Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Huko Bakhmut ma Wagner yanakufa kama mambuzi[emoji23][emoji23][emoji23] Uzuri Ukraine wanachanja mbuga kuelekea Svatone kukata supply route inayokwenda Bakhmut [emoji23]Ni swala la muda tu Bakhmut itanguka yote maana mapigano sasa yapo mjini.Zelensk atatangaza tu kwa siku wanakufa wanajeshi wangapi Bakhmut kama alivyoshindwa kujizuia akatangaza Severodonesk,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi we Vunjo unafatilia vizuri hii vita au uwa unapewa hadithi.wenzako washasahau kama kuna kipindi walikuwa wameanzisha mashambulizi kwa ajili ya mji wa Svatone.Huko Bakhmut ma Wagner yanakufa kama mambuzi[emoji23][emoji23][emoji23] Uzuri Ukraine wanachanja mbuga kuelekea Svatone kukata supply route inayokwenda Bakhmut [emoji23]
Hahahaha mwana wa Putin mbona unatatarika Sana kwani hujui upande huo wa Svatone Ukraine wameweka news black out kama walivyofanya wakati wa counter offensive Kherson na Kharkiv we subiri tu matokeo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi we Vunjo unafatilia vizuri hii vita au uwa unapewa hadithi.wenzako washasahau kama kuna kipindi walikuwa wameanzisha mashambulizi kwa ajili ya mji wa Svatone.
Sasa ivi wanakimbizwa wao ile mbaya upande uwo wa Luhansk.Svatone na Kremina kwa sasa wapo mbali sana nazo wala iyo ndoto kwa sasa imeisha.
Ebu fatilia vizuri alafu ndo uje kupost vitu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2452934View attachment 2452935
Nimekwambia kama huwezi kujadiliana kistaharabu potezea coment zangu,sio lazima unikwot..,huo ndio upumbavu hambao sipendiTukiulizana humu kwa wenzetu kuhusu Mimi na wewe ni Nani anayeweza kujadiliana issues za maana unadhani majibu yatakuwaje?! Huna Cha maana unacholeta kwenye Uzi huu zaidi ya maneno yafuatayo: kipigo, fashisti na dikteta Putin..pia vikatuni vya nguchiro akifananishwa na Putin...Mara picha zinazoonesha kidole Cha Kati...yaani mtu makini, mwelewa na mwenye heshima hawezi kuleta vikatuni au picha za Aina hiyo...Only a deranged person can do that...halafu unaleta hoja kwamba eti unaweza kujadiliana na eti una hadhi katika mijadala?! Mijadala gani hiyo ya kuweka vikatuni vya Aina hiyo?! Nchi hii inakwama kwa Mambo mengi kutokana na kuwa na watu wa Aina yako....Yaani hamna hata A, B, C za issues za kimataifa...huujui hata mgogoro wa Russia na Ukraine undani wake...comments za kiwango Cha chini kabisa kiuelewa...only a very very stupid and deranged person can do that...
Ukraine amefanya counter attack nyingi na zimeferi.ni ngumu kwa sasa kufanya counter attack kwa sababu ya kuitaji silaha nyingi na wanajeshi wengi sehemu moja.pia matumizi ya Drone kwa jeshi la Urusi yamefanya couter attack kuwa ngumu kwa sasa.Hahahaha mwana wa Putin mbona unatatarika Sana kwani hujui upande huo wa Svatone Ukraine wameweka news black out kama walivyofanya wakati wa counter offensive Kherson na Kharkiv we subiri tu matokeo.
Eti wako mbali?! Kwa mujibu wa Nani?! Au Babu Putin!?
P-66 highway mpk sasa ipo kwenye Range ya Artilleries za Ukraine,bado Ukraine wanafanya Sana mashambulizi kwenye command posts na ammo depots hapo Melitopol (kwa kutumia Himars) na ndo wanataka kuanzisha counter offensive nyingine ardhi ikishakauka matope,we subiri matokeo kaa kwa kutulia [emoji23][emoji23]
Mdomo unatengeneza mpaka ghorofa[emoji1787][emoji1787][emoji1787].ilo mbona linajulikanaHahahaha baada ya kuona jeshi la Russia ni kituko US congressman Adam Kinzinger anasema iwapo NATO itapigana na Russia bhas itakua ni kaoperesheni Ka siku 3 Tu washamaliza kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji298]️The war between NATO and Russia will be like a three-day operation, – US Congressman Adam Kinzinger.
This is how the parliamentarian answered the question about "why NATO still destroyed such a pathetic Russia."
Ukweli anaujua anajikaza tuMdomo unatengeneza mpaka ghorofa[emoji1787][emoji1787][emoji1787].ilo mbona linajulikana
Amefanya counter nyingi zipi?! Tutajie!!! Maana Ukraine kabla ya kufanya counter offensive hua anatangaza kabisa ili Supapawa ajipange lakini wapi hatoboi...alitangaza counter offensive kule Kharkiv kilichotokea kila Mtu anakijua major supply routes za Russia zote zikarudi Ukraine Lyman, Kupiansk, Izium na mpaka Leo huyo Urusi wako ameshindwa kukomboa hata mji mmoja.Ukraine amefanya counter attack nyingi na zimeferi.ni ngumu kwa sasa kufanya counter attack kwa sababu ya kuitaji silaha nyingi na wanajeshi wengi sehemu moja.pia matumizi ya Drone kwa jeshi la Urusi yamefanya couter attack kuwa ngumu kwa sasa.
Uwezi sema matope yawe kikwazo, wenzako kwani wanasonga vipi mbele au wao maroboti[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Babu yetu jasusi alitayarisha vikosi vya nyuklia kumbe ilikua mdomo tu kama kina Juma lokole[emoji23][emoji23]Mdomo unatengeneza mpaka ghorofa[emoji1787][emoji1787][emoji1787].ilo mbona linajulikana
Tangu November wimbo ni huohuo [emoji23] . Walevi wapo hapo Bakhmut tangu May [emoji1787]Bakhmut aina maisha marefu.kama mji wa Marinka mji mgumu kuliko yote umeanguka basi ni swala la muda tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2452990
Napoteza muda wangu kubishana na wewe.hakuna ujualo, unafosi tu kubishana.kabla ya kuingia kwenye jukwas la kubishana basi tafuta habariAmefanya counter nyingi zipi?! Tutajie!!! Maana Ukraine kabla ya kufanya counter offensive hua anatangaza kabisa ili Supapawa ajipange lakini wapi hatoboi...alitangaza counter offensive kule Kharkiv kilichotokea kila Mtu anakijua major supply routes za Russia zote zikarudi Ukraine Lyman, Kupiansk, Izium na mpaka Leo huyo Urusi wako ameshindwa kukomboa hata mji mmoja.
Baada ya kufanikisha Kharkiv akarudi kule kusini Kherson akatangaza counter offensive nyingine,Kilichotokea warusi na Yule kamanda wao mashavu wamekimbia hata kuvaa boksa hawakukumbuka wakakimbilia kujibanza pembezoni mwa MTO,naskia nako wameanza kupunguza wanajeshi maana wanaogopa kubutuliwa na Himars!
Now wanataka kuendesha counter offensive nyingine,sasa wewe tuambie hiyo iliyofeli ni counter offensive ipi?! Na hiyo Russia wako amesonga mbele wapi?! Kachukua miji gani?![emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe hapa tunabishana?! [emoji23] Wewe Una habari gani zaidi ya kutuletea habari za kimchongo na mapicha yako ya uongo ya miezi 8 iliyopita kutaka kutupiga kamba!Napoteza muda wangu kubishana na wewe.hakuna ujualo, unafosi tu kubishana.kabla ya kuingia kwenye jukwas la kubishana basi tafuta habari