Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sijaongelea swala la mwenye silaha nyingi na haribifu zaidi Bali nilikua nzmjibu aliyesema Kwamba NATO bado hawajatoa silaha yoyote kubwa ya maana.ndo nikamtolea mfano hizo silaha chache zilizotolewa ndizo zilizomo pia ghalani kule NATO.
 
Brussels Agrees Sanctions Relief for Some Russian Businessmen – EUobserver

The European Union will provide sanctions relief to Russian businessmen in charge of fertilizer and chemicals companies, the EUobserver newspaper reported on Thursday, citing diplomatic sources.

According to the report, the last-minute agreement followed 11th-hour ambassadors' talks on the sidelines of an EU summit in Brussels.

The money of the six Russian businessmen, who are currently under existing EU asset freezes and visa bans, will be unfrozen if it is “strictly necessary” to expedite shipments of food and fertilizer, especially to Africa.

Subscribe to RT
 
Leo Tena Ukraine imezidi kutembeza kibiriti ndani ya urusi pamoja na Crimea

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Chanzo ni wewe mwenyewe, picha ni wewe mwenyewe na video ni wewe mwenyewe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12]

Haiwezi kuwa habari hii.ebu rudi alafu uje tena na habari iliyokamilika
 
German MP Blasts 'Absurd' Price Cap on Russian Oil – media

Imposing an artificial ceiling on the price paid for Russian oil will provoke an increase in prices for the commodity, the chairman of the Bundestag committee on energy, Klaus Ernst, said in an interview with TASS, adding that the policies pursued by Brussels "absurd" and “self-destructive.”

Berlin is planning to entirely abandon energy imports from Russia, according to Ernst, who stressed that the operations at an oil refinery in the German city of Schwedt are critically dependent on Russian supplies.

"It is clear that this (ceiling on energy prices) will be counterproductive, because the price will rise,” Ernst argued. “In this regard, I think that such a restriction is absurd.”

Subscribe to RT
 
tag a kavulata
View attachment 2449653
Protests in Munich against inflation, rising prices and the economic policies of the Scholz government.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Na bado.tuliwambia awa vibwengo hapa jukwaani ila awakutaka kusikia.Urusi sio Zimbambwe[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Russian forces conducted their ninth large-scale missile campaign against critical Ukrainian energy infrastructure today and carried out one of the largest missile attacks on Kyiv to date.

Click here to read the latest from ISW and CTP:
Institute for the Study of War

Eastern Ukraine Update:
  • Russian forces conducted counterattacks in the Svatove and Kreminna areas.
  • Russian forces continued offensive operations in the Bakhmut and Avdiivka-Donetsk City areas.

Southern Axis Update:
Russian forces continued to undertake defensive measures on the left (east) bank of the Dnipro River.

Russian Mobilization & Force Generation Update:
Russian officials will likely struggle to recruit additional contract servicemembers despite ongoing efforts to do so.

Russian-Occupied Areas Update:
Russian occupation authorities continued seizing civilian infrastructure to treat wounded Russian servicemen and aid Russian forces operating in occupied territories.
 
Luka 14 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
³¹ Au kuna mfalme gani, akitaka kwenda kupigana na mfalme mwingine, asiyeketi kwanza na kufanya shauri, kwamba yeye pamoja na watu elfu kumi ataweza kukutana na yule anayekuja juu yake na watu elfu ishirini?

³² Na kama akiona hawezi, hutuma ujumbe kutaka sharti za amani, mtu yule akali mbali.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa sisi tumekubali iyo list.ila tunaomba tujue na nyinyi mmekufa wangapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wao hawafi!!! Ni ma robot. Ni kichaa tu ndio atakae amin kwenye uwanja wa vita unaweza ukahesabu maiti na casuality za adui tena on daily basis, narudia tena anaeamini hilo ni kichaa namba moja!!!
 
Wao hawafi!!! Ni ma robot. Ni kichaa tu ndio atakae amin kwenye uwanja wa vita unaweza ukahesabu maiti na casuality za adui tena on daily basis, narudia tena anaeamini hilo ni kichaa namba moja!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimempiga na kitu kizito kakimbia mbio huyo.sizani kama leo ataonekana tena jukwaani, au kaenda ubalozi wa Ukraine kuuliza[emoji1787][emoji1787][emoji1787].


Kipanya44 rudi utupe jibu
 
Wafalme wa Sasa hawalijari Hilo.., dunia ya Leo imepotoka,Kila kitu ni upotofu..,hayo mambo yalikuwa ni Kwa wafalme wa zamani waliokuwa na akili..,Hawa wa Sasa akili ni sifuri.., matokeo yake Wanaleta kilio katika nchi zao wenyewe

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Bado maandiko yapo sahihi, Putin hakuiona NATO nyuma ya Ukraine, yeye aliiona Ukraine kama Ukraine kwasababu ni mpumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…