Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mi labda kuna kitu sikielewi kuhusu hizi drone. Hivi ukiitungua si maana yake hazipigi target husika! Sasa inakuwaje zote zimetunguliwa ila kwenye vyombo vya habari unaona na unataarifiwa uharibifu mkubwa kwenye baadhi ya maeneo ambayo ukiangalia pia briefing za Russians wanakwambia zilikuwa intended targets na lazima utawaona wa Ukraine na Zelensky wanalia na kumlaani Putin.. Kiukweli kwa taarifa nilizoziona jana BBC na Aljazeera(vituo vyangu favourite) sikuona kama uharibifu na kilio kilichofuatia inaweza kuwa ni wa drone 45 zilizokuwa destroyed
 

Drone zikitunguliwa kwenye makazi ya watu zile falling debris baada ya kutunguliwa Kwa drone nazo zina madhara,zinaharibu majumba ya watu au hata kuua. Refer kilichotokea pale Engels airbase week moja au mbili zilizopita,Russia walitungua drone ya Ukraine lakini Yale mabaki ya drone baada ya kutunguliwa yakaua mainjinia watatu waliokua wanafanya kazi kwenye Ile Base.

Last week ilikua mazishi ya hao wataalam wa Russia waliouawa pale Engels
[emoji298]️ Three Russian officers involved in terrorist missile attacks on Ukraine were killed in a drone strike on Engels air base on 26 December:
[emoji777] Major Воронов Андрей Н.
[emoji777] Sr Lt Ануфриенко Максим А.
[emoji777] Sr Lt Пампухин Александр А.

All three were engineers from the Tu-160 Guards Heavy Bomber Aviation Regiment:
• Major Voronov Andrey Nikolaevich
• Senior Lieutenant Anufrienko Maxim Andreevich
• Senior Lieutenant Pampukhin Alexander Anatolievich

>Hapa [emoji116] ndo warusi wanasema drone ilitunguliwa,je isingetunguliwa ingekuaje?!

>Na hii ni drone moja/mbili,je zingekua 45 kama zile zinazorushwa Ukraine Hali ingekuaje?!
 

Attachments

  • images (22).jpeg
    40.5 KB · Views: 17
  • images (19).jpeg
    63.1 KB · Views: 16
Ukraine yaanza kuzalisha artillery shells zake,zimeshaanza kutumika kwenye uwanja wa Vita.

#Ukraine: [emoji779] A very notable development - new Ukrainian-made artillery ammunition started to reach the frontlines.

Here we can see OF-25T 152mm HE projectiles, made in 2022 - they can be fired from D-20/Msta-B towed howitzers and 2S3/Msta-S SPHs.

The index of the projectile (OF-25T) slightly differs from the classic Soviet OF-25 projectile, presumably due to the different manufacturing process. The projectiles are assembled from several milled parts - which in this case allow their identification.

The explosives used also differ to Soviet OF-25- less powerful TNT is used instead of A-IX-2.
From the available information Ukroboronprom also reloads fired cases with new propellant charges - in some photos, in addition to the usual Soviet markings, you can see new ones dating back to 2022.


View attachment 2466412
 

Attachments

  • 20230102_104932.jpg
    120.9 KB · Views: 14
  • 20230102_104918.jpg
    192.4 KB · Views: 15
  • 20230102_104918.jpg
    192.4 KB · Views: 16
Nyie waswahili mnaojifanya usalama wa taifa mkiombwa nauli kwenye daladala hua mna stori nyingi zisizo na uhalisia. Hivi hii ndo taarifa niliyoiona kwenye vyombo vya habari jana. Nakusihi kolezea neno 'gratitude and pain"
 
Missiles naona bado hamjaziweza kabisa. Zinawamaliza sana au ndo Putin kashawajulia kwamba anawatumia kwanza drone nyingi ku overwhelm ad systems then kh-101 na kinzal zinaingia kazini?
 
UKRAINE HIT RUSSIAN BASE IN DONETSK,REPORTING 600 DEAD.

01 JANUARY 2023

Reports are starting to filter in from Ukraine claiming a HIMARS multiple launch rocket system stuck a Russian base in Makiivka (Donetsk), killing between 350 and 600 Russian soldiers. Info is sketchy, but it may have involved School #19 being used to house troops. There are also reports coming in that Ukraine stuck a hospital elsewhere, which was allegedly where Wagner PMC wounded were being housed.
According to some reports, the dead bodies of Russian soldiers were ignited and burning on the ground after the blasts.
More info coming . . . check back

UPDATE 3:23 PM EST --
The photos below show School #19 in Makiivka Before/After the attack. Reports are CLAIMING upwards of six hundred Russians killed or injured:

Additional information about the second item above allegedly involving Wagner PMC: Ukraine did HIMAR a hospital in Pervomaisk, (Luhansk) LPR, where possibly war wounded ( Wagner) were being treated. Could be a high number of casualties, military wounded and civilian Doctors and patients
Ukraine is using these same numbers of casualties at THIS location, 300-600 ..claiming hospital was a Wagner PMC HQ.

UPDATE 3:35 PM EST --
Numbers have changed regarding the School Number 19 strike: Now being told confirmed two-hundred (200) Dead Russian troops, another three-hundred (300) injured.

UPDATE 3:54 PM EST --
Reports now say Ukraine utilized six (6) separate HIMARS launchers in a coordinated attack upon the base. School #19 had been converted to a barracks for troops to sleep.
Coordinates:

48° 3'18.93"N, 37°54'53.38"E

There are videos showing half-naked Russian soldiers on the ground which would suggest that they got surprised in their beds.


OFFICIAL CONFIRMATION --
The Strategic Communications Directorate of Armed Forces Ukraine claims 400 dead Russians and 300 wounded in the Makiivka strike


UPDATE 4:34 PM EST --
GeoConfirmed Vocational Technical Construction School No. 19 at 48.055102, 37.915083, in Makiivka, Donetsk Oblast, was destroyed.

According to local TG chats Russian forces were present at this site.

CONFIRMATION BY RUSSIA
A comlpex housing Russian Soldiers was indeed hit by the Ukraine Army using HIMARS supplied by the US,but only 63 Russian soldiers were killed.The figure of 409-600 was an exaggeration from the Ukranian Army.

MY TAKE
THIIS IS THE WORST ESCALATION EVER.
WILL RUSSIA TOLERATE?LET'S KEEP OUR FINGERS CROSSED.BECAUSE IF RUSSIA TOLERATES,IT WILL BE SEEN AS A SIGN OF WEAKNESS TO THE RUSSIAN PEOPLE AND ARMY,AND I BELIEVE PUTIN WON'T ALLOW THAT TO HAPPEN,SOMETHING WEIRD IS ABOUT TO HAPPEN.
 
Nyie waswahili mnaojifanya usalama wa taifa mkiombwa nauli kwenye daladala hua mna stori nyingi zisizo na uhalisia. Hivi hii ndo taarifa niliyoiona kwenye vyombo vya habari jana. Nakusihi kolezea neno 'gratitude and pain"View attachment 2466441

We mswahili dalali wa chumba toka Buza embu kaa utulie mbona unajibu kama unakimbizwa,kwahiyo hiyo hatuba ndo inaelezea kwamba Ukraine haijatungua drone za Russia au?!
Wewe umeona kipande kwenye taarifa ya habari ila Mimi nimeangalia hotuba yote ya Zelenksy na alivyokua akitoa hotuba yake alielezea matukio tangu uvamizi unaanza mpaka walipo na akasisitiza hata wapate maumivu kiasi gani Ukraine haitarudi nyuma kamwe.

Hotuba yote hii hapa Acha kuleta vipande vipande kama vya papa na nguru.
 
Russia attacked Kyiv with a drone inscribed with 'Happy New Year' in a wave of strikes on Ukraine
 
Missiles naona bado hamjaziweza kabisa. Zinawamaliza sana au ndo Putin kashawajulia kwamba anawatumia kwanza drone nyingi ku overwhelm ad systems then kh-101 na kinzal zinaingia kazini?
Ndio tactic mpya ya Russia kutuma Kwanza drone kuzi- overwhelm air defenses halafu ndo anakuja kuteremsha mvua ya Makombora. Ila Ukraine nao kadri siku zinavyoenda wanazidi kuimarika hasa kwenye kutungua hizo cruise missiles,last week Kati ya 69 zilizorushwa 54 zilishushwa.
 
Utatuwekea na video inayoonyesha Ukraine kushambulia miji kadhaa ya Urusi jana
 
Zawadi ya mwaka mpya hiyo kiongozi,hapo hamna cha escalation wala nini.
 
Mkuu hii habari ni wewe umeipost? Au Kuna mtu kadukua akaunt yako!!

Bora nimei-quote Ili usiweze kuifta[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…