mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Nimeona mkuu wa majeshi wa Ukraine anasema kuwa kwa sasa Warusi wanazidi kuongeza majeshi kwa ajili ya mashambulizi zaidi na pia kwa sasa wao ni ngumu kuanzisha counter attack kwa sasabu Warusi wanawafatilia muda wote, wala awawaruhusu wajikusanye.Kama mrusi bado anapgan hadi leo , hii vita inaend kuw na mwisho m-baya kwa dunia Mrusi hatokubali kushindwa lazm awatie hasara hao NATO au ukrain mwenyew akubali yaishe ,
Vita inakarbia kukatsha mwaka sasa
KAMATA MWIZIIIIIII [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wagner wakiwa maeneo ya Bakhmut.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].
Je macho yako yanaona kama mimi?
Niambie umeona nini pembeniView attachment 2448448
Nimeona mkuu wa majeshi wa Ukraine anasema kuwa kwa sasa Warusi wanazidi kuongeza majeshi kwa ajili ya mashambulizi zaidi na pia kwa sasa wao ni ngumu kuanzisha counter attack kwa sasabu Warusi wanawafatilia muda wote, wala awawaruhusu wajikusanye.
Kwa iyo anaomba msaada zaidi wa vifaa vya kutungulia drone,vifaru na mizinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa Una fix SanaNimeona mkuu wa majeshi wa Ukraine anasema kuwa kwa sasa Warusi wanazidi kuongeza majeshi kwa ajili ya mashambulizi zaidi na pia kwa sasa wao ni ngumu kuanzisha counter attack kwa sasabu Warusi wanawafatilia muda wote, wala awawaruhusu wajikusanye.
Kwa iyo anaomba msaada zaidi wa vifaa vya kutungulia drone,vifaru na mizinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umempiga na kitu kizitoMtaacha lini uongo na propaganda [emoji23] eti kafumwa na drone za Russia?! Drone zipi hizo?! Hyo picha wamepost Ukraine wenyewe Twitter account ya Wizara ya Ulinzi we unakuja kutupiga porojo hapa eti kafumwa na drone za Russia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2448241
Hawa ProRussia wamezidi propaganda kama Babu Yao PutinUmempiga na kitu kizito
We kweli akli una huyu ni binadamu kama wewe kachukua picha kamua kugeuza maneno.we kwa kuangalia tu Wagner wapo upande gani hapo na vikosi vya Ukraine vipo upande gani.KAMATA MWIZIIIIIII [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo ni Mawagner yamechinjwa huko Ukraine wewe unatuletea taarifa za mchongo eti ni waUkraine [emoji23][emoji23]
Hiyo picha umeitoa hapa[emoji116]
View attachment 2448471
Picha umeiba kwenye account yake halafu unatuambia kageuza maneno. KAMATA MWIZIIIIIII [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We kweli akli una huyu ni binadamu kama wewe kachukua picha kamua kugeuza maneno.we kwa kuangalia tu Wagner wapo upande gani hapo na vikosi vya Ukraine vipo upande gani
Sasa utaki au[emoji23][emoji23][emoji12][emoji12]Jamaa Una fix Sana
Ukraine wamesema Urusi ina mpango wa kuongeza wanajeshi laki2 ili kutaka kujaribu kuikamata tena Kiev na wao wana mpango wa kuanzisha counter offensive nyingine katikati ya winter mvua ikishakata pia ardhi ikipungua matope.
Wameomba silaha zaidi hasa anti tank na Stingers ili kupambana na warusi iwapo wataanzisha mashambulizi tena dhidi ya Kiev hapo January au February.
Acha uongo, kwani ukiongopa unapata faida gani [emoji848][emoji848]Wagner wakiwa maeneo ya Bakhmut.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].
Je macho yako yanaona kama mimi?
Niambie umeona nini pembeniView attachment 2448448
Wewe utanipiga kwa ubishi.nimekwambia Wagner wanavaa rangi ya kijani kibichi, wakati Ukraine anavaa kaki.sasa hapo kwenye picha waliyorundikwa wamevaa uniform gani?Picha umeiba kwenye account yake halafu unatuambia kageuza maneno. KAMATA MWIZIIIIIII [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weka wewe ukweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12]Acha uongo, kwani ukiongopa unapata faida gani [emoji848][emoji848]
Unadhani uongo wa hapa jukwaani unabadilisha Hali kwenye uwanja wa vita??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama kwa warusi wenyewe hakuna cha ajabu ilichofanya huko Kwa maamuma Iran ndio itafanya nn cha kustaajabisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]