Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wanamgambo wa Ukraine wameanza kuwasha miti ya Christmas kwa majenereta baada kulipuliwa mitambo yote ya kuzalisha umeme [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20221220-220908~2.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Putin Kwa Sasa anatafutwa kwa tochi. ,Tetesi zilizopo ni kwamba jamaa hayupo Tena Moscow Bali amejificha kwenye mji wa mafichoni usiojulikana

Masikini Putin [emoji848][emoji848]🥱[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Jamaa si alikuwa na vikao na waBelarus jana na tukamuona kwenye vyombo vya habari? Au we haukuwa na kifurushi
 
Tangu Pentagon wampe Ukraine go ahead ya kushambulia ndani ya Russia siku hizi imekua ni mwendo wa mioto tu

[emoji298]️ The authorities of the Kursk region of the Russian Federation reported about the shelling of the Sudzhansky district.

According to Governor Starovoit, four shells were dropped in the village of Makhnovka. There was a fire in one of the houses. A woman was hurt.
 
[emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255]

[emoji298]️ France will give Ukraine a new batch of Crotale air defense systems.

This was stated by President Emmanuel Macron in an interview with LCI TV channel.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Russia imewatia mbaroni mamia ya wanamgambo wa Ukraine View attachment 2452824

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sio wanajeshi,
Ni Wanamgambi Tena?[emoji1787]
 
Mods itapendeza wale wanaoshindwa bishana kwa hoja na kuanza kutoa matusi kwenye jukwaa letu pendwa wale ban ata la jumla jumla wanatualibia uzi huu kunawatu wastaharabu wanamadini ya kuchangia humu awatoweza changia watahofia kutukanwa tunakosa michango mizuri
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Central Africans Come Out In Support Of Injured Russian Diplomat

Citizens of the Central African Republic have held a public meeting in support of Dmitry Sitiy, a senior Russian diplomat to the country, who was last week injured by a mail bomb explosion.

Demonstrators could be seen holding signs that read: “Get Well Dmitry,” and “No to French Terrorists.”

The parcel, which exploded in the Russian official’s hands, also appeared to have contained printed anti-Russian, pro-French threats.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]EU Countries Order More Russian Oil — Transneft

Germany and Poland have requested pipeline oil deliveries from Russia for 2023, the head of state oil supplier Transneft, Nikolay Tokarev, said in an interview with Russia 24 TV.

Both countries had previously said they would give up pipeline supplies of Russian oil by the end of the year.

According to Tokarev, Warsaw expects to receive 360,000 tons of Russian crude this December and 3 million tons more in 2023. He added that Berlin has also placed an order for the first quarter of next year, but did not specify the volume requested.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Major Russian Bank Launches New Service In Iran

Russia’s second largest bank, VTB, has launched a new service allowing both individuals and businesses to transfer money to and from Iran, the lender announced.

State-owned VTB, which has been subject to sweeping Western sanctions since late February, has thus become the first lender to provide banking services to Iran, a country that has been under international restrictions for decades.

The new service will allow money to be sent between Russia and Iran using account details within a day.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu walisema hii mbinu ni ya kizamani sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].leo hii ndugu zao wanafanya BakhmutView attachment 2452823
Kuchimba mahandaki si mbinu ya kizamani Bali Ni mbinu ya kivita ya kukabiliana na adui hasa pale mnapochoka, mnataka kula nk.
Lakini pia kivita handaki Ni kizuizi dhidi ya mabomu na risasi
 
Wale wa Bakhmut vipi mmeshaikamata maana karibu Nusu mwaka mnapigana hapohapo hamwendi kokote[emoji23][emoji23][emoji23]Daaah eti hili ndo jeshi linalotaka kupigana na NATO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
NATO iliyoshindwa kupigana na mujahidin wenye AK 47 kwa miaka 21?
 
Hahahaha baada ya kuona jeshi la Russia ni kituko US congressman Adam Kinzinger anasema iwapo NATO itapigana na Russia bhas itakua ni kaoperesheni Ka siku 3 Tu washamaliza kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji298]️The war between NATO and Russia will be like a three-day operation, – US Congressman Adam Kinzinger.

This is how the parliamentarian answered the question about "why NATO still destroyed such a pathetic Russia."

Hi inachekesha Sana. Russia inayoogopwa na collective West yoote ndo ianguke kwa siku tatu kweli?
 
Back
Top Bottom