Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Nilichojifunza kwenye hii vita siku unayozidiwa kiintelijensia basi hapo hapo adui yako anaitumia faida hiyo.
Ukraine walijuaje kambi hiyo ya siri hata wakaweza kuishambulia.
Russia alijuaje kama hoteli ile aliyoipiga kombora jana inakaliwa na wataalamu kutoka nje ya ukraine.
Kumbe vita hutegemea zaidi taarifa na si ukubwa wa silaha.
Hakuna pigo baya kuliko ambush
Nilichojifunza kwenye hii vita siku unayozidiwa kiintelijensia basi hapo hapo adui yako anaitumia faida hiyo.
Ukraine walijuaje kambi hiyo ya siri hata wakaweza kuishambulia.
Russia alijuaje kama hoteli ile aliyoipiga kombora jana inakaliwa na wataalamu kutoka nje ya ukraine.
Kumbe vita hutegemea zaidi taarifa na si ukubwa wa silaha.
Hakuna pigo baya kuliko ambush
Muda bado upo comrade..Huyu Zele Hana muda nawaambieni...Putin na majasusi wenzake wenzake walijipanga aisee..they planned for a long war....
Umeonaaee...Katika hii vita hasara aliyo ipata Urusi kwa asilia 80 imesababishwa na jeshi la anga kutotimiza majukumu yake ipasavyo.
Sijui ndani ya jeshi la Urusi kuna mamruki
Wanafanya makusudi ili kuwakomoa wana siasa ?
Maana haiwezekani nchi yenye jeshi la anga lenye ndege zaidi 4000 na herkopita zaidi ya 1000 na ambayo ni muuzaji mkubwa wa mifumo ya ulinzi wa anga duniani eti ishindwe kulinda misafara yake.
Hata wanajeshi wa ardhini wa Urusi wamekuwa hawapati msaada wa kutosha angani hasa ndege za kudondosha mabomu ili kuyadidimiza mahandaki ambayo wanajeshi wa Ukraine wana kuwa wanajificha kitu kinacho wapa faida ya kufanya Ambush za kudhutukiza na kuyarudisha nyuma majeshi ya Urusi kirahisi.
Mm ningekuwa Putin mkuu wa jeshi la anga asingekuwa na kazi.
You are 'missed' mrembo...Karuusiwa kurusha ila mkono mfupi mpe mbinu ili afike moscow.
Supa-pawa alionyesha udhaifu mkubwa.Hivi unakumbuka ule msafara wa Urusi wa 64km uliokua ukielekea Kiev?! Unatumaje msafara mrefu vile bila kua na air cover?! Hatima yake ni nini?! Si ule msafara wote uliharibiwa na Ukraine Kwa Javellin na NLAW za Ukraine alizopewa na Marekani na Uingereza,had warusi wakachanganyikiwa ikabidi wabadili mawazo waachane na Kiev waende kule South ambako walikua wapo kabla hata ya Vita kuanza.
Wala wasiwasi wangu juu ya uwezo wake haujaanza vita hii, ule upinzani wa Uturuki waliouonesha pale Libya, Syria na Azerbaijan dhidi ya Russia nilianza kuwa na wasiwasi na silaha za Urusi.
Zile SU's generation zime-under perform.Russian airforce zile fighters zao walizifunga electronic jamming pods ila zikawa zinadondoshwa kama kawaida. Technology yao sio kubwa sana
Ukraine says 45 Iranian-made drones shot down on New Year’s EveNalala ila naendelea kuamini hakuna mashambulizi yaliyofanywa na Ukraine ndani ya miji ya Urusi leo kama alivoripoti jasusi misheni town Axel Lloyd. Leo nimeshinda kwenye tv ila sijaiona hii habari zaidi ya kumuona Zelensky analia na kumlaani Putin wakati jasusi wa viwanja na nyumba za kupanga ndugu Axel Lloyd anasema drone zote za Urusi zilitunguliwa
Tuondolee huu uchafuHali si nzuri kwa sasa ukrain hata inaonekana anga la ukrain kuwa na tahadhariView attachment 2119387
Kuwa na adabu wewe Binti.., Mimi nimekuzid sanaJamanii Huyu jamaa anaweza akawa ni MTOTO, kama sio hivyo basi anaweza akawa mirembe.
Mwenzetu wale 300,000 walipokea training kweli?[emoji298]️More than 20,000 servicemen of the Armed Forces of Ukraine have already received training abroad. Such figures were provided by the deputy chief of the Main Operational Department of the General Staff, Oleksii Hromov.
He specifies that the training of the Ukrainian military is conducted in Poland, the Czech Republic, Slovakia and the US forces in Germany. In 2022, brigade headquarters, as well as units at the battalion, company, artillery battery, and air defense battery were trained abroad.
150,000 walishaingia vitani,150,000 wengine bado wapo kwenye training.Mwenzetu wale 300,000 walipokea training kweli?
Mbona training fupi hivyo?150,000 walishaingia vitani,150,000 wengine bado wapo kwenye training.
Kaka ilibidi iwe hivyo maana watu wako vitani mpinzani anaongeza mashambulizi kulikua hakuna muda wa kupoteza si unaona hata Ukraine wanavyopewa mafunzo ya fasta ya silaha. Hizi NASAMS mafunzo yake kikawaida ni miezi 6 na zaidi lkn Ukraine walitumia Nusu yake na tayari wameshazizoea.Mbona training fupi hivyo?
Nimesikia wanaitisha mobilization nyingine