Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hahahaha...Nyani katema bungo [emoji23][emoji23][emoji23]

The RF Armed Forces evacuated four to six Tu-95 strategic bombers from the Engels-2 airfield

According to ZN, the planes were transferred to the Ukrainka airfield in the Amur region. Most likely, this is due to the increased frequency of attacks on #Russian airfields.

#Ukraine
Maana yake zimerudishwa nyuma zaidi.

Mi naombea Ukraine apeleke maumivu kwenye sekta ya nishati ili heshima iwepo

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hao waliokufa walikuwa frontline zaidi zaidi kwenye trench lines hivyo kuwatoa sio rahisi. Na wameuwawa kwa artillery shells ukiwaona juu, wakiwa kwenye trench inaweza kuwa shell yenye airbusting fuse au grenade zinazotupwa na mini UAVs.

Hali ni ngumu zaidi frontline, jana hujaona ile video wapiganaji kumi wamebeba majeruhi wawili walipofika kituoni kamanda wao akawatandika fimbo kwa uzembe
Una AK kwanini upigwe fimbo mgeuzie umpige tu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ina maana ukiambiwa utaje best destroyer kwa sasa utaitaja Arleigh Burke class mbele ya hiyo Zumwalt? Au Daring class (UK)
Alreigh Burke ni proven concept na ina logistics wezeshi na kila kitu chake kipo. Zumwalt ni future destroyer, on paper iko vizuri sana ila vitu vyake kama missiles nyingine hazijawa matured kutumika vita ya leoleo ila Marekani haishindwi kitu chake ukiivamia production yake inaongezeka maradufu na miradi inayosuasua inakamilishwa ingawa mnakuwa mmechelewa mwanzoni.

Kwenye vita ni bora silaha uliyonayo ukaizoea kwenye training, spare parts unazo, kama ni kuharibika mafundi washaizoea, na munitions zipo. Ukipewa silaha nzuri zaidi ila ngeni utahitaji muda kuweka kila kitu sawa. Huwa nawashangaa Warusi wa humu wanaolinganisha stealth Su-57 dhidi ya stealth F-35. Su-57 kwanza hata 20 hazipo, bora China ina J-20 zaidi ya 200 hadi sasa. Kama hujafanya mass production silaha yako ni upuuzi tu vitani, maana hakuna silaha ni immortal. Waulize Wajerumani their best tank in WW2 haikusaidia kwa vile units zilikuwa chache na walikuwa hawajazizoea
 
Again, kutokushinda hii vita kwa Ukraine sio ajabu, ajabu ni Ukraine kushambulia ndani ya Urusi....

Be honest, wakati wa mwanzoni uliwafikiri kuwa Ukraine anaweza ishambulia kambi ya Urusi ndani ya Urusi? Hili halikufikirika kwenye vichwa vya watu wengi hata kwa wamarekani wa humu.
Hakuwa na uwezo wa kuzuia endapo yangeanza rushwa kwake.
Kwa sasa ana uhakika wa kuzuia ndo maana kaamua fanya majaribio kabla hajaanza mass production

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
SLAVA UKRAINE [emoji1255][emoji1255][emoji1255]

Ukrainian troops near Soledar bypassed a Russian dugout and surprised them by approaching from behind. Most of the Russians surrendered. Those who denied it were eliminated. #Ukraine #Soledar #Bakhmut
 
Kwani kuna sehemu nimeitaja marekani?
Kuhusu Urusi jibu lipo February 2022.

"Whoever tries to interfere with us, and even more so, to create threats for our country, for our people, should know that Russia's response will be immediate and will lead you to such consequences that you have never experienced in your history."

Drones kushambulia ndani ya Urusi ni tishio kwa Urusi, Urusi kutokujibu kwa kiwango cha uzito wa hayo maneno hapo juu ni kuweka nafasi yake kwenye walakini.
Anaanda plan
Mabomu hayapigwi tu kuna kujiandaa, na kumbuka kwa sasa anategemea Iran ampe ili ayatumie

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Huenda miezi ya mbeleni mwakani tukashuhudia mazungumzo ya amani kati ya Urusi na Ukraine ila itabidi Zelensky ashinikizwe au ahakikishiwe usalama na washirika wake wa magharibi ili akubali maridhiano na Putin.


.........Sidhani kama Putin yupo tayari kwa miezi mingine mipya ya Vita na uharibifu wa uchumi.
Yaani mazungumzo yatafanyika tu iwapo Russia atayaacha maeneo yote ya aliyoyachukua ya Ukraine ikiwemo Crimea na Dombas
 
Kreminna soon inarudi [emoji1255][emoji1255][emoji1255]

AFU has liberated Chervonopopivka and Dibrova near Kreminna.

Russian forces will soon have to decide how feasible it is to hold western bank of the Krasna River (blue line). #Luhansk
 
Kreminna soon inarudi [emoji1255][emoji1255][emoji1255]

AFU has liberated Chervonopopivka and Dibrova near Kreminna.

Russian forces will soon have to decide how feasible it is to hold western bank of the Krasna River (blue line). #Luhansk
Kwa phase hii hadi Putin anakufa Russia itakuwa bado inapigana Ukraine
 
Back
Top Bottom