Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Drone zote zimeshushwa! Debris ndo zimeharibu baadhi ya nyumba za RaiaUkraine inaungua huko
Ana nguvu mara Mia lkn huko kwa frontline hasogei[emoji23]Ukraine inaungua huko kawasaidieni wenzenu ukweli ni kwamba Russia ananguvu Sana mara 100 ya Ukraine.
Na zilipigwa nyingi sana na ikumbukwe hzi markava ilikuwa inaaminika kuwa ndio kifaru bora zaidi ulimwenguni kumbe ni bora tu mbele ya hamasi ila vikikutana na mbabe story inakuwa nyingine tu.Mekava katika history inaonesha ili be knocked out na Konet ATGM katika 2006.
BREAKING:MKUU NAOMBA SOURCE YA HII HABARI , CHOMBO GANI CHA HABARI KIMETANGAZA MAANA NIMEANGALIA VYOMBA VYA HABARI VIKUBWA SIJAONA.
Inawezekana ikawa propaganda
Tutajuaje kuwa sio magari ya kijeshi maana last time south korea kawapa ma pickup ambayo pia ni common kwa matumizi ya raia. Si ajabu hizo gari zinatumika na jeshi la ukraineNiltegemea kuona ammunition depot,au vifaru,au magari ya kivita yaliyoharibika,, badala yake unaonesha picha za magari ya kiraia tu yaliyoharibika.., urusi hajawahi kulenga valuable target,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Fuatilia vizuriAna nguvu mara Mia lkn huko kwa frontline hasogei[emoji23]
Merkava inapokutana na Anti tank kichwa ngumu.Na zilipigwa nyingi sana na ikumbukwe hzi markava ilikuwa inaaminika kuwa ndio kifaru bora zaidi ulimwenguni kumbe ni bora tu mbele ya hamasi ila vikikutana na mbabe story inakuwa nyingine tu.
Majority ya weapons nyingi za west zinafanya vizuri kwenye stone age republic mfano angalia f16 nyingi wamezitumia kupigana na iraq yemebn lebanon na kwingine ambako hawana military hardware nzuri
Interesting!!!! Unajifananisha ujuha wako na mimi? Labda ni kweli mimi sio akili sana kama wengine ila najua mjinga na mpumbavu kwa post zake na mkuu bahati nzuri au mbaya wewe una vigezo vyote vya mtu anayehitaji msaada wa elimu sala pamoja na dua, kwa sababu ww ni miongoni mwa watu pekee unayepost picha za ajabu na za mtu ambaye hana ukomavu wa akili...bro you need help for sureKama wewe unavyoonekana kuwa mgumu kuacha upumbavu sio?
Ata kichaa huwaona wale wenye akili timamu kwamba wao ndio vichaa,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Aisee nilikuwa sijui kuwa walikutana na version i cant imagine orignal yake ipojeMerkava inapokutana na Anti tank kichwa ngumu.
Iliyopiga Hapo ni North Korean version ya Russian made Kornet abayo Ili- be supplied na Syria to Hizbollah.View attachment 2465405View attachment 2465406View attachment 2465407View attachment 2465408
unaonekana ni kichaa hambaye bado hajajitambua na hutokaa ujitambue kamwe.,ndio maana nikakwambia kwamba kichaa huwaona wale wenye akili timamu kwamba wao ndio vichaa..,ni kudra tu za mwenyezi ndio zitakuokoa Ili uondokane na huo wehu!Interesting!!!! Unajifananisha ujuha wako na mimi? Labda ni kweli mimi sio akili sana kama wengine ila najua mjinga na mpumbavu kwa post zake na mkuu bahati nzuri au mbaya wewe una vigezo vyote vya mtu anayehitaji msaada wa elimu sala pamoja na dua, kwa sababu ww ni miongoni mwa watu pekee unayepost picha za ajabu na za mtu ambaye hana ukomavu wa akili...bro you need help for sure
Duh!..waliokuwemo ndani walipona kweli ?....wanasema zimetengenezwa kwa namna nzuri ya kulinda maisha ya waliopo ndani zinaposhambuliwa hata kama kikiharibiwa.Merkava inapokutana na Anti tank kichwa ngumu.
Iliyopiga Hapo ni North Korean version ya Russian made Kornet abayo Ili- be supplied na Syria to Hizbollah.View attachment 2465405View attachment 2465406View attachment 2465407View attachment 2465408
Hapa ni kabla Merkava haijawekwa mfumo wa Trophy,baada ya kuwekwa mfumo wa Ulinzi wa Trophy vifaru vya Israel (Merkava IV) vimekua viki-intercept hizo ATGM hasa kornet na RPG pia.Mekava katika history inaonesha ili be knocked out na Konet ATGM katika 2006.
Merkava zimetengenezwa kwa namna ya kipekee kidogo yaani injini imewekwa mbele ili ikitokea imepigwa na ATGM au kifaru kingine Kwa mbele (frontal attack) bhas waliokua ndani wasalimike.Duh!..waliokuwemo ndani walipona kweli ?....wanasema zimetengenezwa kwa namna nzuri ya kulinda maisha ya waliopo ndani zinaposhambuliwa hata kama kikiharibiwa.
T14 Armata
Ni kweli.mekava tofauti na Soviet made T 72 Ni mlinzi sahihi wa crew yake dhidi ya shambulio but inategemeana Kama washambuliaji watatu wanaweza kulenga turret kwa pamoja Ni vigum tank crew kutoka salama.Duh!..waliokuwemo ndani walipona kweli ?....wanasema zimetengenezwa kwa namna nzuri ya kulinda maisha ya waliopo ndani zinaposhambuliwa hata kama kikiharibiwa.
T14 Armata
Na zilipigwa nyingi sana na ikumbukwe hzi markava ilikuwa inaaminika kuwa ndio kifaru bora zaidi ulimwenguni kumbe ni bora tu mbele ya hamasi ila vikikutana na mbabe story inakuwa nyingine tu.
Majority ya weapons nyingi za west zinafanya vizuri kwenye stone age republic mfano angalia f16 nyingi wamezitumia kupigana na iraq yemebn lebanon na kwingine ambako hawana military hardware nzuri
Kweli but mbinu hii ya Ulinzi Ni Kama kupiga risasi kwa risasi. Ipo katika NATO ipo pia katika Russian made t90 M but bado so effective dhidi ya ATGM za kisasa Kama Javelin na KornetMerkava zimetengenezwa kwa namna ya kipekee kidogo yaani injini imewekwa mbele ili ikitokea imepigwa na ATGM au kifaru kingine Kwa mbele (frontal attack) bhas waliokua ndani wasalimike.
Lakini kwasasa hivyo vifaru vimefungwa mfumo unaitwa Trophy ambao ni maalum Kwa kuintercept ATGM kama Kornet, Javellin,etc. Kwenye Operation Protective Edge 2014 Hamas walirusha hizo Kornet zikadakwa kwa kutumia hiyo system.
Israel walianza kuunda hiyo system baada ya hasara waliyoipata kwenye vita na Hezbollah 2006,vifaru vyao vingi viliharibiwa na ATGM za Hezbollah.
Original bila shaka Ni nzito zaidi but sijafuatilia mkuuAisee nilikuwa sijui kuwa walikutana na version i cant imagine orignal yake ipoje
Oh mkuu unabishana na kp?Interesting!!!! Unajifananisha ujuha wako na mimi? Labda ni kweli mimi sio akili sana kama wengine ila najua mjinga na mpumbavu kwa post zake na mkuu bahati nzuri au mbaya wewe una vigezo vyote vya mtu anayehitaji msaada wa elimu sala pamoja na dua, kwa sababu ww ni miongoni mwa watu pekee unayepost picha za ajabu na za mtu ambaye hana ukomavu wa akili...bro you need help for sure