Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Jamaa umekuwa kama Fire dept ya RF yaani kila tukio la moto unalileta hapa bila kujali lina uhusiano na OP au la. Mambo ya ajabu kweli.

Aircraft carrier ya urusi kushika moto kuna uhusiano gani na mambo yanayoendelea Ukraine!? Au unataka kusema ni waukraine ndio wameiwasha!? Yaani hata kibanda cha mangi wa kirusi kikiungua hapo Moscow wewe mbio kubandika hiyo taarifa hapa!

FYI matukio ya moto urusi hayajaanza after operation na wala hayatoisha after. Na sio urusi tu bali dunia nzima matukio kama hayo yanatokea. Nothing new. Tuletee hapa taarifa zinazohusu operation as the name of the thread demands. Tutashkuru sana mkuu
Unawazungumziaje wale wanaojaza servers kwa msululu wa magari na vifaa vingine vilivyotengenezwa urusi?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kumbukumbu kama hizi au sio

Putin Isn’t Yet Ready for Talks With Zelensky, Turkish Official Says

March 19, 2022
BRUSSELS — President Volodymyr Zelensky of Ukraine called publicly on Saturday for direct negotiations with President Vladimir V. Putin of Russia, but a senior Turkish official said that Mr. Putin was not ready for such talks.

https://www.google.com/amp/s/www.nytimes.com/2022/03/19/world/europe/putin-zelensky-turkey.amp.html
Tukiwaambia pro Russia kwamba Putin anatafta mazungumzo baada ya kuona kichapo kinakuwa kikali wanabisha[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Huenda miezi ya mbeleni mwakani tukashuhudia mazungumzo ya amani kati ya Urusi na Ukraine ila itabidi Zelensky ashinikizwe au ahakikishiwe usalama na washirika wake wa magharibi ili akubali maridhiano na Putin.

.........Sidhani kama Putin yupo tayari kwa miezi mingine mipya ya Vita na uharibifu wa uchumi.
Kwa kichapo alichotembezewa bila shaka atakuwa anajisemea kimoyomoyo kwamba "" yatosha Sasa"

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]️The governor of the Saratov region (Russia) confirmed the explosions in Engels near the local airfield.

It is reported that the area of the fire after the explosion was 120 square meters. Preliminarily, three people died, four more were injured.

Hii 'mioto' isiyoisha kila siku nani anaiwasha ?
 
Tangu mwezi wa 5 wimbo ni huo huo kuhusu bakhumut [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app

1672039699849.png
 
Ni muhimu kuweka kumbukumbu sawa. Putin hii kauli hajaitamka jana wala leo. Kaitamka tangu mwanzoni mwa operation na kama kumbukumbu zako zipo sawa ni miongoni mwa makubaliano waliyoyafanya chini ya Turkey. Na kama kumbukumbu zako zipo sawa wanausalama waliyowawakilisha Ukraine kwenye hayo mapatano baadaye waliuawa na serikali ya Zelensky lengo lilikuwa ni kubomoa makubaliano na kuendelea na vita.

Alichokisema Putin ni hiki!
Putin: "We simply have no other choice but to protect our citizens. But we are ready to negotiate with all the participants in this process about acceptable solutions, but that's their business - it's not us who refuse to negotiate, but they."

Kwa misingi hiyo hakuna kipya na hakuna cha kushitua!
Umefafanua vyema. Asante.
 
Thanks...hicho ndicho kilichopo, lakini Pro-NATO wa JF wanafanya information spinning....duh..
 
See “small units” .. ni wapi russia alitumia small units? for the records tu word special ops linatumika na vikosi maalum (sf) , ndio maana hiv vikos huanza vya macomando vimeku categorized as sf element maana most wana engage as small units tactics na indirect action.

Kwa vikosi alivyopeleka russia it was not small ops ni full convetional war, lilikuwa ni suala la muda tu putin kukubali ni vita kamili.
A small force na a big force ni ipi,tuanzie hapo,kwa kuwa sasa the plan is to have 300,000+ in boots into Ukraine.
 
WARUSI wanashambulia kwa kasi sana maeneo ya pande tano za jimbo la donesk.

Upande wa Bakhmut vikosi vya Ukraine kwa sasa maombi yao yapo kwenye kitongoji cha Ivaniivske.kikianguka tu basi supply ya vifaa vya kijeshi kwa vikosi vya Ukraine vilivyopo Bakhmut itakuwa imekata, kwa iyo watalazimika kupigana kama Mariupol

Upande mwingine wa mji wa Siversk Warusi baada ya kuchukua kitongoji cha yakovlivka sasa wapo kwenye kitongoji cha Rozdolivka.inaonekana Warusi wanataka kuzunguka mji wa Siversk
20221226_110524.jpg
20221226_110956.jpg
 
Ile Base ya Supapawa inayotumiwa na Nuclear bombers imebutuliwa tena na drone za Ukraine, wanajeshi 3 wameliwa vichwa. Base ipo 700km toka mpaka wa Ukraine. Halafu kuna watu wanatuambia Russia ina air defenses [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kaboom [emoji95]

Blasts were heard at Russia's Engels air base hundreds of miles from front lines in Ukraine, Ukrainian and Russian media outlets reported
 
Back
Top Bottom