataga muda wa kuziangalia wewe mwenyewe?.au unapost tu
Sijui bado unabisha jamaa hawajakaangwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] jaman mkuje huku vunjo karudi na zile video zake.video inasema wanajeshi mia 2.kwenye video hata mwanajeshi mmoja aliyekufa hakuna[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kwanza ilo jengo lenyewe hata wanajeshi 50 awawezi kulala humo.kwanza mwanajeshi analala front.
Mnasonga mbele wapi kenge nyie Wagner wamekaangwa hukowarusi kwa sasa wanasonga mbele kwa kasi sana