kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Jamaa nimeamua kumpuuza aisee ., Russia walitoa official statement wakiilaumu uingereza kuhusika Moja kwa moja na ulipuaji wa Hilo Bomba la gesi ., lakini yeye amekaza shingo akiwatetea uingereza kwamba hawakuhusikaMbona sasa unabishana na Russia wenzako
Russia Accuses The British Navy Of Blowing Up Nord Stream Pipelines | OilPrice.com
Russia has accused the British Navy of being responsible for the sabotage of the Nord Stream pipelines, although provided no evidence for the claimoilprice.com
Master anaenda kuangalia fursa za kibiasharaRecently freed from jail in the US, the "merchant of death" Viktor Bout travels to Luhansk
- just one week
Pole sanaa what's the source of your information?Kwenu pro Russia
Mwaka 2022 unaisha Still Russia anapigana na Ukraine, Malengo ya so called Special Military operation bado hayajitimia (Hadi sasa Russia ameshindwa kuiteka Luhansk and Donesk)
Amekimbia maeneo aliyoyateka, Bidhaa zake za mafuta zimaanza kuuzwa kwa discounted price
Nadhani mpaka sasa anayeelewa sababu za huu uvamizi ni Putin mwenyewe.Kwenu pro Russia
Mwaka 2022 unaisha Still Russia anapigana na Ukraine, Malengo ya so called Special Military operation bado hayajitimia (Hadi sasa Russia ameshindwa kuiteka Luhansk and Donesk)
Amekimbia maeneo aliyoyateka, Bidhaa zake za mafuta zimaanza kuuzwa kwa discounted price
Unafurahia, unalalamika, unakereka, au unasemaje?!Kwenu pro Russia
Mwaka 2022 unaisha Still Russia anapigana na Ukraine, Malengo ya so called Special Military operation bado hayajitimia (Hadi sasa Russia ameshindwa kuiteka Luhansk and Donesk)
Amekimbia maeneo aliyoyateka, Bidhaa zake za mafuta zimaanza kuuzwa kwa discounted price
Bila shaka atakuwa anafurahia kuona operation iliyopangwa kumalizika kwa muda usiozid siku 3 Hadi wiki Moja.., Badala yake imegeuka vita ya muda mrefuUnafurahia, unalalamika, unakereka, au unasemaje?!
Operation ya siku tatu?! Who said that?!Bila shaka atakuwa anafurahia kuona operation iliyopangwa kumalizika kwa muda usiozid siku 3 Hadi wiki Moja.., Badala yake imegeuka vita ya muda mrefu
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Huenda hata yeye Putin haelewi ni nini muelekeo wa hii vita lakini afanye nini??Nadhani mpaka sasa anayeelewa sababu za huu uvamizi ni Putin mwenyewe.
Inaonyesha russia alitafuta sana diplomasia kuzuia vita visitokee lakini aligonga mwamba.option pekee ilabaki kua ni special operation.Former US Ambassador to Russia John Sullivan who attended the meeting of the Secretary of the Security Council of the Russian Federation Nikolai Patrushev and CIA Director William Burns in 2021, said that the parties discussed Ukraine and allegedly the beginning of a Special Military Operation was already "a foregone conclusion".
Pope anasame vita havitaisha hivi karibuni kwa sababu kuna mataifa mbalimbali yanayojihusisha na vita hiyo.The war will be long - Pope says
"I don't see the end of the conflict in the short term, because this is a world war. Already several hands are involved"