Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Assassination plot against Zelensky foiled and unit sent to kill him ‘destroyed,’ Ukraine saysSidhani Kama Ni kazi ngumu hivyo. Kama uwepo wa Gueterez mjini Kyv haukuzuia shambulio la karibu mita 1000 karibu na alimokuwemo Guterz na Zeleboy nafkiri inawezekana but kwasababu maalum imezuiwa kufanya hivyo.
Tu- Wait and see br.Assassination plot against Zelensky foiled and unit sent to kill him ‘destroyed,’ Ukraine says
Image without a caption
By Timothy Bella
March 2, 2022 at 8:42 a.m. EST
Zelensky says Russia aims to erase Ukraine
0:55
Russia is aiming to erase Ukraine, its history and people, President Volodymyr Zelensky said in a video on March 2, the seventh day of Moscow's invasion. (Video: Reuters)
https://www.washingtonpost.com/worl...-russia-ukraine-assassination-attempt-foiled/
Ngoja tusubiri maana Russia nao wanawatuhumu Marekani kwamba wanataka kumuua PutinTu- Wait and see br.
Hiyo cremina ikishaanguka, basi miji miwili muhimu ya kiviwanda ya severodonetsk na lyschansk itakuwa kama kinywa na mdomo kwa majeshi ya Ukraine [emoji91][emoji1255][emoji635][emoji298][emoji1255][emoji779][emoji779]Pro-Russian forces in Lugansk admitted that the Ukrainian army could prepare to attack the strategic city of Kreminna from three directions.
View attachment 2461127
Duh..,Slava Ukraine [emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255]
[emoji298]️Haidai: The Russian military command and Russian civilians working in Kreminna, Luhansk Oblast have left the city.
Tumekubaliana kwamba licha ya juhudi zote zinazofanywa na collective west bado moja ya tano ya Ukraine iko viganjani mwa Urusi. Ni eneo kubwa sana la nchi linakaliwa na mvamizi kibabe. (I/5)Ukraine [emoji1255].Tumekubali kwamba ⅕ ya 600k ni 200k au vipi?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Our goal is not to spin the flywheel of military conflict, but, on the contrary, to end this war," Putin told reporters in Moscow, after attending a State Council meeting on youth policy. "We have been and will continue to strive for this."
Unataka Urusi ivamiwe kwa sababu Bwana mmoja wa Jf anataka kuridhishwa?!
Ni huzuni Kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na ikishaanguka hiyo miji itakuwa ndio kwa heri Russia katika Jimbo la luhansikHiyo cremina ikishaanguka, basi miji miwili muhimu ya kiviwanda ya severodonetsk na lyschansk itakuwa kama kinywa na mdomo kwa majeshi ya Ukraine [emoji91][emoji1255]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kiduku anawazingua Sana, halafu kila siku anakuwa more advance na wapo Ukraine Kwa lengo kuu moja tu kuiba technology ya west kwenye vitaHalafu Kuna vijiwatu hapa JF havitakubaliana na apologize hii
Huyo jamaa anataka kuku-flastrate Ili kudhohofisha Nia yako kuendelea kutoa nondo hapa jukwaaniWewe umeshaacha huo uchoko?
Tumekubaliana kwamba licha ya juhudi zote zinazofanywa na collective west bado moja ya tano ya Ukraine iko viganjani mwa Urusi. Ni eneo kubwa sana la nchi linakaliwa na mvamizi kibabe. (I/5)Ukraine [emoji1255].
Urusi inatakiwa ivamiwe kwa sababu na yenyewe imevamia. Imevamia na kuua wanajeshi laki wa ukraine na kuharibu nchi na kuua raia wasio na hatia na kufanya mamilioni wakimbie nchi yao. Kwa nini haivamiwi!?
Wewe unataka UK ivamiwe, kwani UK imevamia nchi nyingine na kusababisha mauaji!?
We vip!?
Hiyo iliyokuwa grounded ni batch fulani ya F-35B. Wameziground ili wafanye uchunguzi, kila ndege ya Marekani ikipata hitilafu huwa wanazipiga chini aina fulani au batch fulani ili kujiridhisha.T14 Armata tukisema kama hizi ndege za hovyo mnakataaa View attachment 2461059
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee,bado mpaka leo you quote a CIA Mockingbird Media News Outlet:The York Times,you are so blind.Na atakaye amini taarifa kama hizi naye ni kipofu.[emoji298]️ Ukrainian military is approaching the liberation of Kreminna in the Luhansk region — New York Times.
NYT notes that the de-occupation of the city will allow AFU to control the main roads to Sievierodonetsk and Lysychansk, which are industrial centers of the Donetsk and Luhansk regions.
"Retaking the city and other towns nearby would expand the Ukrainians’ foothold in the region, and give them control of major roads leading to Sievierodonetsk and Lysychansk," the article says.
Sawa Mzee wa NWO tumekusikia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee,bado mpaka leo you quote a CIA Mockingbird Media News Outlet:The York Times,you are so blind.Na atakaye amini taarifa kama hizi naye ni kipofu.
Acha kuitaja taja Su 57 kufunika ubovu wa f 35.Hiyo iliyokuwa grounded ni batch fulani ya F-35B. Wameziground ili wafanye uchunguzi, kila ndege ya Marekani ikipata hitilafu huwa wanazipiga chini aina fulani au batch fulani ili kujiridhisha.
Marekani ina maelfu ya ndegevita, F-35 pekee zipo zaidi ya 800 duniani kote hivyo rate ya ajari ni kubwa kuliko hizo Su-57 zenu ambazo hata 20 hamna. Nyinyi ndege zenu mnatumia kwenye gwaride kuliko mnavyotumia vitani, hamuwezi pigana na Ukraine inayoombaomba air defence systems sijui hizo ndege zitaweza nchi gani ya NATO.
Kwanza Su-57 haina injini, inatumia injini ya Su-35. Wazo la kuwa na stealth jet walianza during Cold War kama response ya F-22, project ikacheleweshwa mpaka Marekani ikaanza stealth nyingine F-35. Urusi wamefufua project miaka kumi na ngapi uko hadi leo ndege haina injini yake. Subiri Su-57 iondolewe injini za AL-41F1 ipewe Izdeliye 30 ndio uwaze mass production na hela yenyewe hamna. Kwanza Saturn hizo injini sijui watazifanikisha lini na hizi sanctions zilizopo.
Ile ndege yenu ya kwenye maonyesho Su-75 Checkmate imefikia wapi? Na ile PAK DA stealth bomber imefika wapi? Nayo mmemjibu Mmarekani na B-2 Spirit ila kashazindua B-21 Raider na bado hamna matumaini. Kwanza mambo ya stealth sio level zenu kwa sasa, vipi kuhusu Mig-35 mnazo hata za kutosha squadron mbili? Na mbona haziuziki hizo ndege wateja wakitia nia mazungumzo yakianza wanakimbia sijui wanagundua nini.
Air force nzima ya superpower haiwezi fanya hata SEAD mission sasa utamuuzia nani hizo ndege. Si bora wateja wanunue China, si bora wachukue Saab za Sweden. Uzuri mnauza bei ndogo na hakuna masharti. Iran akinunua hizo Su-35 za deal la sasa naamini mtatumia miaka mingi bila kupata mteja wa hivyo