Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hahahaha Babu yetu Leo amekiri kwamba Hali ni mbaya huko kwa frontline [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Zile mbwembwe za nyuklia KWISHAAAAA[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ni swala la muda tu Bakhmut itanguka yote maana mapigano sasa yapo mjini.Zelensk atatangaza tu kwa siku wanakufa wanajeshi wangapi Bakhmut kama alivyoshindwa kujizuia akatangaza Severodonesk,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huko Bakhmut ma Wagner yanakufa kama mambuzi[emoji23][emoji23][emoji23] Uzuri Ukraine wanachanja mbuga kuelekea Svatone kukata supply route inayokwenda Bakhmut [emoji23]
 
Majirani wa Russia wanaanza kujitenga na Supapawa wa Mchongo[emoji23][emoji23]

[emoji298]️Uzbekistan sent a train to Europe bypassing Russia for the first time, local media reported.

The train consists of 46 cars and 91 containers with a load of copper concentrate. The length of the new route is over 4,000 km.

Prior to that, trains from Uzbekistan traveled on the Northern route of Europe-Asia rail transport, which passes through Russia.
 
Huko Bakhmut ma Wagner yanakufa kama mambuzi[emoji23][emoji23][emoji23] Uzuri Ukraine wanachanja mbuga kuelekea Svatone kukata supply route inayokwenda Bakhmut [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi we Vunjo unafatilia vizuri hii vita au uwa unapewa hadithi.wenzako washasahau kama kuna kipindi walikuwa wameanzisha mashambulizi kwa ajili ya mji wa Svatone.

Sasa ivi wanakimbizwa wao ile mbaya upande uwo wa Luhansk.Svatone na Kremina kwa sasa wapo mbali sana nazo wala iyo ndoto kwa sasa imeisha.

Ebu fatilia vizuri alafu ndo uje kupost vitu

Sasa ivi watu wanaelekea kwenye mji wa Lyman

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
20221220_185032.jpg
20221220_185008.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi we Vunjo unafatilia vizuri hii vita au uwa unapewa hadithi.wenzako washasahau kama kuna kipindi walikuwa wameanzisha mashambulizi kwa ajili ya mji wa Svatone.

Sasa ivi wanakimbizwa wao ile mbaya upande uwo wa Luhansk.Svatone na Kremina kwa sasa wapo mbali sana nazo wala iyo ndoto kwa sasa imeisha.

Ebu fatilia vizuri alafu ndo uje kupost vitu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2452934View attachment 2452935
Hahahaha mwana wa Putin mbona unatatarika Sana kwani hujui upande huo wa Svatone Ukraine wameweka news black out kama walivyofanya wakati wa counter offensive Kherson na Kharkiv we subiri tu matokeo.
Eti wako mbali?! Kwa mujibu wa Nani?! Au Babu Putin!?
P-66 highway mpk sasa ipo kwenye Range ya Artilleries za Ukraine,bado Ukraine wanafanya Sana mashambulizi kwenye command posts na ammo depots hapo Melitopol (kwa kutumia Himars) na ndo wanataka kuanzisha counter offensive nyingine ardhi ikishakauka matope,we subiri matokeo kaa kwa kutulia [emoji23][emoji23]
 
Nchi imekua Afghanistan au Nigeria kwenye Bokoharam[emoji23][emoji23]kila siku milipuko

[emoji298]️ A gas pipeline is on fire in the Vurnar district of Chuvashia of the Russian Federation, - Russia media.

In the footage from social networks, a huge pillar of flame rises upwards. The reasons are still unknown.
 
Nchi imekua Somalia [emoji23][emoji23]

[emoji298]️Dense smoke rises over the Russian city of Shebekino, and local residents receive reports of shelling - Telegram channels of Belgorod (Russia).

It is also reported that electricity and water supply have disappeared.

Hahahaha baada ya kuona jeshi la Russia ni kituko US congressman Adam Kinzinger anasema iwapo NATO itapigana na Russia bhas itakua ni kaoperesheni Ka siku 3 Tu washamaliza kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji298]️The war between NATO and Russia will be like a three-day operation, – US Congressman Adam Kinzinger.

This is how the parliamentarian answered the question about "why NATO still destroyed such a pathetic Russia."

[emoji298]️Ukraine will receive more than 10,000 Starlinks in the near future, an agreement on this has been reached with Elon Musk's company.
 
Dadekiiiii [emoji23]

[emoji298]️The budget bill for $1.7 trillion has been submitted to the US Congress, it provides for the allocation of $44.9 billion in aid to Kyiv, – Reuters.

Tukiulizana humu kwa wenzetu kuhusu Mimi na wewe ni Nani anayeweza kujadiliana issues za maana unadhani majibu yatakuwaje?! Huna Cha maana unacholeta kwenye Uzi huu zaidi ya maneno yafuatayo: kipigo, fashisti na dikteta Putin..pia vikatuni vya nguchiro akifananishwa na Putin...Mara picha zinazoonesha kidole Cha Kati...yaani mtu makini, mwelewa na mwenye heshima hawezi kuleta vikatuni au picha za Aina hiyo...Only a deranged person can do that...halafu unaleta hoja kwamba eti unaweza kujadiliana na eti una hadhi katika mijadala?! Mijadala gani hiyo ya kuweka vikatuni vya Aina hiyo?! Nchi hii inakwama kwa Mambo mengi kutokana na kuwa na watu wa Aina yako....Yaani hamna hata A, B, C za issues za kimataifa...huujui hata mgogoro wa Russia na Ukraine undani wake...comments za kiwango Cha chini kabisa kiuelewa...only a very very stupid and deranged person can do that...
Nimekwambia kama huwezi kujadiliana kistaharabu potezea coment zangu,sio lazima unikwot..,huo ndio upumbavu hambao sipendi

Ukiona umekosa la kujifunza kwangu nenda kajifunze kwa wengine..,kwa nini coment zangu zinakuwasha??Kuna kitu unatafta kwangu
Kwanza naomba kujua,wewe ni mwanamke??

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha mwana wa Putin mbona unatatarika Sana kwani hujui upande huo wa Svatone Ukraine wameweka news black out kama walivyofanya wakati wa counter offensive Kherson na Kharkiv we subiri tu matokeo.
Eti wako mbali?! Kwa mujibu wa Nani?! Au Babu Putin!?
P-66 highway mpk sasa ipo kwenye Range ya Artilleries za Ukraine,bado Ukraine wanafanya Sana mashambulizi kwenye command posts na ammo depots hapo Melitopol (kwa kutumia Himars) na ndo wanataka kuanzisha counter offensive nyingine ardhi ikishakauka matope,we subiri matokeo kaa kwa kutulia [emoji23][emoji23]
Ukraine amefanya counter attack nyingi na zimeferi.ni ngumu kwa sasa kufanya counter attack kwa sababu ya kuitaji silaha nyingi na wanajeshi wengi sehemu moja.pia matumizi ya Drone kwa jeshi la Urusi yamefanya couter attack kuwa ngumu kwa sasa.

Uwezi sema matope yawe kikwazo, wenzako kwani wanasonga vipi mbele au wao maroboti[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha baada ya kuona jeshi la Russia ni kituko US congressman Adam Kinzinger anasema iwapo NATO itapigana na Russia bhas itakua ni kaoperesheni Ka siku 3 Tu washamaliza kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji298]️The war between NATO and Russia will be like a three-day operation, – US Congressman Adam Kinzinger.

This is how the parliamentarian answered the question about "why NATO still destroyed such a pathetic Russia."

Mdomo unatengeneza mpaka ghorofa[emoji1787][emoji1787][emoji1787].ilo mbona linajulikana
 
Ukraine amefanya counter attack nyingi na zimeferi.ni ngumu kwa sasa kufanya counter attack kwa sababu ya kuitaji silaha nyingi na wanajeshi wengi sehemu moja.pia matumizi ya Drone kwa jeshi la Urusi yamefanya couter attack kuwa ngumu kwa sasa.

Uwezi sema matope yawe kikwazo, wenzako kwani wanasonga vipi mbele au wao maroboti[emoji23][emoji23][emoji23]
Amefanya counter nyingi zipi?! Tutajie!!! Maana Ukraine kabla ya kufanya counter offensive hua anatangaza kabisa ili Supapawa ajipange lakini wapi hatoboi...alitangaza counter offensive kule Kharkiv kilichotokea kila Mtu anakijua major supply routes za Russia zote zikarudi Ukraine Lyman, Kupiansk, Izium na mpaka Leo huyo Urusi wako ameshindwa kukomboa hata mji mmoja.

Baada ya kufanikisha Kharkiv akarudi kule kusini Kherson akatangaza counter offensive nyingine,Kilichotokea warusi na Yule kamanda wao mashavu wamekimbia hata kuvaa boksa hawakukumbuka wakakimbilia kujibanza pembezoni mwa MTO,naskia nako wameanza kupunguza wanajeshi maana wanaogopa kubutuliwa na Himars!

Now wanataka kuendesha counter offensive nyingine,sasa wewe tuambie hiyo iliyofeli ni counter offensive ipi?! Na hiyo Russia wako amesonga mbele wapi?! Kachukua miji gani?![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Napoteza muda wangu kubishana na wewe.hakuna ujualo, unafosi tu kubishana.kabla ya kuingia kwenye jukwas la kubishana basi tafuta habari
 
Back
Top Bottom