LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hizo zote zingine porojo. Mimi si wa kuamua nani mwenye dhambi na nani hana dhambi.


Haiwezi kuwa dhambi kwa mmoja basi kwa mwengine ikawa si dhambi.
 
Unaongea simple sana mpaka nakushangaa before nilikuona kama analyst mzuri kumbe una ushabiki wakibongo, nikweli Russia yuko above kwenye military rank lakini kwenye hii battle anaface resistance. Hawezi kufanya massive destruction kama unavyohisi, mabeberu yanatoa back up behind the doors, fuatilia St javenile zinavyoharibu vifaru, bro vita ya pili ya dunia beberu mkuu alichakazwa sana na mjapani mpaka kutumia nukes kumaliza vita, the same wise Vietnam beberu alichakazwa mpaka kuchoma vijiji mwishoni akishindwa askari wakarudi America. Kuna kitu wengi wanakiunderstimate ( the purpose ) angalia soldiers na civilians wa ukraine wako excited kupambania nchi yao but Russ's soldiers morale iko chini coz wanatekeleza order. Fuatilia source nyingi kisha uje kuniprove wrong
 
Wewe jamaa sijui ni Upumbavu au ni Mahaba. Hivi unafikili kushinda Vita ni kutupa mabomu TU Holela huku hujui Kama Bomu limeua mtu au laaa? Ukiishauri Urusi itupe Mabomu TU bila kuangalia pale Kiev let say aue watu Milioni Moja ndani ya siku 2 Tena Raia unaona atakuwa ameshinda Vita au kushindwa Vita? Sio China au Iran,Cuba Wala Venezuela ambaye atakuwa upande wa Putin endapo Hilo litatokea,na hapo ndipo utaona Nchi zenye Nyuklia zikianza kuweka Alert Makombora yao na hapo hata Putin hataki lifike huko,Nia ya Putin ni kuhakikisha hakuna anayerusha Risasi hapo Kiev na Kisha Wanajeshi wa Urusi waingie Kiev kuweka bendera ya Urusi na kumtangaza rais Mpya wa Ukraine.

Hivi unafikili Marekani alipokimbia Mogadishu mwaka 1993 alikuwa Hana Uwezo wa kuigeuza Mogadishu Majivu na kuiacha bila kiumbe kinachoishi? Kwanini aliamua kukimbia? Tumia Akili kuongea sio Mahaba.

Ndio maana baada ya Urusi kuona kushindwa GROUP WAR dhidi ya Ukraine kwenye viunga vya Kiev kaamua kwenda kuchukua wapiganaji kutoka Syria ambao ni wazoefu wa Mapigano ya Mijini (URBAN WARFARE). Pia ni baada ya Urusi kugundua kwamba hapigani na Ukraine TU Vita vya Ardhini Bali Kuna Makomandoo kutoka US,UK na Canada.
 
The shooting of a car by unknown military near the village of Makarovo, Kharkiv region on February 28, 2022, was caught on a video surveillance camera. Possibly a provocation.

Your browser is not able to display this video.
 
A Russian woman was vacationing in Egyptian Sharm el-Sheikh and saw that someone had crumpled the Russian flag. She demanded that the hotel staff return the symbol of the Russian Federation to its place.
Your browser is not able to display this video.
 
The number of registered users in the Russian video hosting Rutube has increased by 5.5 times over the past week, the press service of the company told TASSView attachment 2143443
naona safari ya kujitegemea imeshaanza, waziri wao wa michezo alisema wataanzisha mashindano yao ya kimataifa baada ya kufungiwa UEFA na FIFA,
 
drone ilipue meli? Acha utani
 
Wee jamaa una roho ya kishwetwaani kabisa ulaniwe na kizazi chako
 
Wee jamaa una roho ya kishwetwaani kabisa ulaniwe na kizazi chako
Leo Israel imeivamia nchi huru ya palestina,
inaua wapalestina kibao kwenye nchi yao na kujiongeza mipaka kinyume na michoro halali ya umoja wa mataifa,

USA wapo kimya,
NATO wapo kimya,
EU wapo kimya,
AU wapi kimya,
Umoja wa mataifa wapo kimya,
Wewe mwnyw pia upo kimya,

You Ni kuskilizia marekani anamtetea yupi, yupi anamkandamiza.
Sijaona comment yako ya kulaani Hilo, au unadhani wale wapalestina wanaokufa kila siku kwny ardhi yao walimkosea Nini mungu.

Hebu tuache double standard,
Hii Dunia Ni yetu sote, Hakuna many hati miliki ya kuwafanya wenzie watumwa kwny ardhi ya mungu.

Karma Ni Kama msumeno bwashee[emoji4][emoji106]
 
Mambo haya sasa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nyamizi Frustration
View attachment 2143383
Wewe jamaa na war monger na ushabiki wako wa Russia , haiko rational unatuma taarifa za upande mmoja huoni aibu kwa upuuzi unaofanya unashabikia waukraine kufa il
naona safari ya kujitegemea imeshaanza, waziri wao wa michezo alisema wataanzisha mashindano yao ya kimataifa baada ya kufungiwa UEFA na FIFA,
Ukweli mchungu siyasifii mabeberu ila majamaa yamejipanga Sana, taasisi zao zina nguvu na hazikuota kama uyoga. Uwezo wa kuanzisha Russia mashindano yake anao ila yatakosa mvuto kama tunavyoona msimumuko wa UEFA. Mabeberu yakikukalia kooni hutoboi yako smart sana kwenye logistics na mikakati yao ya medani. Pro russia wengi wa bongo mnatokana na pedagogies zilizotumika kuwafundisha mashuleni na vyuoni kuwachukia mabeberu ila yanapositive side. Kumbuka hawa mabeberu yame engineer market economy na mifumo mingi ya pesa, ukayaangalia mabeberu kwenye negative eye yana positive pia
naona safari ya kujitegemea imeshaanza, waziri wao wa michezo alisema wataanzisha mashindano yao ya kimataifa baada ya kufungiwa UEFA na FIFA,
 
Raia washapewa silaha,
Unamtofautisha vipi Raia mwanajeshi Kama sio kuingia kwny ambush kifala Sana.

Ndo maana nmeshukuru ustaarabu was Putin kuruhusu raia waondoke ili watakaobaki maeneo ya Vita wahesabike Ni wanajeshi.

Sasa upumbavu wa zelensky anatumia kivuli Cha cease fire kufanya ambush na kuua wanajeshi. Uku akijimwambafai kabisa Kwny media

Huu upumbavu haupaswi kuvumiliwa na mtu yeyote anayeelewa Vita maana ake Ni Nini.

Huu upuuzi ameufanya pia marekani kule bhaghdad, Raia walikua na mabomu wanajilipua ovyo mbele yawanajeshi.

USA akaamua kutumia ndege kufyeka na mabomu mpk mji umebaki magofu Hadi leo, ndo pakatulia. Na hajafanywa chochote mpk Leo hii kwa uhalifu ule.

Leo Putin anaonesha ustaarabu, bado mnamuona fala.

Dawa ya Moto Ni Moto Zaid[emoji3525]
 
Aacha ujinga wa wewe,
Marekani hapigani Vita isiyokua na faida, pae Mogadishu aweke kambi miaka yote anapata Nini Kama sio kuchezea tu kodi za wamarekani bure.

Hivi unadhan alipoikimbia Vita ya Vietnam alikimbia Nini, maana unachezea kodi za wananchi kwny Vita isiyo na faida afu wananchi hao wakija boks la kura wanakupiga chini.
 
true
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…