Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nimekuelewa vizuri...
 
Yaani mazungumzo yatafanyika tu iwapo Russia atayaacha maeneo yote ya aliyoyachukua ya Ukraine ikiwemo Crimea na Dombas
Kama kila upande utashikilia msimamo wake hii Vita itamaliza mwaka mwingine tena.

Ila US ikitaka Ukraine izungumze na Putin yaani walegeze msimamo, hilo linawezekana hata kama Crimea na Donbas zitasalia kwenye mikono ya Putin.........ila wakifanya hivyo itakuwa ni kumpa ushindi na nafasi ya kujipanga upya huyu mvamizi jambo ambalo hawapo tayari kwa Sasa.
 
Vita vya Ukraine vinaingia mwezi wa 11.

Wanajeshi wa Ukraine wamelazimisha wanajeshi wa Russia kuondoa sehemu za kaskazini mwa Russia, baada ya kuwashinda nguvu
 
Na alisema ndani ya siku 2 au 3 urusi itakuwa imeshamaliza kazi huu ni mwezi wa 11 lakn mambo bado.

Akishinda au akishindwa Ukraine nataka amtie hasara urusi hadi wafuasi waache kumkuza huku kwenye keyboard.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Hahahahah naona vijana wa Video games na Movies za Kivita wakichambua Masula Vita. Vijana hawajawahi hata kushika SR 56 lakin wanadadavua Strength na uwezo wa Kijasusi wa Urusi.

Haki hii dunia tamu Sana.
Hahahahahahahahaha kuna vituko humu na wanaaminishana kabisaa kwamba ni wataalam wa kijeshi na wanayachambua majeshi ya nchi mbalimbali huku wakiyadharau kabisaa
Hali ya kuwa hayo mataifa makubwa yanayahofia hayo majeshi
 
Kwa phase hii hadi Putin anakufa Russia itakuwa bado inapigana Ukraine
Hii ndio Special Military Operation iliyovunja rekodi ya kuchukua muda mrefu zaidi duniani (nime-nukuu maoni ya Warusi wa Namtumbo

Henda ikamaliza mwaka mwingine tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…