Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wewe ndio hujielewi.., endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Leta ushahidi kama kuna mtu humu alikuonyesha kuwa Bakhmut imechukuliwa maana record si zipo au zimefutika[emoji23][emoji23][emoji23].

Ndezi mkubwa wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna watu walisema hii mbinu ni ya kizamani sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].leo hii ndugu zao wanafanya Bakhmut
20221220_170337.jpg
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Russia imewatia mbaroni mamia ya wanamgambo wa Ukraine View attachment 2452824

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mwenzio kaumbuliwa juzi na hizo picha za mateka wa February Kenge wewe
 
#Ukrainian sources report the transfer of strategic reserves near #Artemovsk : the #4thbrigade of the National Guard and the #46thairborne assault brigade of the #AFU


Kupeleka 4th brigade na 46th airborne sio dawa maana nao wataisha tu kama brigade nyingine.Ukraine kwa sasa wanaitaji kukopa silaha au kutengeneza silaha kwa wingi.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Russia imewatia mbaroni mamia ya wanamgambo wa Ukraine View attachment 2452824

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
KAMATA MWIZIIIIIII [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Picha ya miezi 8 iliyopita unatuletea Leo...KAMATA JIZI LA KIRUSI HILOOOOO
Screenshot_2022-12-20-18-35-08-165_com.miui.gallery.jpg
 
Huko Russia ni milipuko tu mpaka Leo Babu Putin kaagiza FSB kuanza kukamata wanaohujumu miundombinu ndani ya Russia na maeneo waliyoteka ndani ya Ukraine [emoji23][emoji23]

 
Tatizo una upumbavu mwingi na shobo zisizo na maana,kama uliona huwezi kujadiliana na Mimi kwa lugha ya staha potezea coment zangu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tukiulizana humu kwa wenzetu kuhusu Mimi na wewe ni Nani anayeweza kujadiliana issues za maana unadhani majibu yatakuwaje?! Huna Cha maana unacholeta kwenye Uzi huu zaidi ya maneno yafuatayo: kipigo, fashisti na dikteta Putin..pia vikatuni vya nguchiro akifananishwa na Putin...Mara picha zinazoonesha kidole Cha Kati...yaani mtu makini, mwelewa na mwenye heshima hawezi kuleta vikatuni au picha za Aina hiyo...Only a deranged person can do that...halafu unaleta hoja kwamba eti unaweza kujadiliana na eti una hadhi katika mijadala?! Mijadala gani hiyo ya kuweka vikatuni vya Aina hiyo?! Nchi hii inakwama kwa Mambo mengi kutokana na kuwa na watu wa Aina yako....Yaani hamna hata A, B, C za issues za kimataifa...huujui hata mgogoro wa Russia na Ukraine undani wake...comments za kiwango Cha chini kabisa kiuelewa...only a very very stupid and deranged person can do that...
 
Hii ni Jana,nchi imekua km Afghanistan kila siku milipuko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

 
Wale wa Bakhmut vipi mmeshaikamata maana karibu Nusu mwaka mnapigana hapohapo hamwendi kokote[emoji23][emoji23][emoji23]Daaah eti hili ndo jeshi linalotaka kupigana na NATO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Ni swala la muda tu Bakhmut itanguka yote maana mapigano sasa yapo mjini.Zelensk atatangaza tu kwa siku wanakufa wanajeshi wangapi Bakhmut kama alivyoshindwa kujizuia akatangaza Severodonesk,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom