Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
🤣🤣🤣NATO wamesema wazi kua Ukraine sio M'NATO mwenzao, so hawawezi kujishughulisha ki hivyo.
Ukraine itajifunza baada ya kupita hii "NAKAMA"......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣NATO wamesema wazi kua Ukraine sio M'NATO mwenzao, so hawawezi kujishughulisha ki hivyo.
Anadhani zimepatikana kwa maandamano ya "kidomookrasi" AILA ya CHADEMA.....🤣Unadhani zile states zaidi ya 50 kazipata kwa mikataba ya mahakamani
Tulijifunza kitu baada ya MRUSI kuyumba....tumeamua kuichagua njia hiyo kwani DUNIA inabadilika kila uchao....mwenye nguvu leo kesho zinampungua.....In other words: Bendera fuata upepo! Tungebaki na Mrusi au Mchina tangu enzi za Nyerere, ila dhana na falsafa ya ^donor country,^ leo ingekuwa zaidi ya halisi!
Kuna military secret yeyote nimetaja. Wapi?Kwa hiyo mkuu military secrets can be obtained anywhere and anyhow?
Labda Ulaya ndio watasalimu ila US hawezi kwa sababu Kwa sasa hana maslahi.Tukimpiga Ukrain ndipo tutaenda mezani kwa sharti 1 tu, kuondoa vikwazo vyote vilivyowekwa na wahuni
Hakujua hili mapema?Everyone is afraid of giving us guarantees to join NATO, and the truth is, no one wants us in the alliance
Ukrainian President
Sawa lakini hiyo inakuwa inawasaidiaje sasa hao Russia? Hili ndio tatizo la Nchi za kijamaa ,wao ustaarabu hakuna,humanity hakuna unashindwa kuelewa kwamba fate yao ni ipi ikiwa tabu ndio sehemu ya maisha yao..ni kheri Urusi iyumbe kwa uchumi kuliko aache Ukraine iwe kambi ya jeshi ya marekani
Porojo hizi,Rais wao asingekuwa analia Lia.Ukraine's military chief Valerii Zaluzhnyi said Friday that the country's army was successfully resisting Russian forces advancing from the north.
Zaluzhnyi said Ukrainian forces had been able to repel the breakthrough of Russian troops in the Chernihiv area north of the capital, Kyiv.
Tulikuja kujiunga badae kama nchi lakini yaani JMTZZanzibar ilishawahi kulianzisha kutaka kujiunga na OIC! Ikaambiwa 'weee?' baada ya hapo sikusikia tena.
KWa kuvunja daraja lao wenyewe?Ukraine's military chief Valerii Zaluzhnyi said Friday that the country's army was successfully resisting Russian forces advancing from the north.
Zaluzhnyi said Ukrainian forces had been able to repel the breakthrough of Russian troops in the Chernihiv area north of the capital, Kyiv.
They fighting for their security kama vile America alivyotumia kuivamia Iraqi na AfghanistanSawa lakini hiyo inakuwa inawasaidiaje sasa hao Russia? Hili ndio tatizo la Nchi za kijamaa ,wao ustaarabu hakuna,humanity hakuna unashindwa kuelewa kwamba fate yao ni ipi ikiwa tabu ndio sehemu ya maisha yao..
Kwamba what are they fighting for?
Ndugu yangu, mimi nime subscribe na kufollow account tofauti tofauti kuhusu hii vita na bahati nzuri zote za Ukraine.
Anachokifanya kwa sasa Ukraine kwa % kubwa ni ambush! Wanapofanikiwa ndiyo hizo taarifa unazoziona. Na hayo mambo ni machache na ndiyo maana taarifa za hayo matukio ni chache na nyingi zinajirudia hata ukizitafuta Internet. Ni suala la propaganda na kwenye vita ni suala zuri.
Nimebahatika kuona video za Urusi mashambulizi wanayoyafanya Ukraine na matokeo yake inasikitisha sana. Wanajeshi wa Ukraine wameungua ungua. Wengine wamepigwa risasi wamekufa. Magari yao na vifaru vyao vimelipuliwa na maiti zao zinatolewa.mkuu
Mkuu naomba hiyo ya Urusi,mm na propaganda za Ukraine tu!Ndugu yangu, mimi nime subscribe na kufollow account tofauti tofauti kuhusu hii vita na bahati nzuri zote za Ukraine.
Anachokifanya kwa sasa Ukraine kwa % kubwa ni ambush! Wanapofanikiwa ndiyo hizo taarifa unazoziona. Na hayo mambo ni machache na ndiyo maana taarifa za hayo matukio ni chache na nyingi zinajirudia hata ukizitafuta Internet. Ni suala la propaganda na kwenye vita ni suala zuri.
Nimebahatika kuona video za Urusi mashambulizi wanayoyafanya Ukraine na matokeo yake inasikitisha sana. Wanajeshi wa Ukraine wameungua ungua. Wengine wamepigwa risasi wamekufa. Magari yao na vifaru vyao vimelipuliwa na maiti zao zinatolewa.
Mkuu viongozi wa nchi za kijamaa mara nyingi hujali matumbo yao/ namna ambavyo wataendelea kutawala kwao hakuna issue za utu. Hiyo russia viongozi wao wameiba pesa wanaenda ficha london na kuwekeza western. Ujamaa na ushetani ni pua na mdomo muda wote viongozi na vyama vya kijamaa huwaza kuendelea kutawala hata watu mamilioni wakifa hawajali.Sawa lakini hiyo inakuwa inawasaidiaje sasa hao Russia? Hili ndio tatizo la Nchi za kijamaa ,wao ustaarabu hakuna,humanity hakuna unashindwa kuelewa kwamba fate yao ni ipi ikiwa tabu ndio sehemu ya maisha yao..
Kwamba what are they fighting for?
Haaaaahaaaah! We jamaa shenzi kabisa 🤣 🤣Duuh mkuu uko deep sana, pongez kwa kuwa logical minded.
Bado unasimamia haya?Take it from me, hakuna vita hapo!
Kwa watu wa dini wenye mioyo minyoofu, hiyo ni ishara kubwa sana kwamba sasa uovu wa wanadamu umefikia kikomo kama ilivyokuwa wakati wa Gharika na Sodoma na Gomora.
Mungu yule wa Gharika na Sodoma na Gomora ndiye yule yule ambaye tunaye sasa. Hajabadilika.
Amekuwa na subira kwa muda mrefu, sasa:"Enough is enough "
Sasa mbona mpangaji mwenyewe hajapanga nyumba hiyo kwanini uanze kumshambulia?Chochote kinachotokea hapa duniani huwa kina chanzo. Ukiangalia chanzo cha mgogoro uliopo kati ya Urusi na Ukrane, ni mmojawapo kuwa tayari kujiunga na NATO, ambapo kwa hali ya usalama kwa Urusi, ungekuwa ni mdogo.
Ni sawa na ujenge nyumba kubwa nzuri , uoe mwanamke mrembo aliyemaliza chuo mwaka jana na ukaishi naye; baada ya mwezi mmoja , ukasikia jirani yako mnaeshea naye ukuta, anataka apangishe nyumba yake kwa mpenzi wa zamani wa mkeo aliyesoma naye chuo.
Hapo lazima, uwe mkali kwa sababu itakuwa ni hatari kwa ndoa yako. Hicho ndio chanzo cha mgogoro unaoendelea kwa sasa.
🤣🤣🤣🤣 mnataka muwatoe Figo ndugu zetu, wasiliana na monalisa , anamtoto wake huko, vipi lakini ni wakati wa kuenda kukusanya Mali huko Ukraine, wao wanakimbia nchi, fursa nje nje.Romania yatoa Tamko,inapokea wakimbizi wote kutoka Ukraine, kama una ndugu yupo huko plz contact me
Unawezaje kuficha pesa ULAYA??? fafanua hapa... huu ujinga mnauendekeza kila siku.Mkuu viongozi wa nchi za kijamaa mara nyingi hujali matumbo yao/ namna ambavyo wataendelea kutawala kwao hakuna issue za utu. Hiyo russia viongozi wao wameiba pesa wanaenda ficha london na kuwekeza western. Ujamaa na ushetani ni pua na mdomo muda wote viongozi na vyama vya kijamaa huwaza kuendelea kutawala hata watu mamilioni wakifa hawajali.