Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unawazungumziaje wale wanaojaza servers kwa msululu wa magari na vifaa vingine vilivyotengenezwa urusi?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tukiwaambia pro Russia kwamba Putin anatafta mazungumzo baada ya kuona kichapo kinakuwa kikali wanabisha[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwa kichapo alichotembezewa bila shaka atakuwa anajisemea kimoyomoyo kwamba "" yatosha Sasa"

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]️The governor of the Saratov region (Russia) confirmed the explosions in Engels near the local airfield.

It is reported that the area of the fire after the explosion was 120 square meters. Preliminarily, three people died, four more were injured.

 
Hii 'mioto' isiyoisha kila siku nani anaiwasha ?
 
Umefafanua vyema. Asante.
 
Thanks...hicho ndicho kilichopo, lakini Pro-NATO wa JF wanafanya information spinning....duh..
 
A small force na a big force ni ipi,tuanzie hapo,kwa kuwa sasa the plan is to have 300,000+ in boots into Ukraine.
 
WARUSI wanashambulia kwa kasi sana maeneo ya pande tano za jimbo la donesk.

Upande wa Bakhmut vikosi vya Ukraine kwa sasa maombi yao yapo kwenye kitongoji cha Ivaniivske.kikianguka tu basi supply ya vifaa vya kijeshi kwa vikosi vya Ukraine vilivyopo Bakhmut itakuwa imekata, kwa iyo watalazimika kupigana kama Mariupol

Upande mwingine wa mji wa Siversk Warusi baada ya kuchukua kitongoji cha yakovlivka sasa wapo kwenye kitongoji cha Rozdolivka.inaonekana Warusi wanataka kuzunguka mji wa Siversk
 
Ile Base ya Supapawa inayotumiwa na Nuclear bombers imebutuliwa tena na drone za Ukraine, wanajeshi 3 wameliwa vichwa. Base ipo 700km toka mpaka wa Ukraine. Halafu kuna watu wanatuambia Russia ina air defenses [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kaboom [emoji95]

Blasts were heard at Russia's Engels air base hundreds of miles from front lines in Ukraine, Ukrainian and Russian media outlets reported
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…