Askari kujificha kwa raia ni uhalifu wa kivita. unawageuza raia ngao yako, hii itasababisha kushambuliwa kwa misafara hata ya harusi au nyumba za ibada wakidhani askari wamejificha humoWanajeshi wa Ukraine Wanajifichaje kwa Raia? Kwani wao sio Raia wa Ukraine? Wao ni Raia usisahau wako huru kuwa popote kwenye nchi yao iwe kwenye nyumba za wa Ukraine wa kawaida au porini ni wako kwao.Huwezi kuwapangia kuwa wawe wapi.Ni nchi yao
Wanajeshi hawabebi passport kwenye uwanja wa Vita.Vita Huwa havina mbabe:
Passport za wanajeshi wa Russia waliouwawa kwenye mapiganoView attachment 2143364
Japan kaona bora akae mbali nchi zote zinazowekwa 'unfriendly list' na Urusi zinakuwa target ya moja kwa moja ikitokea vita na Japan wanajua madhara na maumivu ya Little boy ya Hiroshima na Fatty man ya Nagasaki hivyo hawezi kujiweka hatari kwa mizigo kama Poseidon na SatanToyota, the world's largest car manufacturer, is returning to the Russian market. Less than a week has passed since the announcement that Toyota and Lexus are leaving Russia.View attachment 2143361
Mkuu wanajeshi gani wanabeba hadi Passport wakati wa VITA?? asee hiyo sio PEACEKEEPING mzee, hizi kamba wapige madogo wa Buza huko.Vita Huwa havina mbabe:
Passport za wanajeshi wa Russia waliouwawa kwenye mapiganoView attachment 2143364
Huna akili pathetic!!
Vita Huwa havina mbabe:
Passport za wanajeshi wa Russia waliouwawa kwenye mapiganoView attachment 2143364
Askari wanapoenda vitani (kuvamia nchi nyingine) wanabeba passport?Vita Huwa havina mbabe:
Passport za wanajeshi wa Russia waliouwawa kwenye mapiganoView attachment 2143364
Mkuu naomba link ya hii taarifa kama hutojali.Toyota, the world's largest car manufacturer, is returning to the Russian market. Less than a week has passed since the announcement that Toyota and Lexus are leaving Russia.View attachment 2143361
MFrustration mwamba huyu hapa ulikuwa unamta
Mambo haya sasa, ππππ Nyamizi Frustration
View attachment 2143383@Nyamizi @nyundo ya moto inaonekana kama ni maigizo au kulikuwa na ulazima gani wa kuwafunika makapeti usoni?
Huu ndiyo ushindi wa Vita?Ukraine flattened by Russian bombs
View attachment 2143378
View attachment 2143379
View attachment 2143380
View attachment 2143381
Askari mΓ teka wa Urusiπmitry ViktorovichEndeleeni kuleta vichekesho tu [emoji3]
π€£π€£π€£ jamaa kaona isiwe taabu,ya nini kukaa kafunikwa na plastick anakosa hewa.
Pumzi yangu, Mnizibe nisipumueπ€£π€£π€£ jamaa kaona isiwe taabu,ya nini kukaa kafunikwa na plastick anakosa hewa.