Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni kujitoa akili tu lakini deep down wanajua Russia ni level zingine. Hakuna taifa duniani lenye nguvu za kijeshi kama urusi. Halipo! Russia ni nchi ya tano kwa military budget lakini ni nchi ya pili kwa nguvu za kijeshi. According to west.

Budget ya urusi kijeshi haifiki hata 10% ya ile ya US na nguvu zake ndio hizi ambazo Biden anaihutubia dunia waziwazi akiwaambia direct confrontation btn NATO and Russia is something to avoid strongly! Keypoint "NATO vs Russia" sio US ni NATO!!!

Vipi siku russia akiwa na budget hata ya 25% ya hiyo ya US!? Je US angekuwa na budget ya 60b usd per yr angekuwa hapo alipo!?

Mpka ss hv Ukraine amepewa misaada ya zaidi ya bilioni 90 euro kutoka mataifa zaidi ya 40 duniani. Na bado mingine inakuja. Hakuna mtu/nchi iliyowahi kupewa misaada mingi namna hii duniani.

Russia ni dude kuuubwa
 
Hii moskova ki-uwezo, kazi zake na hata radar na anti missiles zake tunaweza kufananisha na USS Zumwalt ya Marekani?

Axel Lloyd
 
Labda hujui historia.marekani na Russia kuwa kwenye pande mbili zinazokinzana kwenye vita ni kawaida mfano Korea war,Syria na kwingineko.kupigwa Kwa hizo kambi haimaanishi usalama wa urusi utadorora kumbukuka Russia ana kila Aina ya silaha kwa wingi.
Kwa kuongezea...Ukraine anachofanya ni kama kuinua morali na kuonesha kwa West kuwa misaada wanayotoa inafanyakazi..mtakumbuka miezi kadhaa nyuma...west walianza kulakamika hawaoni matokeo ya misaada wanayotoa...

Pia watu wajua kwamba mpaka wa Ukraine na Urusi ni approximatelly km 2300..yaan almost safari ya Dar Mwanza nenda na kurudi....kulinda mpaka wote huo..si mchezo....ni impossible...
 
Urusi ameshakuwa mdebwedo..,ndio maana Ukraine anapata ujasir wa kumchakaza mpaka kwao

Nafikiri wale waliokuwa wanauliza mara kwa mara kwamba mbona Ukraine hashambulii ndani ya urusi?? Leo watakuwa wamepata majibu mujalabu kabsa
Ikumbukwe kwamba Leo si mara ya kwanza kwa Ukraine kutembeza mkong'oto ndani ya urusi.., lakini kinachotofautisha hiki kichapo Cha Leo na vichapo vinginevyo..,ni kwamba wizara ya ulinzi ya urusi imejitokeza wazi bila kupepesa macho na kukiri mchana kweupe kwamba wamepokea kipigo Cha drone kutoka Ukraine
Hapo mwanzoni urusi haikuwai kukiri kwamba imetembezewa kichapo kwenye ardhi yake ,Bali walikuwa wanasema ni sabotage japo ukweli walikuwa wanaujua vizuri tu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hii moskova ki-uwezo, kazi zake na hata radar na anti missiles zake tunaweza kufananisha na USS Zumwalt ya Marekani?

Axel Lloyd
USS Zumwalt na Slava class destroyer (class ya Moskva) ni naval concepts tofauti sana. Kwanza Zumwalt ni destroyer ambavyo destroyer huwa ni faster, ndogo zaidi ya cruiser na haiendi mbali ikiwa independent. Destroyer inatumika kwenye escorts mfano aircraft carrier ikiwa deployed lazima destroyer iwepo ila sio lazima sana cruiser iwepo.

Cruiser inaweza tumika ikiwa independent, ikaenda mbali kushambulia kwa makombora labda ya kupiga ardhini kama Ticonderoga inavyobeba Tomahawk cruise missiles. Destroyer inakuwa na makombora ya kupigia meli, ndege na kupigia makombora ya kupiga meli, sometimes nyingine itaitwa missile destroyer.

Moskva ilitofautiana na concept ya US Navy kwenye kuunda cruiser. Marekani wao wanatumia vertical launchers wanahifadhi makombora ndani ya meli, wanasema ni kosa kubwa sana kuweka makombora nje yako exposed kwenye canisters hata mhuni akija na RPG bandarini akapiga moja linalipuka na kulipua mengine meli inaharibika. Ndio maana utetezi wa Urusi Moskva ilipopigwa ni huo huo kwamba hali mbovu ya hewa ilisababisha mlipuko wa makombora (an extremely silly excuse).

Navy isiyo na aircraft carriers ndio hutumia cruiser kama mbadala wa meli kubwa na flagship ambayo Admiral ataongozea fleet kama akiingia majini.
Navy yenye carriers haina haja sana na cruiser. Marekani naona hawana mpango nazo tena Ticonderoga zinastaafu miaka hii ya 2020s na hakuna project mpya. China wako busy na carriers na destroyers kama Type 055 (nzuri sana hii), siwaoni na cruisers. Russia nao cruiser mpya hawana hii Slava class ni ya Soviet Union ndio maana Moskva ilipozama meli ya Slava iliyobaki ipo Ukraine walishaipumzisha.

Cruiser ni concept inaenda inapotea labda. Kama battleship zilivyopotea. Russia wanapenda corvette ni meli ndogo haina ugumu sana kuiunda na haitumii bajeti kubwa.

Zumwalt ni somehow failed concept. Very expensive project na inahitaji muda kufika maturity au ipate class mpya itakayotumia mafunzo yaliyotokana na class hii. Hapo itakuwa destroyer moja hatari sana duniani. Marekani huwa hawaogopi kitu kipya na kigumu, ndio maana wana silaha nyingi sana zinazoishia kwenye demonstration na testing of concept ili wapate kitu kizuri zaidi. Wanapenda kuanzia 0 kwenda 1, Mchina anasubiri mfanye research mjue kipi kinafaa zaidi aje aige. Mrusi ana maisha yake tofauti kabisa
 
Ngoja tuendelee kutazama boss. Kama Urusi imekuwa mdebwedo itajulikana tu.
 
Ina maana ukiambiwa utaje best destroyer kwa sasa utaitaja Arleigh Burke class mbele ya hiyo Zumwalt? Au Daring class (UK)
 
Mkuu waambie kabisa huo msaada wa Zaid ya 90 Euro Billions, Ni sawa na Tsh Ngapi za Kitanzania na nibudget ya TZ ya miaka Mingap! ?
 
Russia kinachomfanya awe mbabe ni hizo silaha zake za manyuklia tu. Hakuna kitu kingine!
 
[emoji1787][emoji1787]

Kibabu Biden bhana hafai yule mzee.

Katoa ruksa
 
MADE IN RUSSIA


Server INEUM Elbrus 802 1U
Interface:
Elbrus OS, Alt Server 8 OS, Astra Linux Leningrad OS, Neutrino-E ZOSRV
Type of:
Server 19'
Processor Line:
Elbrus-8S
Clock frequency, MHz:
1300






 
[emoji298]️The US government has developed a special plan for accelerated training of the Ukrainian military to work on Patriot systems, - Minister of Foreign Affairs Dmytro Kuleba.

According to him, the Patriot battery will be on combat duty in Ukraine in less than six months.
 
Pangua pangua inaendelea [emoji23][emoji23][emoji23]



[emoji298]️ Russians have appointed a new commander of the western military district, the Chief Directorate of Intelligence of the Ministry of Defence of Ukraine reports.

Colonel-General Sergei Kuzovlev was dismissed from the post of commander of the Western Military District.

He had only been in this post for a month.

The Western Military District was headed by Lieutenant General Yevgeny Nikiforov. He became the fourth commander of the Western Military District since the beginning of the full-scale invasion.
 
Mmmmh hasira za haya mataifa maguvu makubwa hua ni mbaya sn.

Yaani Ukraine km atafanya hivo tunaweza kushuhudia matumizi ya manyuklia
 
[emoji298]️ Nord Stream AG has started to estimate the cost of repair of blown gas pipelines system "North Stream", writes The New York Times concerning sources. The estimated cost of the work is at least $500 million
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…