kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Askari kujificha kwa raia ni uhalifu wa kivita. unawageuza raia ngao yako, hii itasababisha kushambuliwa kwa misafara hata ya harusi au nyumba za ibada wakidhani askari wamejificha humoWanajeshi wa Ukraine Wanajifichaje kwa Raia? Kwani wao sio Raia wa Ukraine? Wao ni Raia usisahau wako huru kuwa popote kwenye nchi yao iwe kwenye nyumba za wa Ukraine wa kawaida au porini ni wako kwao.Huwezi kuwapangia kuwa wawe wapi.Ni nchi yao