Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,323
- 10,199
Mkenya huwa Muongo huyu......Kwa sasa Mrusi ndiye yupo kwenye offensive, maana kwamba yeye ndiye anashambulia, Ukraine wao wanaendelea kupambana kuhimili mashambulizi yake.
Kihistoria Urusi wakifanya mashambulizi wao hupigana kizalendo na wapo radhi hata kufa mamilioni lakini wafanikishe lengo, ndicho walikifanya kwenye vita vya pili vya dunia, waliuawa mamilioni lakini walisonga mbele kwa mbele mpaka wakaingia Berlin kwa Hittler.
Lakini kwanza huwa mwanzo uwaaminishe kwanini wapigane, kwanini wajitolee kufa, uwachochee na kuwapa mzuka, ila kwenye huu ugomvi Putin kawakanganya kwa kukurupuka, amewatumbukiza kwenye ugomvi ambao hawauhitaji na hawautaki, ukiingia kwenye mitandao ya kijamii kama Quora utaona namna gani Warusi wanapinga hivi vita.
Pia kwao kule wanakamatwa wengi wanaothubutu kufanya maandamano ya kupinga hivi vita vya Putin.
Asante mkuu, this makes more sense. Western part na ndipo kuna population kubwa na miji mikubwaKulikuwa na speculations mbili.....
1. Western russians wana Ndugu wengi Ukraine ni ngumu kuwaambia wapigane.
2. Kungekuwa na Riots kwenye miji mikubwa as their sons wangekuwa wamepelekwa vitani, lakini saiv hawawezi Goma sababu sio watoto wao waliopo vitani.
warusi hawana roho mbaya bhana wanawazika wanajeshi wa ukraineTuambie wewe unataka nani atupe Takwimu,Putin au? 😁😁.
Zingine hizi hapa,njooni muwakomboe kabla hawajakatwa makende.
View attachment 2143214
Heeee hii imekaaje hii 😱😱😱Jamaa kachoma Mahindi huyu maiti imefufuka huku waandishi wa habari.wakielezea View attachment 2142988
Hiyo picha ya tatu sio sahihi.View attachment 2142848View attachment 2142849View attachment 2142850View attachment 2142851
Urusi wachukue Askari kutoka Syria ila sio hawa
na wakitoka urusi anawapelekaMbona kama ni kilio cha mtu mzima hiki? Watu hawatoki sababu wengi wao wanataka kuilinda Nchi yao simple.
Meja General hawezi kwenda mstari wa mbele vitani. Tuondolee huu upumbavu.View attachment 2142904
Ukraine Sio Syria huyu ni Major General wa kikosi Cha Russia, kulingana na Taarifa za kiintelejensia za Ukraine ameisha liwa kichwa.
Leo pia nitaendelea kupost mizoga ya Askari wa Russia
Ugonjwa wa Akili ni unazidi kushamiri aisee.Generali wa pili wa Urusi auawa Ukraine.Mfumo wa mawasiliona wa jeshi la urusi wafumuliwa na hackers,mawasiliano yote hadharani. Uhaba mkubwa wa chakula na mafuta unawakabili majeshi ya uvamizi. Morali ya jeshi imeshuka kwa kiwango kikubwa baada ya mashambulizi ya kitaalam ya jeshi la Ukaraine. Kremlin:Vladimir Putin azidi kuchanganikiwa,hasa ukizingatia ushahidi wa uhalifi wa kivita unazidi kuzunguka kwenye mitandao ya kijamii. Majenerali wa Vladimir Putin wanahoji busara ya Putin kutumbukiza Urusi vita vya 'kipuuzi' kabisa. Jumuiya ya kimataifa inazidisha kibano vikwazo vya uchumi.-Toyota ,Nissan wamesitisha uzalishaji magari Urusi.
Vitaly Gerasimov: second Russian general killed, Ukraine defence ministry claims
Ukrainian intelligence says major general in Russia’s 41st army died outside Kharkiv along with other senior officerswww.theguardian.com
Aibu kubwa sana baada atupe takwimu za uharibifu ndani ya Ukraine maana ni nchi yake ndo inateketea huku RAIA wakiwa hawana pa kuishizelensky amekuwa mtoa takwimu za vifo ha ha ha ha
Ivi huu upuuzi unautoaga wapi kwani mzee mbona unapenda kutuletea taarifa za uongo uongo muda wote yaani hzi taarifa zako nyingi ni uchwara mfano hii map sijui umeitoa Rt au?Ukreina inakwambia tuneharibu silaha za urusi na kuwateka wanajeshi. Mwamba putin yeye anaendelea kunyakulia majimbo
#mtu mkimya muogopo
kwasasa silaha ya ukraine ni progaganda tu ha ha ha ha
View attachment 2143065
Frustration mwamba huyu hapa ulikuwa unamtafutaWhere is Ukraine's President Zelensky?
“I’m staying in Kyiv. In my office. I’m not hiding. And I’m not afraid of anyone.”
This is a true leader.
https://www.facebook.com/
Uyo muongo muongo masaa yote bhana na taatifa zake za Rtcc Morogoro kaskazini tunaweza linganisha Map yako na hii hapa tupate balance
Kahawa chungu mno hii,leta sukari tupunguze makali ya uchungujana nilisema wanajeshi wengi wa ukraine wakimbia muda huu wamebaki wachache na kusaidiwa na mamluki. pichani ni mamluki kutoka brazilView attachment 2143203
Huna akili pathetic!!Meja General hawezi kwenda mstari wa mbele vitani. Tuondolee huu upumbavu.
#Al SahafHIZI Humanitarian coredor Russia Asipokuwa Makini Huu ndio Mwisho wake.
Ukrainian Defense Minister Reznikov said that there is "significant progress" in the supply of weapons and ammunition to Ukraine.
“I will not comment on the supply of weapons and ammunition - this is a sensitive moment. Let the enemy be in for a surprise. Know: there is significant progress,” he wrote on Facebook.
View attachment 2141844
This makes sense.Nilipatwa na mashaka mno kuona maneno mengi ya kujiliza liza ya Russia,yani anawalazimisha watu waondoke hata kama hawataki.Yeye ashushe tu hiyo mnvua ya mabom kama anataka na siyo kuja na visingizio lukuki vya kwa nini watu hawaondoki.na wakitoka urusi anawapeleka
belarus au urusi,
kitu ambacho waukraiane
hawataki kwenda kwenye hizo nchi ambazo ndo watesi wao,
hayo magari yangekuwa yanaelekea poland
mambo yangekuwa tofaut.