T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Hakuna jibu lenye akili ambalo Pro Russia ndani ya Jamii forums au Kremlin wanaoweza kutoa, Why Russia is fighting in Ukraine na sababu ya msingi kupoteza maisha na mali hukoIna maana Supa-pawa wa mchongo nafasi yake inapotea?....
Ila Pro Russia ni watu vichwa maji, huku Bakhmut Russia ameanza kupigana karibu miezi 5 hajasogea zaidi ya kurudishwa nyuma, ila unakuta mtu kabisa anaamini Russia anaweza kuanzisha convetional war na NATO, yaani ndio alitaka azivamie na Sweden na Finland, leo Russia angekuwa amesharusha Bomu la NyukliaWiki zijazo tutarajie habari njema kutoka Bahkmut ambapo Russia ndio imeweka concentration ya wanajeshi na ndio inapata casualties nyingi zaidi. Leo imeripotiwa Russia imeondoa headquarters zake kutoka Kreminna, ukisogeza nyuma HQ za forces maana yake inashambuliwa na unaona huwezi hold hiyo position. Artillery zikiwa within range inabidi usogee nyuma, isijetokea kama yaliyomkuta Dmitry Rogozin.
Situation ilikuwa hivi siku sita zilizopita na ile intensity ya Zelensky alipotembelea eneo hiloView attachment 2459852
Kuna kama brigedi 11 za Urusi na 12 za Ukraine zinatafutana. Bahkmut ni meat grinder na haina umuhimu sana kwa Ukraine ikirudisha hili kabla, ina umuhimu wa kipropaganda zaidi na umuhimu mdogo kijeshi kwa Urusi ikilichukua lote. Ilivyoripotiwa 5 days ago ambavyo inatarajiwa haijabadilika sanaView attachment 2459855
Umuhimu wa kipropaganda tu ndio resources na nguvu kubwa zitupiwe huko ?...🙄🙄...au linaweza kutumika kimkakati kushambulia maeneo mengine ya adui ?Bahkmut ni meat grinder na haina umuhimu sana kwa Ukraine ikirudisha hili kabla, ina umuhimu wa kipropaganda zaidi na umuhimu mdogo kijeshi kwa Urusi ikilichukua lote. Ilivyoripotiwa 5 days ago ambavyo inatarajiwa haijabadilika sana
Ni ubabe tu usiokuwa na maana.., urusi alitaka kuionyesha Dunia kwamba yeye ni super pawer kwa kuiteka Kiev ndani ya saa 72..,hiki ndicho kilichomponza hasa ,, kick za kijinga tuHakuna jibu lenye akili ambalo Pro Russia ndani ya Jamii forums au Kremlin wanaoweza kutoa, Why Russia is fighting in Ukraine na sababu ya msingi kupoteza maisha na mali huko
Alivyoiteka Crimea bila upinzani mwaka 2014 na aliposhambulia waasi wasio na air defense kule Allepo Syria mwaka uliofuata alijiona hana mpinzani wa kumzuia matokeo yake huko Ukraine amekabwa Koo mpaka anatamani mazungumzo....Ila Pro Russia ni watu vichwa maji, huku Bakhmut Russia ameanza kupigana karibu miezi 5 hajasogea zaidi ya kurudishwa nyuma, ila unakuta mtu kabisa anaamini Russia anaweza kuanzisha convetional war na NATO, yaani ndio alitaka azivamie na Sweden na Finland, leo Russia angekuwa amesharusha Bomu la Nyuklia
Kama unajifanya huna Akili huwezi elewa kwanini Russia aenda kuvamia Ukraine.Ni ubabe tu usiokuwa na maana.., urusi alitaka kuionyesha Dunia kwamba yeye ni super pawer kwa kuiteka Kiev ndani ya saa 72..,hiki ndicho kilichomponza hasa ,, kick za kijinga tu
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Taja sababu za uvamizi sasa na sisi tuzijue.Kama unajifanya huna Akili huwezi elewa kwanini Russia aenda kuvamia Ukraine.
Urusi hakuanza vizuri. Siku ya kwanza ya uvamizi nilivyoona performance yao na response ya Ukraine ilivyokuwa nikajua hawa Warusi ni wa kawaida.Hii Vita ina mwaka mwingine mzima mbele mpaka mmoja afilisike au aishiwe kabisa.
Supa-pawa alikwama wapi ?...mbona alianza vizuri mno pale mwanzoni mwa uvamizi, japo alionyesha udhaifu mkubwa kwenye 'logistics' hasa mafuta, chakula, huduma ya kwanza.
T14 Armata lee van cliff dudus Axel Lloyd
Katafute mwenyewe lakini zipo.kwa akili zenu Russia hajui madhara ya Vita mpaka aende vitani?Taja sababu za uvamizi sasa na sisi tuzijue.
Hapo unajiona wewe ni mtaalamu wa mambo ya kijeshi lakini hata ukiulizwa kuhusu jeshi lako hujui kitu.umeandika pumba Sana.Urusi hakuanza vizuri. Siku ya kwanza ya uvamizi nilivyoona performance yao na response ya Ukraine ilivyokuwa nikajua hawa Warusi ni wa kawaida.
Serikali yenyewe ya Urusi ilijua ina jeshi lenye akili, si reports zao za MoD huwa zinaonyesha mazuri tu. Propagandists wanapewa umuhimu kuliko wakosoaji na wasemakweli. Bado Foreign Intelligence ikadhani Ukraine ni wahuni kama wale wa Crimea ya 2014 waliokimbia bila kupigana. Ikaonekana Ukraine itaanguka within 3 days na ule msafara wa 64km ulikuwa wa kutishia nyau wala sio kupigana miezi. Ndio maana ulipopigwa hakwenda mwanajeshi mwingine kule kuitafuta Kiev.
Ukraine ilijiandaa kimyakimya, ujasiri wao na determination uliwasaidia. NATO ilikuwa imekata tamaa ikikariri Russia wana jeshi la maana. Ndani ya siku tatu baada ya kuona performance ilivyo, Ukraine wakapata morali kumbe hawa watu tukikazana hata mji mkuu hawapati. NATO ikaombwa silaha na nchi za mwanzo kutoa response ni Poland (hawa watatu Poland, Ukraine na Russia wana historia ndefu kabla na baada ya Soviet Union, Poland ilishawahi pigana na Ukraine ikashinda, haikumaliza hata miaka Ukraine ikaiomba msaada wapigane na Urusi miaka hiyo nadhani 1920s).
NATO ilitoa silaha zaidi baada ya kuona Ukraine wanazitumia na Russia ni kama hawana nia
Ungezijua ungetaja ila hata wewe hujui.Katafute mwenyewe lakini zipo.kwa akili zenu Russia hajui madhara ya Vita mpaka aende vitani?
Matatizo ya logistics muhimu kama chakula, mafuta, huduma za dharura na hali ya hewa kwenye ule msafara yalionyesha upande wa pili wa Urusi.......nadhani rushwa na ufisadi vinachangia hayo.Ikaonekana Ukraine itaanguka within 3 days na ule msafara wa 64km ulikuwa wa kutishia nyau wala sio kupigana miezi. Ndio maana ulipopigwa hakwenda mwanajeshi mwingine kule kuitafuta Kiev.
Anza kusoma mwanzo wa thread utazikuta.Taja sababu za uvamizi sasa na sisi tuzijue.
Utafkiri makazi ya Wanamgambo kumbe raia wa US wanagongwa na baridi kaliView attachment 2459632
[emoji779]️Death Toll From US Pre-Christmas Blizzard Rises To At Least 48 — AP
According to the Associated Press, 27 of these deaths occurred in the Buffalo area of New York.
Subscribe to RT
Taja tu kwani kuna tatizo ukirudia ?Anza kusoma mwanzo wa thread utazikuta.
Mimi nazijua lakini wewe kajitafutie mwenyeweUngezijua ungetaja ila hata wewe hujui.
Huwezi kutafuta kisichokuwepo.....Kama zipo zitajeMimi nazijua lakini wewe kajitafutie mwenyewe
Unadhani hayo yanayoendelea RUSSIA hajaya note MKUUAJabu ni imani iliyopo juu ya uwezo wa Urusi kujilinda, Uwezo wa Nukes na nafasi dunia inayomuweka katika nchi zenye uwezo wa kivita. Tunapoitazama NATO tunakumbuka kwanini ipo.
Akiruhusu kuingiliwa na Akiendelea kuchokonolewa hivi kila siku nafasi yake itakuwa kwenye walakini.