kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Mbona urusi wanachakazwa Sana tu?? Hata Leo wamechakazwa huko Crimea.., pamoja na maeneo ndani ya urusi,Yani Urusi ishambulie alafu ulipoti wewe peke yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Vunjo ebu tuache kidogo.tukio kama ilo likitokea Urusi basi vyombo vyote vya magharibi habari ndiyo iyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] izo habari mmezitoa wapi.yani crimea ishambuliwe alafu mitandao ikae kimya.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Mbona urusi wanachakazwa Sana tu?? Hata Leo wamechakazwa huko Crimea.., pamoja na maeneo ndani ya urusi,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Inapatilana wapi iyo habari[emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona urusi wanachakazwa Sana tu?? Hata Leo wamechakazwa huko Crimea.., pamoja na maeneo ndani ya urusi,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Urusi ameshazoea kuchakazwa.., kuchakazwa urusi sio habari Tena..,vituo vyake vya mafuta juzi vilichakazwa, Kambi kadhaa za kijeshi huko urusi zinachakazwa kila kukicha..,hata warusi wenyewe wameshazoea kusikia sauti za milipuko kwa sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] izo habari mmezitoa wapi.yani crimea ishambuliwe alafu mitandao ikae kimya.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Ebu acheni utani basi.
He is a bitch...... He set up us...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Zelensk anapeleka mateja uwanja wa vita[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Video umeletewa kabisa ukionyeshwa Urusi anavyotembezewa mkong'oto.., unataka ushaidi gani Tena ??Inapatilana wapi iyo habari[emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Himars zetu Warusi wanazibonda ila tunawahi kuzikata supu ili wasije kuzipiga picha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani Himars zetu zimeenda wapi?
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha utani nikisanyie mashambulizi hata 20 yaliyofanyika Urusi kama yanafika njoo unikate kichwa.Urusi ameshazoea kuchakazwa.., kuchakazwa urusi sio habari Tena..,vituo vyake vya mafuta juzi vilichakazwa, Kambi kadhaa za kijeshi huko urusi zinachakazwa kila kukicha..,hata warusi wenyewe wameshazoea kusikia sauti za milipuko kwa sasa
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Yani video ya Vunjo nifungue ili nipoteze MB zangu.kwani hakuna hata chanzo kimoja kilichotoa taarifa.au ni tukio dogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Video umeletewa kabisa ukionyeshwa Urusi anavyotembezewa mkong'oto.., unataka ushaidi gani Tena ??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Bora wewe una moyo wa huruma kuliko pro Russia wenzio.., usikose pia kumwonea huruma huyu hapa maana siku si nyingi atakamatwa kama kukuHe is a bitch...... He set up us...
Slava Russo..... Slava Russo......
Battery low
Nimemuonea hadi huruma......
Acha masihara bwana.., mpaka Putin aliamua kufanya kikao kujadili Hali ya usalama alafu wewe unasema mashambulizi yanahesabika??..,kama Putin ameukubali mkong'oto anaotembzewa,wewe ni nani ukatae??[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha utani nikisanyie mashambulizi hata 20 yaliyofanyika Urusi kama yanafika njoo unikate kichwa.
Maana yanahesabika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una jibu zaidi ya ili.basi sawa kutoka 20 nakupunguzia mpaka 15.ukiweka matukio 15 basi mimi utoniona tena hapa jamii forrum.nasubiri jibu laoAcha masihara bwana.., mpaka Putin aliamua kufanya kikao kujadili Hali ya usalama alafu wewe unasema mashambulizi yanahesabika??..,kama Putin ameukubali mkong'oto anaotembzewa,wewe ni nani ukatae??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sawa, tumekusikia[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russia wamepokea NDOIGE zingine Ukraine inaenda kugongwa za chembe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2450121
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kila page kuna comments zako. Unaonekana wewe ni jobless.Acha masihara bwana.., mpaka Putin aliamua kufanya kikao kujadili Hali ya usalama alafu wewe unasema mashambulizi yanahesabika??..,kama Putin ameukubali mkong'oto anaotembzewa,wewe ni nani ukatae??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unataka habari za mashambulizi yote hambayo Ukraine amefanya ndani ya urusi? Huo muda napata wapi kwa mfano..,kamuulize Putin ni nini kilichomfanya Aite kikao cha kamati ya usalama kujadili Hali ya usalama nchini urusi..,huyo atakusimulia machungu ya mkong'oto hambao anaendelea kutembezewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una jibu zaidi ya ili.basi sawa kutoka 20 nakupunguzia mpaka 15.ukiweka matukio 15 basi mimi utoniona tena hapa jamii forrum.nasubiri jibu lao
Sawa, unataka nikusaidieje Sasa [emoji848]Kila page kuna comments zako. Unaonekana wewe ni jobless.
Ndio maana akili zako ni fupi. Hakuna wa kukupatia kazi wewe.
Ndio kazi ya askari hiyo.. ,ulimtaka ameremete kama wewe keyboard "wolia"??[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Mwanamgambo wa Ukraine siku 5 baada ya kupekekwa Bakhmut amekutana joto ya jiwe mpaka kachakaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2450140View attachment 2450142View attachment 2450143
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app