Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nakubali

Kabisa,ila unamrefer sana huyo mwamba.
Huyo mwamba Kuna seehem nyingi anapindisha ukweli,na Sasa amekua ana chuki za wazi dhidi ya urusi.hasemi ukweli Tena.
Lkn wewe ndo unamuamini,hakuna namna.
Ndugu T14 Armata aliita RUSSIA taifa ambalo halieleweki kwakua lilinusurika na mapinduzi mwaka 1990s

Nikamuuliza kuhusiana na scandal ya GERMAN nakutaka kufanyaka mapinduzi hapa juzi analiongeleaje !!?

Kubwa jamaa akanambia kwamba RUSSIA kwamuda wa siku sita watu wanakufa wakati GERMAN hajafa hata mtu mmoj

Utadhani kwamba kufa ama kutokufa watu ndio kipimo cha kufail ama kutokufail kwa mapinduzi nlisahau na NATO member TURKEY mwaka 2018 kama sijakosea ERDOGAN walitaka kumchomoa pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ya Germany sio issue Sana kwasbbu domestic terror zinasingiziwa ili kuweza kupitisha sheria kandamizi Kwa ajili ya kuwakomesha raia

Na tayari Germany wameshapitisha hizo shweia kandamizi.

Hivo haya mambo yanapangwa Kwa malengo ya kupitisha masheria kandamizi

Jambo jingine Russia amekua akipandikiza mamluki wake km ilivyokua Kwa Trump huko US na ata hiki kinachotokea sasaivi huko Ukraine ni km revenge Kwa Putin baada ya kuwapandikizia Trump na kutaka kuharibu mfumo wa taifa la US.

Hivo kuna mambo km hayo pia
 
Ata Edogan naye alikua ni Muongo tu ili kuweza kuwabana wapinzani wake hasa kina Gulen
 
Kiwango cha chini mno cha uelewa wa issues..Pole sana Ndugu..duh..
 
Basi waivamia Urusi basi kama sio tishio.
mr kim akitest kombola tuu kilele nyingi na vikaoo kibao, kama yule tuu anafanya hivyo sembuse mrusi.
 
Yaani mtajibu mnavyoweza lkn huo ndio ukweli
Huelewi kitu Ndugu...hujui mana ya statements zitolewazo katika geo-politics, international relations and among actors...Wewe umelewa hivyo kwamba kuingilia mgogoro huo ni pamoja na kupeleka misaada ...lakini wenzio kwenye masuala ya diplomacy, international relations na hata lugha ya military, 'kuingilia' ina maana tofauti na unavyoelewa wewe....... pole sana....Hili jukwaa limevamiwa na watu wenye uelewa wa chini kabisa wa issues za kimataifa...yaani ni aibu tu...Na ndiyo maana professionals wengi wa masuala haya wameuacha uzi huu.....Wewe fikiria mtu kama sijui kipanya yeye kazi yake ni kuandika 'dikteta', fashisti', mara sijui 'kipigo', mara ziletwe katuni za nguchiro etc etc...yaani ni utoto mtupu...Kwenye diplomasia na international relations na hata kuhusiana na militasry language kila neno lina maana yake...
 
Marinka ipo kwenye mikono salama kwa sasa.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].


Vijana wa Zelensk wapo kwenye vifusi vya maghorofa.kwa sasa ni kuwaombea tu huko waendapo wapate makazi salama


 
Nyie hata hamueleweki, mara mseme Russia anapigana na NATO mara mseme hakuna nchi inayoweza kuingilia hiyo vita.
 
Kama unataka rudi kwenye ile comment pale uendelee ulikoishia. Kumbe uliiona ukapiga kimya baada ya kukosa ujanja.
Sipendi hii tabia ya kujibiwa kitu ukanywea ukakosa kujitetea ukaachana na uzi kisha ukaenda mada nyingine siku nyingine kurudia kilekile
 
Prorussia mkizidiwa hoja hayo ndio mnayoweza kusema.

Lkn lkn Cha kushangaza nyie Hamna hoja zozote mnazosema za maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…