kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Umemaliza kutukana??Wewe mshamba hebu tulia dawa ikuingie. 24/7 upo humu unatoa maneno ya kejeli na vijembe. Kitu gani cha maana unachangia!?
Left hand?NITAFUTE MIMI HAPA
BUY CAR FROM RUSSIA
Acha kujibebisha wewe. Mtoto wa kiume unakuwa lege lege kama mrenda!!!
Left hand?
Si ni wao Wenyewe walikuwa wanasema Russia hana technology!!?? Humuhumu au walifungua Uzi mwingine ...wanapewa walichotaka hawataki tena ...Hawa jamaa wa HAKI SAWA chenga..sanaMzee hebu usitunyime uhuru wa kujadiliana hapa. Umetuma comment yako ya kwanza tumekaa kimya. Bado unarudia. Kuna wengine wanafaidika na hivi tunavyoviweka.
Usituzingue.
Imerusha drones 23 kulenga mji wa KyivUkraine imedondosha drone aina ya Kamikaze 15 kati ya 20,asubuhi ya leo[emoji848]
.....
Ukraine's air defense shot down 15 out of 20 iranian kamikaze drones that attacked Kyiv early this morning – Mayor Klychko
View attachment 2451475
Pitia hapa uone namna watu wanavyopukutikaHalafu hawa ma oligarchs wanazidi tu kufa kwa ama kujirusha kutoka maghorofani au kuporomoka kwenye ngazi. Huyu sijui wa 10 sasa...
View attachment 2451617
Kushambulia na kumiliki ni vitu viwili tofauti. Aerial attack sio sawa na air dominance[emoji778]️کی یف صبح خود را با انفجار آغاز کرد/ حضور نیروهای ناتو در اوکراین
[emoji617]«ویتالی کلیچکو» شهردار کی یف اعلام کرد که چندین انفجار در دو منطقه پایتخت اوکراین به وقوع پیوسته است.
[emoji778]️Kyiv started its morning with an explosion/ NATO forces presence in Ukraine
[emoji617]Kyiv Mayor Vitaly Klitschko announced that several explosions took place in two regions of the Ukrainian capital.
T14 Armata hv hili anga la KIEV ndio ulisema halijamilikiwa na RUSSIA
Hii ya leo MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app