passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
Hivi unaakili kweli?Putin Kwa Sasa anatafutwa kwa tochi. ,Tetesi zilizopo ni kwamba jamaa hayupo Tena Moscow Bali amejificha kwenye mji wa mafichoni usiojulikana
Masikini Putin [emoji848][emoji848]🥱[emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unaakili timamu kweli?Putin Kwa Sasa anatafutwa kwa tochi. ,Tetesi zilizopo ni kwamba jamaa hayupo Tena Moscow Bali amejificha kwenye mji wa mafichoni usiojulikana
Masikini Putin [emoji848][emoji848]🥱[emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sasa inasaidia nini wakati mchekeshaji kaelemewaPutin anajisikiaje Zelensky kutembelea eneo ambalo mapambano ni makali?
Jamaa si alikuwa na vikao na waBelarus jana na tukamuona kwenye vyombo vya habari? Au we haukuwa na kifurushiPutin Kwa Sasa anatafutwa kwa tochi. ,Tetesi zilizopo ni kwamba jamaa hayupo Tena Moscow Bali amejificha kwenye mji wa mafichoni usiojulikana
Masikini Putin [emoji848][emoji848]🥱[emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sio wanajeshi,[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Russia imewatia mbaroni mamia ya wanamgambo wa Ukraine View attachment 2452824
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Migambo mkuu Sasa raia anapewa SMG anajifunzia kupigana frontSio wanajeshi,
Ni Wanamgambi Tena?[emoji1787]
Amemaanisha Nini , ambigous statementView attachment 2452589
According to Republican Congressman Adam Kinzinger, NATO can defeat Russia in three days.
But on the fourth day, the alliance will physically cease to exist
Kuchimba mahandaki si mbinu ya kizamani Bali Ni mbinu ya kivita ya kukabiliana na adui hasa pale mnapochoka, mnataka kula nk.Kuna watu walisema hii mbinu ni ya kizamani sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].leo hii ndugu zao wanafanya BakhmutView attachment 2452823
NATO iliyoshindwa kupigana na mujahidin wenye AK 47 kwa miaka 21?Wale wa Bakhmut vipi mmeshaikamata maana karibu Nusu mwaka mnapigana hapohapo hamwendi kokote[emoji23][emoji23][emoji23]Daaah eti hili ndo jeshi linalotaka kupigana na NATO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Hiv wale mujahideen wa Afgan unawachukulia poa eeenh. Urusi anawaelewa vizuri sana walichomfanyagaNATO iliyoshindwa kupigana na mujahidin wenye AK 47 kwa miaka 21?
Hi inachekesha Sana. Russia inayoogopwa na collective West yoote ndo ianguke kwa siku tatu kweli?Hahahaha baada ya kuona jeshi la Russia ni kituko US congressman Adam Kinzinger anasema iwapo NATO itapigana na Russia bhas itakua ni kaoperesheni Ka siku 3 Tu washamaliza kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji298]️The war between NATO and Russia will be like a three-day operation, – US Congressman Adam Kinzinger.
This is how the parliamentarian answered the question about "why NATO still destroyed such a pathetic Russia."
Oh nawaelewa Ni wanavita hasa waliwakimbiza wairan, waingereza, warusi, na hata wamarekani.Hiv wale mujahideen wa Afgan unawachukulia poa eeenh. Urusi anawaelewa vizuri sana walichomfanyaga
Wazee wa mapangoni. Mbungi lao sio mchezo[emoji23][emoji23][emoji23]Oh nawaelewa Ni wanavita hasa waliwakimbiza wairan, waingereza, warusi, na hata wamarekani.