LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
In other words: Bendera fuata upepo! Tungebaki na Mrusi au Mchina tangu enzi za Nyerere, ila dhana na falsafa ya ^donor country,^ leo ingekuwa zaidi ya halisi!
Tulijifunza kitu baada ya MRUSI kuyumba....tumeamua kuichagua njia hiyo kwani DUNIA inabadilika kila uchao....mwenye nguvu leo kesho zinampungua.....

#Siempre JMT🙏
 
ni kheri Urusi iyumbe kwa uchumi kuliko aache Ukraine iwe kambi ya jeshi ya marekani
Sawa lakini hiyo inakuwa inawasaidiaje sasa hao Russia? Hili ndio tatizo la Nchi za kijamaa ,wao ustaarabu hakuna,humanity hakuna unashindwa kuelewa kwamba fate yao ni ipi ikiwa tabu ndio sehemu ya maisha yao..

Kwamba what are they fighting for?
 
Porojo hizi,Rais wao asingekuwa analia Lia.
 
KWa kuvunja daraja lao wenyewe?
 
Sawa lakini hiyo inakuwa inawasaidiaje sasa hao Russia? Hili ndio tatizo la Nchi za kijamaa ,wao ustaarabu hakuna,humanity hakuna unashindwa kuelewa kwamba fate yao ni ipi ikiwa tabu ndio sehemu ya maisha yao..

Kwamba what are they fighting for?
They fighting for their security kama vile America alivyotumia kuivamia Iraqi na Afghanistan
 
Kansela wa Ujeremuni Angela Merkel amesisitiza kuwa hakuna suluhisho lolote la kijeshi katika mzozo wa majini kati ya Ukraine na Urusi katika pwani ya Crimea.

Jumapili iliyopita, wanajeshi wa Urusi ilipiga risasi manuari tatu za Ukraine ambazo zilikuwa safarni kuelekea kwenye lango la bahari ya Azov, na kuwakamata wafanyakazi wa manuari hizo.

i mierkel ameilaumu Urusi kwa mzozo huo, lakini akasema kwamba unaweza kutatuliwa kupitia "majadiliano ya wazi".
Merkel amezungumza hayo akiwa pamoja na Waziri Mkuu wa Ukraine, Volodymyr Groysman kwenye kongamano la kibiashara lililofanyika mjini Berlin.

Unaweza tazama hapa yanayojili sasa
 
Mk

Mkuu naomba hiyo ya Urusi,mm na propaganda za Ukraine tu!
 
Sawa lakini hiyo inakuwa inawasaidiaje sasa hao Russia? Hili ndio tatizo la Nchi za kijamaa ,wao ustaarabu hakuna,humanity hakuna unashindwa kuelewa kwamba fate yao ni ipi ikiwa tabu ndio sehemu ya maisha yao..

Kwamba what are they fighting for?
Mkuu viongozi wa nchi za kijamaa mara nyingi hujali matumbo yao/ namna ambavyo wataendelea kutawala kwao hakuna issue za utu. Hiyo russia viongozi wao wameiba pesa wanaenda ficha london na kuwekeza western. Ujamaa na ushetani ni pua na mdomo muda wote viongozi na vyama vya kijamaa huwaza kuendelea kutawala hata watu mamilioni wakifa hawajali.
 
Bado unasimamia haya?
 
Sasa mbona mpangaji mwenyewe hajapanga nyumba hiyo kwanini uanze kumshambulia?

Ukraine hajajiunga na Nato ila alikuwa na kusudio hilo tu sasa imekuwaje Urusi iishambulie kijeshi wakati hata hajajiunga?
 
Romania yatoa Tamko,inapokea wakimbizi wote kutoka Ukraine, kama una ndugu yupo huko plz contact me
🤣🤣🤣🤣 mnataka muwatoe Figo ndugu zetu, wasiliana na monalisa , anamtoto wake huko, vipi lakini ni wakati wa kuenda kukusanya Mali huko Ukraine, wao wanakimbia nchi, fursa nje nje.
 
Unawezaje kuficha pesa ULAYA??? fafanua hapa... huu ujinga mnauendekeza kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…