Msingi wa hii operation ilikua kuyamega baadhi ya maeneo kitu ambacho kimeshatimia ila kwa Sasa anakumbana tu zile taka taka zinazoleta usumbufu hivyo anaendelea kusafisha.Hii ndio Special Military Operation iliyovunja rekodi ya kuchukua muda mrefu zaidi duniani (nime-nukuu maoni ya Warusi wa Namtumbo
Henda ikamaliza mwaka mwingine tena.
Kumbukumbu kama hizi au sio
Putin Isn’t Yet Ready for Talks With Zelensky, Turkish Official Says
March 19, 2022
BRUSSELS — President Volodymyr Zelensky of Ukraine called publicly on Saturday for direct negotiations with President Vladimir V. Putin of Russia, but a senior Turkish official said that Mr. Putin was not ready for such talks.
https://www.google.com/amp/s/www.nytimes.com/2022/03/19/world/europe/putin-zelensky-turkey.amp.html

Dude la himars wengi tulikuwa hatulijui ila kwa sasa tumelijua.Kuonyesha sio lazima bhana....US hawaonyeshi hovyo hovyo ila ukiwakuta 'field' huamini macho yako.
US aliteka Iraq ndani ya wiki 3 tuHii ndio Special Military Operation iliyovunja rekodi ya kuchukua muda mrefu zaidi duniani (nime-nukuu maoni ya Warusi wa Namtumbo
Henda ikamaliza mwaka mwingine tena.