Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu hii habari ni wewe umeipost? Au Kuna mtu kadukua akaunt yako!!

Bora nimei-quote Ili usiweze kuifta[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mimi na-post ukweli wote,I am rational,sichagui.Hata hivyo sitatetea uovu wa nchi za magharibi hata kidogo.I will always call a spade a spade.
 
Himars zimeunguza vibaka wa kirusi[emoji23]
Mkuu,Wacha tu urusi amalizie hasira kwa kugonga infrastructure..,watu 600 kulambishwa mchanga kwa wakati mmoja sio mchezo

Ukipita sehemu ilipolala miili ya watu 600 unaweza kuchanganyikiwa,hao watu ni wengi mno 🥱🥱

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Leo kidogo naona amekuwa muungwana,skutegemea kama anaweza kuripot habari kama hii [emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mimi na-post ukweli wote,sichagui.Hata hivyo sitatetea uovu wa nchi za magharibi hata kidogo.I will always call a spade a spade.Yes,that is me.Kwa nini nifiche taarifa,kwani mimi ni Mrusi.

Hata hivyo naomba niseme ukweli, kama the West watashinda in this war,itakuwa na maana kwamba uovu umeshinda,which won't be good news for the World and humanity in general,sema watu kama ninyi hamjitambui.
 
Kinachowaponza viongozi wa Russia wanasema ni slavic wenzao na ndiyo asili mama ya kwao (kama hilo ni la kweli) lakini kwa Ukraine ni upande mwengine hawajali. Wanachojua ni kuwaua kabisa na ndiyo maana hata POW wa Russia wakikamatwa wanafanyiwa unyama kweli.
 
Naona Ukraine nayo siku za hivi karibuni inazidisha mashambulizi ndani ya Urusi

[emoji298]️This morning a Ukrainian UAV attacked the Klimovsk district of the Bryansk region, — Governor Alexander Bogomaz.

The power supply facility was damaged, due to which there is no electricity in the village. Bogomaz claims that there are no victims after the attack.


Ukrainian drone attack damages power supply facility in Russia's Bryansk region bordering Ukraine - local governor
View attachment 2466500
 
[emoji298]️A small reconnaissance unmanned aerial vehicle, launched from the territory of Ukraine, was detected and shot down by air defense means on the approach to Voronezh (Russia) tonight, the government of the Voronezh region reports.
 
Kreminna nako ni pa-moto kwelikweli

Over the last five days, Russian and Ukrainian forces have probably been fighting for control of the P66 highway, north of the Russian-held the Luhansk region town of Kremina.

The P66 is a key supply route for the northern section of Russia's Donbas front from the Belgorod region of Russia.

Its use has been disrupted by Ukrainian artillery since October, but if Ukraine were able to secure the route, if would highly likely further undermine Russia's defence of Kremina

 
Yeah, ni kweli mkuu,Russia wanawaona Ukranians kama kaka zao na dada zao because they are not only joined by History,but by ethinicity.:they are all Slavs

Slavs - Wikipedia

Kwa bahati mbaya,Ukranians do not take Russians as such,and hence the brutal treatment of Russians.Nadhani ni wakati muafaka sasa wa Russia kubadili mtizamo huo,na waanze ku-treat Ukranians as foes.
 
UTASIKIA TUMETUNGUA DRONE.LAKINI BADO WANAKULA KIPIGO KUMBE ZILE DRONE IKITUNGUA ULE MLIPUKO WAKE UNASONGA MBELE KUDADEKI
Kama hivi au sio[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji298]️This morning a Ukrainian UAV attacked the Klimovsk district of the Bryansk region(Russia), — Governor Alexander Bogomaz.

The power supply facility was damaged, due to which there is no electricity in the village. Bogomaz claims that there are no victims after the attack.
 
Kwa hali jinsi inavyoendelea Ukraine haiwezi ikarudi mezani kama Russia inataka iwe hivyo! Russia kama inataka kuwarudisha Ukraine mezani inawabidi wafanye unyama wa hali ya juu utakaowafanya Ukraine wasalimu wenyewe amri!

Kwa sababu kwa aina ya mashambulizi wanayoyafanya sasa na tangu awali ijapokuwa ni yenye faida kwao ila kwa Ukraine ni kwamba bado wanaweza kuyahimili.

Ijapokuwa wanakufa wengi ila Ukraine bado wanayahimili anachokitafuta yeye kwa sasa ni kuleta hasara kwenye mambo muhimu kwa Russia. Ndiyo maana Zelensky anahangaika kuomba zana zenye uwezo wa kupenya moja kwa moja Russia na si kwamba hajui madhara yake bali wanachokitaka ni kumtia hasara Russia. Yaani umenipiga ila kwako nimeacha madhara makubwa na hasara kubwa. Na wakipata hiyo nafasi wanaitumia na ndiyo maana wanahangaika na mbinu za kigaidi. Yaani paaap! Kombora limetua Moscow kwao ni mafanikio makubwa hawatojali kuwa watatwangwa.

Haya yote yanatokana na nini? Haya yanatokana na aina ya mashambulizi Russia wanayoyafanya. Wasidhani kama hii hali wanaweza kui maintain muda wote. Muda wowote hali yoyote inaweza kubadilika.

Mbali na hapo kwa hii operation jinsi wanavyoiendesha hakuna kitakachobadilika na Russia inaweza ikapata madhara makubwa ijapokuwa linaweza likatokea moja moja ila yatakuwa ni makubwa yenye kuleta hasara kubwa kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…