President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Siku nyingine uondoe ujinga wako. Huna exposureHivi kila coment mpaka uweke imoji mkuu?? Sometimes imoji zinalifanya jukwaa kuonekana kama group la watoto wa Facebook..,ni vizuri kutumia imoji lakini Kwa kiasi..,siamini kwamba kila coment unayoandika hapa unakuwa na hisia za kucheka
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Siku nyingine usiwe unakurupuka vitu usivyovijua. Unaonekana mwehu.Tukana sana mkuu..,Leo natimiza kwa vitendo ule usemi wa " akupigaye shavu la kulia mgeuzie na la kushoto
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Barikiwa sana comred [emoji120][emoji120][emoji120]Siku nyingine usiwe unakurupuka vitu usivyovijua. Unaonekana mwehu.
Tatizo lako unadhani technolojia ni CPU pekee yake.Tukana sana mkuu..,Leo natimiza kwa vitendo ule usemi wa " akupigaye shavu la kulia mgeuzie na la kushoto
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Good. Hakuna nchi inayojitosheleza kwenye Technology. Wote tunategemeana.Barikiwa sana comred [emoji120][emoji120][emoji120]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hawa juzi kombora limedondoka kijijini kwao wakaanza kumtetea Urusi leo nani ataichukulia serious hii mizaha yao
Ilikuwa friendfireHawa juzi kombora limedondoka kijijini kwao wakaanza kumtetea Urusi leo nani ataichukulia serious hii mizaha yao
Wajaribu Tena Ili tuone kwa mara nyingine mishikaki ya kirusi ikitapakaa tena katika jiji la KievIn an interview with the Economist, Ukraine’s commander-in-chief, Valerii Zaluzhnyi, says he is certain that Russia will try to take Kyiv again.
He says that Russia is preparing 200 000 new troops and that the push for Kyiv could come as early as January or later in the spring. https://t.co/7LO0SgI6C2
Inaonekana Warusi wengi wamekufa, kama alianza na 170,000Wajaribu Tena Ili tuone kwa mara nyingine mishikaki ya kirusi ikitapakaa tena katika jiji la Kiev
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hawajakoma tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]In an interview with the Economist, Ukraine’s commander-in-chief, Valerii Zaluzhnyi, says he is certain that Russia will try to take Kyiv again.
He says that Russia is preparing 200 000 new troops and that the push for Kyiv could come as early as January or later in the spring. https://t.co/7LO0SgI6C2
Aiseee hizi zinapiga mpk 500km. Uingereza waziwahishe warusi wakazikwe[emoji23][emoji23][emoji23]Britain considers the possibility of transferring Storm Shadow cruise missiles to Ukraine
Haya masafa marefu hayooo
Hivi mbinguni waislamu mmepangiwa wanawake wangapi?Zelensk anawauwa sana vijana.au anataka siku akiomba msamaha abaki mwanaume peke yake ili aowe wanawake milioni 5.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]