Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tatizo unatumia akili kubwa kutafsiri coment simple tu.., ukiangalia hiyo taharifa niliyoikwoti imekaa kimtegomtego hivyo na Mimi nimeijibu kimtegomtego

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
taharifa.....taarifa

niliyoikwoti.....'niliyoikwoti'

Mambo ya kimtegomtego unayajua mwenyewe

Watu wako 'serious' wewe unaleta upuuzi humu???!!!
 
Kama hutaki kuelimika achana na coment zangu ..,huna hadhi ya kujadiliana na Mimi..,una mihemko.., inaonekana huko katika kipindi Cha kubalehe maana una utoto mwingi,.
Tafta wenzako wenye akili finyu mkajadiliane,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kama hutaki kuelimika achana na coment zangu ..,huna hadhi ya kujadiliana na Mimi..,una mihemko.., inaonekana huko katika kipindi Cha kubalehe maana una utoto mwingi,.
Tafta wenzako wenye akili finyu mkajadiliane,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
This is a public forum...huwezi kuleta ujinga humu halafu uachwe hivi hivi....suala la kubalehe...Muulize swali hilo baba yako mzazi aliyekuzaa kuwa alikuwaje wakati wa kubalehe...jibu lake ulete humu JF.....Hakuna hata siku moja umeleta humu issue ya kuelimisha watu....
 
Wali kwa lugha nyingine unaitwa ubwabwa, ukiwa umezidi maji unaitwa bokoboko.
Jitafakari na ujijibu.
 
💥💥💥President of Croatia: “Ukraine is not our ally, they are trying to cope with it by force. Some people do it for the shit."
Croatian President Zoran Milanovic has criticized Prime Minister Andrej Plenkovic's initiative to vote for training UAF fighters in their country.
Earlier, the president spoke about the low level of training of the Croatian army.

hello zelya💥💥💥
 
This is a public forum...huwezi kuleta ujinga humu halafu uachwe hivi hivi....suala la kubalehe...Muulize swali hilo baba yako mzazi aliyekuzaa kuwa alikuwaje wakati wa kubalehe...jibu lake ulete humu JF.....Hakuna hata siku moja umeleta humu issue ya kuelimisha watu....
Tatizo una upumbavu mwingi na shobo zisizo na maana,kama uliona huwezi kujadiliana na Mimi kwa lugha ya staha potezea coment zangu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji95][emoji95][emoji95]President of Croatia: “Ukraine is not our ally, they are trying to cope with it by force. Some people do it for the shit."
Croatian President Zoran Milanovic has criticized Prime Minister Andrej Plenkovic's initiative to vote for training UAF fighters in their country.
Earlier, the president spoke about the low level of training of the Croatian army.

hello zelya[emoji95][emoji95][emoji95]
Hujachoka kuleta ujinga wako hapa?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kumbe Bhakhmut ishakombolewa ?

Rais wa Ukraine kazuru Bhakmut kutembelea wanajeshi
The battle for Bakhmut continues. Units of the Wagner PMCs are advancing almost on all the front lines in the region. Clashes are ongoing in Podhorodnoe located north of Bakhmut and in Opytnoe located south of the city. On the eastern outskirts, fighting is ongoing on the streets.
 
Hiyo battle for bakhumut haijaisha tu tangu mwezi wa Tano?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hii ni aibu nyingine kwa Bwana mkubwa Putin.Ni kama vile anashindwa kila mahali🤔
....
President Zelensky visited today Bakhmut, a frontline city in eastern Ukraine
FB_IMG_1671544179386.jpg
 
Mara hii umeshasahau zile ramani zako hambazo Huwa unatuletea hapa? [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hamjielewi nyie.hakuna hata mtu mmoja aliyesema Bakhmut ipo kwenye mikono ya Warusi.Warusi wamefanikiwa kuingia kwenye mji wa Bakhmut kwa iyo mapigano yapo ndani ya mji. Kama zelensk yupo Bakhmut basi yupi mwisho kabisa wa mji wa Bakhmut maana mapigano bado ayajafika katikati ya Bakhmut.

Yakifika katikati ndo aende huko Bakhmut, kama akijamtokea cha Idriss Deby(wa Chad)[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe ndio hujielewi.., endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe [emoji848]

Back
Top Bottom