HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
SLAVA UKRAINE [emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255]Its not abt fire again, is it!? Quite a slow learner but you are doing fine.
[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]UE!?
Which point?Whats the point!?
😂🤣😂🤣😂[emoji298]️Kazakhstan handed over 41 powerful generators for Ukrainian hospitals, – the press service of the Ministry of Health reports.
The generators will be sent to Mykolaivsk, Dnipropetrovsk and Kharkiv regions, which are under constant enemy fire.
Hata kupiga miundombinu ya kiraia ni strategy ya SMO au vitaNiliandika hivi mwezi february wiki mbili kabla Putin hajaivamia Ukraine kwa kujifanya ni "Special Military Operation". Jana kasema kuwa "This war is a tragedy", yaani ameukubali muziki wa jeshi Ukraine; amekimbilia kuharibu miundombinu ya kiraia kwa kutumia makombora ya masafa marefu na kuvuruga maisha ya raia wa kawaida tu kuliko kupigana vita na wanaume wenyewe huko frontline.
Sema kwa mtazamo wangu kisha ndiyo unadondosha ubongo wako unavyoona!
IRAQ walikuja kupewa silaha lini na nani !!!??Ulitaka nifananishe na vita ya majimaji?!
Ndani ya week 3 Mrusi alishindwa hata kuiteka Donbass yote ambayo kuna maeneo yupo tangu 2014,wakati huo Ukraine hata silaha za maana hawana wameanza kuja kupewa zile Howitzer baadae Sana wakati warusi washabalaswa Kiev.
Hiyo ni war crime! Kwenye modern warfare kuna kitu kinaitwa "rules of engagement." Vita ya bomoa bomoa kila kitu ilikuwa ya kiazamani ambayo haikuwa na rules of engagement.Hata kupiga miundombinu ya kiraia ni strategy ya SMO au vita
Acc to NATO pale YUGOSLAVIA mwaka 1999
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni muhimu kuweka kumbukumbu sawa. Putin hii kauli hajaitamka jana wala leo. Kaitamka tangu mwanzoni mwa operation na kama kumbukumbu zako zipo sawa ni miongoni mwa makubaliano waliyoyafanya chini ya Turkey. Na kama kumbukumbu zako zipo sawa wanausalama waliyowawakilisha Ukraine kwenye hayo mapatano baadaye waliuawa na serikali ya Zelensky lengo lilikuwa ni kubomoa makubaliano na kuendelea na vita.[emoji1782]View attachment 2457894
Achana na huyo aliyekata tamaa ya hii operesheni mkuuJamaa umekuwa kama Fire dept ya RF yaani kila tukio la moto unalileta hapa bila kujali lina uhusiano na OP au la. Mambo ya ajabu kweli.
Aircraft carrier ya urusi kushika moto kuna uhusiano gani na mambo yanayoendelea Ukraine!? Au unataka kusema ni waukraine ndio wameiwasha!? Yaani hata kibanda cha mangi wa kirusi kikiungua hapo Moscow wewe mbio kubandika hiyo taarifa hapa!
FYI matukio ya moto urusi hayajaanza after operation na wala hayatoisha after. Na sio urusi tu bali dunia nzima matukio kama hayo yanatokea. Nothing new. Tuletee hapa taarifa zinazohusu operation as the name of the thread demands. Tutashkuru sana mkuu
Mwenzao huyu hapa [emoji116]hana hamu na Ukraine,Yuko Moscow huko taabani anasubiri kutolewa kipande cha mzinga mat*koni[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Makamanda wanateta namna yakuwafinya Wanamgambo wa UkraineView attachment 2458170
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Polepole mtazoea tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Achana na huyo aliyekata tamaa ya hii operesheni mkuu
Kumbukumbu kama hizi au sioNi muhimu kuweka kumbukumbu sawa. Putin hii kauli hajaitamka jana wala leo. Kaitamka tangu mwanzoni mwa operation na kama kumbukumbu zako zipo sawa ni miongoni mwa makubaliano waliyoyafanya chini ya Turkey. Na kama kumbukumbu zako zipo sawa wanausalama waliyowawakilisha Ukraine kwenye hayo mapatano baadaye waliuawa na serikali ya Zelensky lengo lilikuwa ni kubomoa makubaliano na kuendelea na vita.
Alichokisema Putin ni hiki!
Putin: "We simply have no other choice but to protect our citizens. But we are ready to negotiate with all the participants in this process about acceptable solutions, but that's their business - it's not us who refuse to negotiate, but they."
Kwa misingi hiyo hakuna kipya na hakuna cha kushitua!
Huenda miezi ya mbeleni mwakani tukashuhudia mazungumzo ya amani kati ya Urusi na Ukraine ila itabidi Zelensky ashinikizwe au ahakikishiwe usalama na washirika wake wa magharibi ili akubali maridhiano na Putin.Kumbukumbu kama hizi au sio
Putin Isn’t Yet Ready for Talks With Zelensky, Turkish Official Says
March 19, 2022
BRUSSELS — President Volodymyr Zelensky of Ukraine called publicly on Saturday for direct negotiations with President Vladimir V. Putin of Russia, but a senior Turkish official said that Mr. Putin was not ready for such talks.
https://www.google.com/amp/s/www.nytimes.com/2022/03/19/world/europe/putin-zelensky-turkey.amp.html
A special millitary operation encompass the use of small units in direct or indirect military actions focused on "strategic or operational millitary objectives." In general terms,a special millitary operation lacks intensity.
Nimekuuliza pro lgbtq mwenzako kashikwa tako wewe unaumia nini sasa wakati ni agenda zenuWewe ni shoga ndio maana kila saa unautaja.
Tafuta na wewe basha akushike hilo tako maana unamuonea sana wivu Zelensky.