BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 9,121
- 20,814
Kuna baba yangu mdogo alikuwa anaendesha chuma za KAMAZ wakati barabara ya Kahama- Burundi via Ngara inawekwa lami anakwambia hizi chuma zina nguvu haijawahi kutokea. Anakwambia sio Astra, Scania, Man wala Jiefang zilikuwa zinaifikia kwa kaziMADE IN RUSSIA
KАМАZ-65953
Kyiv haina umeme, simu hazina chajiGroup limepoa sana jamani.kwani kuna nini kimetokea leo mbona kina Kipanya44 awaonekani
[emoji23][emoji23][emoji23] Nato na Marekani wamewatafutia wenzao matatizoKyiv haina umeme, simu hazina chaji
[emoji23][emoji23][emoji23] Nato na Marekani wamewatafutia wenzao matatizo
Si ina jenereta Mzee baba ama timu makambo haipo kusapoti uwepo wa majenereta na solaKyiv haina umeme, simu hazina chaji
Unaweza kushambulia kama hujamiliki !!?Kushambulia na kumiliki ni vitu viwili tofauti. Aerial attack sio sawa na air dominance