Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

See “small units” .. ni wapi russia alitumia small units? for the records tu word special ops linatumika na vikosi maalum (sf) , ndio maana hiv vikos huanza vya macomando vimeku categorized as sf element maana most wana engage as small units tactics na indirect action.

Kwa vikosi alivyopeleka russia it was not small ops ni full convetional war, lilikuwa ni suala la muda tu putin kukubali ni vita kamili.
Da kwa hiyo wewe Mnyamtuzu mwenzangu unapingana na Warusi wenyewe walioiita hii vita kama SMO?
Hivi ni WA Tanzania wangapi wanaenda kusoma masuala ya kijeshi nchini Urusi na Warusi wangapi wanakuja kusoma. Masuala ya kijeshi Tanzania?
Nia yangu ni kujua nani anajua zaidi maana ya OP na vita kamaili?

Marekani na washirika wake walienda kuisaidia Kuwait na vita Ile iliitwa Operation Desert storm.
Je walipeleka Small units ama jeshi kamili na majeshi ya nchi nyingine za NATO?
Nachokuomba kwa kua Warusi wenyewe wameiita Op basi tuheshimu maamuzi Yao,kwani Urusi imepigana vita nyingi sana hapa duniani inajua zaidi maana ya OP na vita kamili.

Pia Kaa ukijua Urusi inashindana muungano wa nguvu kubwa sana hapo Ukraine kwa kutumia wanajeshi Wachache sana.
 
Vladimir Putin appointed Dmitry Medvedev as his first deputy in the Military-Industrial Commission
Fk6Vvf4XgAEB0pS.png

Fk6VwPtXkAEgfeK.png
 
Ina maana huyu Babu haheshimu maamuzi ya Warusi?

👇

The Hill
Putin calls ‘operation’ in Ukraine ‘war’ for first time
3 days ago

Nachokuomba kwa kua Warusi wenyewe wameiita Op basi tuheshimu maamuzi Yao,kwani Urusi imepigana vita nyingi sana hapa duniani inajua zaidi maana ya OP na vita kamili.
Axel Lloyd MK254
 
Huyu Supa-pawa wa mchongo alikuzwa tu na propaganda za uongo ila kiuhalisia ukitoa hizo 'nyuklia' ni wa kawaida Sana.
Alikuzwa na nani???Vitu vingi mnajitengenezea wenyewe, mfano embu tafuta credible source yako halafu tupe list ya powerful countries (military power). Hao wazungu mnaowaabudu kama miungu watu ndo wanawatengenezeeni hizo list......au basi nao wanaongopa??
Ndo maana huwa tunasema tunaongea humu utafikiri watoto wa form four.......
"Et wa kawaida sana" kwa sababu unamapenzi tu...na unaandika tu na hisia.....Yaani hivyo vi drones vinavopenya na kuripuka ndo unatumia justification....

Wapalestina mara kibao wamewaotea wayahudi..(Utasema Israel wa kawaida kisa wapelistina wanawaoetea siku moja moja)

Wakurdi wanawasumbua kupita maelezo Turkey (Utasema Turkey ni wa kawaida)

Al Quida walifanikiwa kupenya mpaka wakalipua (Pentagon & NY ):Utasema Wamarekani wa Kawaida

US-Afghanistan wamekipiga 20 yrs...wameondoka..Taliban wamerudi (Utasema US wa kawaida)

Yemen pale Houthi...wanampa tabu Saudia Arabia pamoja na washirika wake..( Utamlinganisha Saudia na hao Houthi kweli...Hao Houthi wanarusha maroketi yanapenya tu utafikiri Saudia hajawekeza billions kwenye ulinzi)

US aliondoka Somalia 1994...(Utasema US wa kawaida)

Wa Viet-cong..walimpa tabu US..kaamua kusepa (Kweli utalinganisha USA na Vietnam:Utasema US wa kawaida)

Wa-Japan walimpa usumbufu wa ajabu USA kwenye vita vya pili..mpaka wakaamua kutumia nyuklia...Utasema USA wa kawaida sio-we unafikiri USA angeamua kukaza kwelikweli..hata bila nyuklia Japan asingesalimu?)

Haya Ujerumani ya Hilter alipokea kichapo baada ya miaka 6 ya kutwangana.....(Kwa akili zako utasema Ujerumani ya Hilter ilikuwa superpower ya mchongo..kisa tu alishindwa???

Waafrika tunawekaga chuki zetu mbele, utafikiri kuna kitu zitabadirisha....

Tunachambua vita utafikiri....ni ugomvi kati ya mke na mme..au Wakina Mandonga....

Aibu sana
 
Ukraine can reach not only Engels, but also Moscow - General Malomuzh

Today, our military and industrial complex has already established lines for the production of long-range missile systems that hit up to 1000 km, and most importantly, UAVs, which actually fly 600 km, 800 km, and 1,200 km. We can reach not only Engels but also Moscow and further. Therefore, the defense industry of Ukraine continues to increase this resource," the General emphasized

Mykola Malomuzh explained that Ukraine identifies strategic targets in Russia, namely aircraft bases, where Kalibr carriers are located, as well as other centers with launch systems aimed at Ukraine, Ukrainian civilians and Ukrainian energy structure because it is an act of terrorism and genocide. Respectively, these enemy targets are legitimate targets for Ukraine.
Ukraine can reach not only Engels, but also Moscow - General Malomuzh. Espreso
 
Narudia kusema kwamba anayefikiria kwamba Ukraine itashinda hii vita akajipime akili.
Boss Ukraine kutokushinda hii vita si ajabu, ajabu ni Ukraine kuishambulia Urusi ndani ya ardhi yake. Urusi ni wakati wake wa kuionyesha dunia nafasi yake, otherwise atachokonolewa kila siku taratibu kidogo kidogo.
 
Hahahaha...Nyani katema bungo [emoji23][emoji23][emoji23]

The RF Armed Forces evacuated four to six Tu-95 strategic bombers from the Engels-2 airfield

According to ZN, the planes were transferred to the Ukrainka airfield in the Amur region. Most likely, this is due to the increased frequency of attacks on #Russian airfields.

#Ukraine
 
Back
Top Bottom