mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Leta ushahidi kama kuna mtu humu alikuonyesha kuwa Bakhmut imechukuliwa maana record si zipo au zimefutika[emoji23][emoji23][emoji23].Wewe ndio hujielewi.., endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe kenge umesahau update za bakhumut ulizokuwa unaleta kila mara hapa?Leta ushahidi kama kuna mtu humu alikuonyesha kuwa Bakhmut imechukuliwa maana record si zipo au zimefutika[emoji23][emoji23][emoji23].
Ndezi mkubwa wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndo leta kwani zimefutika au ?. Ili tumjue kati ya mim na wewe nani muongo.hakuna hata member mmoja aliyewahi kusema Bakhmut imeangukaWewe kenge umesahau update za bakhumut ulizokuwa unaleta kila mara hapa?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unaumwa wewe.Moja kati ya dalili za wanawake wenye Tabia za kikahaba ni kujitongozesha kwa Kila mtu..,hata kwa mtu wasiyemjua
Wewe huoni kwamba una Tabia hizo??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Bakhmut will fallKuna watu walisema hii mbinu ni ya kizamani sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].leo hii ndugu zao wanafanya BakhmutView attachment 2452823
Mwenzio kaumbuliwa juzi na hizo picha za mateka wa February Kenge wewe[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Russia imewatia mbaroni mamia ya wanamgambo wa Ukraine View attachment 2452824
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Zelensk alienda severodonesk na lysychansk na zote zikanguka kwenye mikono ya Warusi[emoji23][emoji23][emoji23].ukizidiwa umezidiwa tu wala hakuna nahma.silaha zimekata upande wa pili.Bakhmut will fall
Zelensk alienda severodonesk na lysychansk na zote zikanguka kwenye mikono ya Warusi[emoji23][emoji23][emoji23].ukizidiwa umezidiwa tu wala hakuna nahma.silaha zimekata upande wa pili.Bakhmut will fall
KAMATA MWIZIIIIIII [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Russia imewatia mbaroni mamia ya wanamgambo wa Ukraine View attachment 2452824
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Tukiulizana humu kwa wenzetu kuhusu Mimi na wewe ni Nani anayeweza kujadiliana issues za maana unadhani majibu yatakuwaje?! Huna Cha maana unacholeta kwenye Uzi huu zaidi ya maneno yafuatayo: kipigo, fashisti na dikteta Putin..pia vikatuni vya nguchiro akifananishwa na Putin...Mara picha zinazoonesha kidole Cha Kati...yaani mtu makini, mwelewa na mwenye heshima hawezi kuleta vikatuni au picha za Aina hiyo...Only a deranged person can do that...halafu unaleta hoja kwamba eti unaweza kujadiliana na eti una hadhi katika mijadala?! Mijadala gani hiyo ya kuweka vikatuni vya Aina hiyo?! Nchi hii inakwama kwa Mambo mengi kutokana na kuwa na watu wa Aina yako....Yaani hamna hata A, B, C za issues za kimataifa...huujui hata mgogoro wa Russia na Ukraine undani wake...comments za kiwango Cha chini kabisa kiuelewa...only a very very stupid and deranged person can do that...Tatizo una upumbavu mwingi na shobo zisizo na maana,kama uliona huwezi kujadiliana na Mimi kwa lugha ya staha potezea coment zangu
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ni swala la muda tu Bakhmut itanguka yote maana mapigano sasa yapo mjini.Zelensk atatangaza tu kwa siku wanakufa wanajeshi wangapi Bakhmut kama alivyoshindwa kujizuia akatangaza Severodonesk,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wale wa Bakhmut vipi mmeshaikamata maana karibu Nusu mwaka mnapigana hapohapo hamwendi kokote[emoji23][emoji23][emoji23]Daaah eti hili ndo jeshi linalotaka kupigana na NATO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]