Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kiwango cha inflation Marekani hakijawahi fika 40% tangu vita hii ianze na fedha iliyoenda Ukraine haijafikia hata 5% ya Bajeti ya USA
Bajeti ya ulinzi ya marekani ni zaidi ya Dola billion 750.., huko Ukraine sidhani kama amashatumia hata dola billion 10

Marekani ni habari nyingine [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ulaya wameamua wenyewe kukataa udhalim kwa ghalama yoyote...,wameamua kusimamia na Ukraine na wamelidhika na Hali zao..,Putin asijifanye anawahurumia sana Europeans

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mzee kila nchi ipo na doctrine zake. Wewe nimekuambia leta hizo evidence za kuwa USA inajitosheleza kiteknolojia. Sitaki ubishani wa kijinga.
 
Achana nao kenge hao, wanajua maneno ya mipasho ila ukiwambia walete data wanatoka nduki[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kila coment mpaka uweke imoji mkuu?? Sometimes imoji zinalifanya jukwaa kuonekana kama group la watoto wa Facebook..,ni vizuri kutumia imoji lakini Kwa kiasi..,siamini kwamba kila coment unayoandika hapa unakuwa na hisia za kucheka

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Urusi imefanya gharama za maisha kuanzia Ulaya mpaka Marekani kupanda.wakati yeye maisha yanaendelea.


Ukiwa na

(1) madini
(2) Ardhi
(3) mafuta na gesi
(4)chakula
(5) Technolojia
Uwezi kupata tabu kwenye hii dunia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] .kenge wa blue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…