WARUSI wanashambulia kwa kasi sana maeneo ya pande tano za jimbo la donesk.
Upande wa Bakhmut vikosi vya Ukraine kwa sasa maombi yao yapo kwenye kitongoji cha Ivaniivske.kikianguka tu basi supply ya vifaa vya kijeshi kwa vikosi vya Ukraine vilivyopo Bakhmut itakuwa imekata, kwa iyo watalazimika kupigana kama Mariupol
Upande mwingine wa mji wa Siversk Warusi baada ya kuchukua kitongoji cha yakovlivka sasa wapo kwenye kitongoji cha Rozdolivka.inaonekana Warusi wanataka kuzunguka mji wa Siversk
View attachment 2458496View attachment 2458497